cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,801
Nime jaribu kufuatilia uhalisia wa hili beef and who is real kuliko mwingine katika suala zima kla hiphop music and life style and free style
Binafsi nimempa Wakazi ushindi katika ushindani huu na nimemalizia kwa msimamo huu baada ya kusiliza diss tracks zao attached.
Je wewe unaona nani real na nani feki?
wewe unaujua mziki big up kakaNamfahamu Wakazi personally, Zilla namsikia tu toka ameanza.
Zilla ni mzuri sana wa mitindo huru(freestyle) Wakazi hamgusi hata kidogo.
Kwa hizi diss track Zilla kapotezwa vibaya sana.
Zilla ana flow ambayo mtu yeyote anaweza msikiliza hata kama hupendi hip hop, anajua tasnia ya hip hop bongo na tayari ana hits kadhaa under his belt. Zilla ni mlaini ila believe me you anaweza kukaza vile vile kama wakati ameanza
Wakazi on the other end anajitahidi kuandika ila kwa flow, style yake ni ngumu sana kutoboa bongo. Anajitahidi tu ila sio muandishi mzuri wa caliber za kina Fid, Prof kama yeye anavyojiaminisha hata One, Mbishi, Stereo, Zaiid wamemzidi by miles.
Kwa sasa Wakazi kamficha Zilla, overall Zilla ni balaa.
And..oh hii beef itampa Wakazi coverage wadau wengi hawamfahamu
ya zilla kapanic na saizi style yake ya kucopy USA imesha chosha wadau itambidi atumie nguvu kubwa kuchange styleLazikini kama zila alikua amepanic hivi
inawezekana kweliwakazi hamna kituu kazi yakee kujisfiaa tuuu Mara kaishi USA ...Mbeba box tuuu jaamaa hamna kituu...Zilla ndo real Nigger
alipanic coz inaonekana diss ya wakazi ilitanguliaLazikini kama zila alikua amepanic hivi
Umeandika safi sina cha kuongezeaNamfahamu Wakazi personally, Zilla namsikia tu toka ameanza.
Zilla ni mzuri sana wa mitindo huru(freestyle) Wakazi hamgusi hata kidogo.
Kwa hizi diss track Zilla kapotezwa vibaya sana.
Zilla ana flow ambayo mtu yeyote anaweza msikiliza hata kama hupendi hip hop, anajua tasnia ya hip hop bongo na tayari ana hits kadhaa under his belt. Zilla ni mlaini ila believe me you anaweza kukaza vile vile kama wakati ameanza
Wakazi on the other end anajitahidi kuandika ila kwa flow, style yake ni ngumu sana kutoboa bongo. Anajitahidi tu ila sio muandishi mzuri wa caliber za kina Fid, Prof kama yeye anavyojiaminisha hata One, Mbishi, Stereo, Zaiid wamemzidi by miles.
Kwa sasa Wakazi kamficha Zilla, overall Zilla ni balaa.
And..oh hii beef itampa Wakazi coverage wadau wengi hawamfahamu
ila unamfahamu zilla kaka tracks zakeMm hapo sioni wakumpa maana wote ni flow mbovu