subiri wataalamu watakujaaaJaman naomba kuuuliza kati ya dhl na fedex wap ni wazuli kuwatumiiiia.......namaaanisha wanaunafuuu ukizungumzia swala la clearance na vi charge vidogo vidogo......maaana kuna sehem nlisikiiia kuwa bora ya dhl maaana hawana vitu kama agent fees na vinginevyo vip kwa upande wenu
Tumia DHL...maaana kuna sehem nlisikiiia kuwa bora ya dhl maaana hawana vitu kama agent fees na vinginevyo vip kwa upande wenu
asante sanaaaaaFedex huwa wanafurahia sana mzigo wako ukizuiwa na TRA mana watakupiga pesa ushangae, yani hata kama uliagiza mzigo wa elfu 50, tra wakadai kodi sh 30 basi wao charge zao za kukutolea mzigo ni 150,000 kwenda juu wakati DHL hawana charges utalipa tra tu. Usijaribu fedex utakuja kuanzisha thread nyingine hapa
Fedex huwa wanafurahia sana mzigo wako ukizuiwa na TRA mana watakupiga pesa ushangae, yani hata kama uliagiza mzigo wa elfu 50, tra wakadai kodi sh 30 basi wao charge zao za kukutolea mzigo ni 150,000 kwenda juu wakati DHL hawana charges utalipa tra tu. Usijaribu fedex utakuja kuanzisha thread nyingine hapa
Mh TDFA na redio wapi na wapi?Yaani mkuu mm hata sielewi nimejaribu kutumia DHL wamenipiga custom duty 280,000,tbs 30,000 jumla 310,000 kwa mzigo wa $199 kutoka USA nimelipa vitu vyote hivyo kwa wakati kabla hata mzigo haujafika nikarelux nikjua mzigo ukifika wata deliver haraka sababu kila kitu tayari sasa mzigo umeshafika mpk leo una siku 10 na hawajanipa feed-back yoyote kuhusu mzigo wangu nimewapigia wananiambia mzigo wako unasubiri kibali cha TFDA wakati parcel yenyewe ni radio sasa hawa mamlaka ya chakula na dawa wanahusika vp na radio na baada ya kusumbuana nao sana wakaniprintia document 3 moja ina details zangu na location ni TZ ya pili ina details za mtu wa uturuki na location ni turkey,ya tatu ni location ni ice land na jina la mtu wa huko sasa cha kushangaza WBN number zinafanana zote tatu lakini details,majina na lacation hatufanani lakini bado nikiwauliza wananiambia lete kibali cha TFDA ndio mzigo utoke sasa mwenzangu labda wewe unawafahamu zaidi unaweza nishauri chochote.
Yaani mkuu mm hata sielewi nimejaribu kutumia DHL wamenipiga custom duty 280,000,tbs 30,000 jumla 310,000 kwa mzigo wa $199 kutoka USA nimelipa vitu vyote hivyo kwa wakati kabla hata mzigo haujafika nikarelux nikjua mzigo ukifika wata deliver haraka sababu kila kitu tayari sasa mzigo umeshafika mpk leo una siku 10 na hawajanipa feed-back yoyote kuhusu mzigo wangu nimewapigia wananiambia mzigo wako unasubiri kibali cha TFDA wakati parcel yenyewe ni radio sasa hawa mamlaka ya chakula na dawa wanahusika vp na radio na baada ya kusumbuana nao sana wakaniprintia document 3 moja ina details zangu na location ni TZ ya pili ina details za mtu wa uturuki na location ni turkey,ya tatu ni location ni ice land na jina la mtu wa huko sasa cha kushangaza WBN number zinafanana zote tatu lakini details,majina na lacation hatufanani lakini bado nikiwauliza wananiambia lete kibali cha TFDA ndio mzigo utoke sasa mwenzangu labda wewe unawafahamu zaidi unaweza nishauri chochote.
Inawezekana wamekosea hs code wametumia ambayo inadai highschool kibali au mizigo yenu wameichanganya ya hiyo waybill nyingine inahitaji highschool kibali
Mkuu umeniacha kidogo hiyo highschool ni nn? wakati mzigo wangu ni radio na sio dawa wala chakula na kwenye details umeandikwa hiyo radio na gharama za manunuzi na jina langu na location ni tz,sasa nashindwa kuelewa elimu wanayoitumia wao wakati kitu kinaeleweka kabisa na waliwezaje kunikadiria kodi na mambo mengine kama hawana uhakika na wanachokifanya kama unafahamu zaidi nieleweshe
Ni hs code sio high school ie harmonised code. Katika kufanya biashara kati ya mataifa shirika la biashara liliamua kuwa na hizo harmonise code ili kutambua mizigo kati ya nchi na nchi. Kutokana na maelezo yako ni kuwa kuna wateja zaidi ya mmoja kwenye waybill hiyo ingawaje sidhani kama ni sawa mmoja wenu mzigo wake unahitaji hicho kibali. Ni vyema ungeenda physical kule DHL airport.
Tumia DHL; ni kampuni llilosambaa kimataifa zaid ya Fedex ambalo kiasili lilikuwa la kimarekani tu; wameanza kupanua huduma zao kuwa za kimataifa siku za hivi karibuni tu na hawajafika sehemu nyingi kama DHL.Jaman naomba kuuuliza kati ya dhl na fedex wap ni wazuli kuwatumiiiia.......namaaanisha wanaunafuuu ukizungumzia swala la clearance na vi charge vidogo vidogo......maaana kuna sehem nlisikiiia kuwa bora ya dhl maaana hawana vitu kama agent fees na vinginevyo vip kwa upande wenu