Mkuu ukim-google utapata kila kitu kuhusu yeye but in short she was one of ya wanawake wachache waliokuwa very inspiring kwa wadada wengine kwenye tasnia ya CR na PR.She was very succesful kwenye career yake.
Barclays mabalaa yameandama....ukata mkubwa ndani ya benki.....wafanyakazi kufukuzwa matawi kufungwa na majuzi nako fixed rates mpaka boss wao mkubwa kubwaga manyanga....na sasa dada kati nae anaongeza msiba ndani ya bank....anyway R.I.P da' kati