Katazo lenye walakini mkubwa

Hawa Wataleban ni watu wa hoyo sana
 
Wanzetu hawatumiagi akili na makatazo yao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Maduka ya nguo za wanawake huko Kabul, Afghanistan yanafunika nyuso za nguo za kike. Maduka yanafunika vichwa vya mannequin na mifuko ya plastiki, magunia ya nguo na vifaa vingine
 
Hii dunia mwarabu ndio angekuwa na nguvu, Vita ingekuwepo kila kona hapakalikiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…