Kati ya CBE,T.I.A na IAA ni chuo kipi kinaongoza kwa kutoa wahitimu bora wa fani ya ugavi?

Status
Not open for further replies.

Nicky nicky

Senior Member
Aug 20, 2011
106
9
Kama kichwa kinavyo jieleza.Naomba kufahamu ni wapi kati ya cbe,t.i.a na iaa naweza pata elimu nzuri katika fani ya ugavi(procurement & supply management) hasa katika kiwango cha post graduate diploma.Kalibuni!
 
Hapo hamna chuo cha maana zote takataka tu njoo MUCCoBS
 
Nashukulu ila naona MUCCoBS hamna post graduate diploma ya procurement mkuu!!

Ni kweli pale MUCCoBS kuna BACHELOR OF ARTS IN PROCUREMENT AND SUPPLY MANAGEMENT (BA-PSM) hamna PgD yake ila kuna post graduate diploma ya ACCOUNTING &FINANCE,PGD Co-operative and Community development,kuna POST GRADUATE IN SACCoS ,Kuna MASTERS YA BUSINES MANAGEMENT,MASTERS IN PROCUREMENT AND SUPPLY MANAGENENT,MASTER IN Co-operative and community development
 
Kama kichwa kinavyo jieleza.Naomba kufahamu ni wapi kati ya cbe,t.i.a na iaa naweza pata elimu nzuri katika fani ya ugavi(procurement & supply management) hasa katika kiwango cha post graduate diploma.Kalibuni!

Mkuu kama unahitaji uko mbelen uje kuwa na CSP,T I A ze best bcoz mitihan ya bodi na mitahan anayefanya bachela ya ugav T I A mambo ni mulemule
 
Hapana chezea IAA ww, kaka pale ni bonge ls chuo na kina sife kwenye soko la ajila
 
...mkuu hivi vyuo vya hapa katikati ya jiji si kushauri' "wanashindana kwa kutoa wahitimu wa vyup*"
 
Mkuu kama unahitaji uko mbelen uje kuwa na CSP,T I A ze best bcoz mitihan ya bodi na mitahan anayefanya bachela ya ugav T I A mambo ni mulemule

Hilo ndio lengo langu hasa na nimepanga kufukuzia CSP mapema baada ya kuhitimu postgraduate diploma mkuu!
 
Kila mtu ataelezea kwa chuo anachojua, ndo maana mkuu umeuliza post graduate mtu kakujibu bachelor huko Muccobs (kama sijakosea), TIA is the best mitihani ya CSP kama unasoma topic za 3rd year procurement!
 
Nashukulu mkuu kwa kugundua hilo ila bado nakalibisha maoni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom