Bryson Mbeula
Member
- Sep 25, 2011
- 46
- 4
Ushindi ni ushindi tu, kwani hata Obama anaongoza kwa kuwa na muelekeo wa kurudi madarakani kwa mtizamo wa maoni ya mtandaoni. Anyway, ni mtizamo wangu.
Mbona Zitto amelinganishwa na Dr Slaa? hivi kwani wapiga kura wote wa karatu na kigoma wametoa maoni yao kwenye JF kumaanisha ushindi wa Dr Slaa kwenye JF?si kila kitu tulinganishe na marekani,ni asilimia ngapi ya watanzania wapo kwenye hizo social networks??...huko vijijini watu hawajui hata hiyo "Twitter" ni nini!
Sawa swts, ila jamaa ndiyo anavuma hivyo. Unajua cha ajabu b4 uchaguzi 2010 watu tulipiga kura hapa JF na watu wakahalarisha ushindi wa dr Slaa kupitia mitandao ya magazeti na JF, lakini leo hii JF hao hao JK yupo juu wanabisha, sasa maana yake nini?Ni upepo tuuu..utapita..
Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;
Total popularity Dr Kikwete (President) 43, 724 likes 36,038 Followers 79,762 Dr Wilbrod Slaa 42,388 likes 8,370 Followers 50,758
Source: facebook.com and twitter.com
Kwa maana hiyo watanzania bado wanaimani kubwa sana na Mh. Dr Jakaya Kikwete.
Nawasilisha hoja!
Umenena. Sema kuna wananchi/wapiga kura wabishi humu sijawahi ona. Yaani haya matokeo yangetolewa na REDET nadhani ndiyo ingekuwa matusi. Ila huo ndiyo ukweli Dr JK ni zaidi ya Dr Slaa.kwanza ujiulize ni nani rais wa hii nchi aliyechaguliwa kwa kura nyingi na watanzania..
Dr. JK all the way
Hivi facebook huwa kuna brain au ni play boy excluding being wealthy
bado swali la msingi halijitoshelezi ili liweze kujibika bila kuacha shaka...
unaposema nani maarufu inabidi kui-qualify statement, maarufu katika nini?? Vinginevyo huwezi kupata picha ya unachohitaji kutoka kwa watu makini....
Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;
Total popularity Dr Kikwete (President) 43, 724 likes 36,038 Followers 79,762 Dr Wilbrod Slaa 42,388 likes 8,370 Followers 50,758
Source: facebook.com and twitter.com
Kwa maana hiyo watanzania bado wanaimani kubwa sana na Mh. Dr Jakaya Kikwete.
Nawasilisha hoja!
Umenicheksha sana. Ila Dr JK yupo Juu. Ushahidi ni huo.hebu wacha kuleta comparison za kijinga hapa JF, unawezaje kumcompare dokta na dhaifu????? au umetumwa nini?? grwo up bana, hao wanao mlike dhaifu jk ni mashostito na masharobaro, sawa na kucompare heaven and earth kamwe haziwezi kukutana, dr. slaa yuko juu, huyo dhaifu PHd thesis yake alipresent chuo gani?????
Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;
Total popularity Dr Kikwete (President) 43, 724 likes 36,038 Followers 79,762 Dr Wilbrod Slaa 42,388 likes 8,370 Followers 50,758
Source: facebook.com and twitter.com
Kwa maana hiyo watanzania bado wanaimani kubwa sana na Mh. Dr Jakaya Kikwete.
Nawasilisha hoja!
Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;
Total popularity
Dr Kikwete (President)
43, 724 likes
36,038 Followers
79,762
Dr Wilbrod Slaa
42,388 likes
8,370 Followers
50,758
Source: facebook.com and twitter.com
Kwa maana hiyo watanzania bado wanaimani kubwa sana na Mh. Dr Jakaya Kikwete.
Nawasilisha hoja!
Mwaka huu tarehe 02 October 2012Hii ni hoja au conclusion?
Na hii ni ya mwaka gani?