Old myth that refuses to be buried!inabidi uanze na C kama beginner ili C++ uweze vizuri
3. Unataka kujifunza lugha gani? Ukitaka kwenda Uingereza sharti ujifunze lugha ile. Utafanya makosa sana kama utajifunza Kijerumani ilhali unakwenda London. Inabidi ujue utahitaji lugha gani. Lugha nzuri ya kujifunzia ni Chatu (Python) ambayo itakufunza kupanga simba zako vizuri kwa unadhifu. Pia lugha hii ni rahisi kujifunza na itakupa ujuzi. Baada ya kujua unaweza kutumia lugha uipendayo kama ni Java, C++ au PHP n.k.
Kuna kisasili ambacho hakitaki kufa kinachosema "ukitaka kujifunza lugha A lazima kwanza uanze na B". Mfano "ukitaka kujifunza C++ lazima uanze na C". huu ni uongo. Kiukweli C na C++ ni lugha mbili zinazojitegemea na huhitaji kujua moja ili uelewe nyingine.
habari ndugu nzangu wa jamii f.
bado ninaangaika katika harakati zangu za kujifunza programing.
naomba kufahamishwa ,hivi ni language gani nzuri kwa mtu anayeanza kijifunza programing from the scruch kati ya C++,C# na JAVA ? naomba msaada kaika hili au hata kama kuna language nyingine kwa begginer kuanzia naomba nifahamishwe .
kwa sasa nime-download kitabu cha ''c++ a begginer's guide(2[SUP]nd[/SUP] edition) sijaanza kukisoma ila ila nimepitia kidogo na nimeona jamaa amehusianisha C++ na C# na JAVA.
mwongozo wakuu
NB ; C6 nawe nakutazamia utakuwa mmoja wa watu watakaonipa mwongozo katika hili.
youtube to itunes converter
Same old myth lol 😉Anza na C. It is the easiest. Then unaweza kuchagua java au c++
Anza na C. It is the easiest. Then unaweza kuchagua java au c++