October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,124
- 1,983
Miye sijui. Habari ndio hiyo. Hutaki acha. Walahi watu wabaya Nye Nye nye. Mayii. Yaleyale ya babu ayubu. Na bado. Ukitoka huko jichunge. Nalia mimi.
Huyu ni naniYaleyale ya babu ayubu. Na bado.
Kazi wa KongwaHuyu ni nani
Acha uwongo, Ayubu Ndugai alikuwa na UKIMWI na Diabetes. Na hivyo ndivyo alitumia billion of shillings kuvitibia mwaka 2015/16 akiwa India.Miye sijui. Habari ndio hiyo. Hutaki acha. Walahi watu wabaya Nye Nye nye. Mayii. Yaleyale ya babu ayubu. Na bado. Ukitoka huko jichunge. Nalia mimi.
We nae kila mtu usiyempenda ana UKIMWI na KISUKARI.Acha uwongo, Ayubu Ngugai alikuwa na UKIMWI na Diabetes. Na hivyo ndivyo alitumia billion of shillings kuvitibia mwaka 2015/16 akiwa India.
Acha uwongo, Ayubu Ngugai alikuwa na UKIMWI na Diabetes. Na hivyo ndivyo alitumia billion of shillings kuvitibia mwaka 2015/16 akiwa India.
Apa mzee alicheka kwa dharaaaauHapa alikuwa anawabananga kwa cheko la kifedhuli linalotoa tafsiri Moja tu.
"Mmelikoroga lazima mlinywe"
View attachment 3505666
Kwani kashfa ya kutumia mabilioni India ya Ndugai unadhani ilitokana na nini?We nae kila mtu usiyempenda ana UKIMWI na KISUKARI.
Vipi, hakuwa na HERPES ZOSTER, maana unaupenda sana huo ugonjwa?
Ila we dingi ni lijinga sana.
ELEZA.Kwani kashfa ya kutumia mabilioni India ya Ndugai unadhani ilitokana na nini?
Soma uzi huu wa 2019, utajuwa mengiELEZA.
Haya.Soma uzi huu wa 2019, utajuwa mengi
BARAZA la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamedai wamemwibukia spika wa Bunge, Job Ndugai, huku wakitaka ripoti ya gharama za matibabu ya kiongozi huyo wa chombo cha kutunga sheria alipokuwa India, iwasilishwe bungeni.
Mwenyekiti wa Baraza hilo, Hashim Issa, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari huku akidai kuwa ndani ya matibabu hayo kuna harufu ya ufisadi.
Issa alidai kuwa matibabu ya Spika Ndugai yalitumia dola za kimarekani milioni 12 na kwamba huo ni ufisadi uliolenga kuvusha fedha ambazo ni kodi za...
- BAK
- Replies: 138
- Forum: Jukwaa la Siasa
Mpaka kufikia kumlazimisha meko awe rais wa maisha kama kurudisha fadhila kwa yale matibabuKwani kashfa ya kutumia mabilioni India ya Ndugai unadhani ilitokana na nini?