Sifikiri kama jamaa anajua anachoongea. 4500CC lita moja kwa kilomita 18!!!Ha ha ha alipoanza kusema CVT inapunguza fuel consumption nikaona niendelee na mada nyingine. Audi A4 za zamani kibao zina CVT,Mini Cooper kibao zina CVT na zinakula mafuta kama gari ingine yoyote tu
Kwanza anatakiwa ajie kuwa hybrid haitumii ile engine yenye cylinders kusukuma gari. Ni motors tu zinazosukumwa na umeme. Kwaio huwezi kusema kuwa eti ina 4500cc na ni 1 ltr for 18km. Maana hybrid ikifanya kazi hizo CC hazina faida yoyote.
Ni very wrong kusema eti Tesla ni 2.0L. Maana itabidi tukuulize Litre of what if its not using petrol nor diesel nor air? Na ndio hivo hivo kusema hybrid car ina CC 4500, cc izo for what if what is moving the car has nothing to do with air and fuel?