Kati ya Google pixel na Samsung ipi ni simu ya kali zaid?

Naangalia camera,ram,inakaa na chaji,wepesi wa operations,tatizo mkuu hizo ulizoziorodhesha hazipakani kwenye maduka yetu ya uswahilini labda kama unaweza kunijuza naweza kupata wapi hizo nzuri? cc Chief-Mkwawa
 
Matumizi haya mkuu Oneplus 8 inakufa a kabisa.

Na mkuu unless unanunulia kenya Hutapata Simu nzuri ambayo sio Samsung ama Tecno hapa TZ.

Agizishia online ama Mtumie mtu akuletee.
 
GOOGLE PIXEL 2 XL
ANDROID 11
RAM 4 GB
ROM 64 GB
FULL BOXED NA FREE COVER/CASE
BEST CAMERA EXPERIENCE
(PORTRAIT, NIGHT SIGHT,, 4K VIDS, HDR)
BEI 485K
SINZA DSM ( HAKUNA EXCHANGE )
0693225605
IMG_20210606_113344_323.jpg
 
Matumizi haya mkuu Oneplus 8 inakufa a kabisa.

Na mkuu unless unanunulia kenya Hutapata Simu nzuri ambayo sio Samsung ama Tecno hapa TZ.

Agizishia online ama Mtumie mtu akuletee.
Ni kweli OnePlus nao wanangangana sana kwenye simu zao ziko vizuri
 
Back
Top Bottom