Katazo lenye walakini mkubwa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,107
Reaction score
859,320
Taliban watoa uamuzi mpya katika jimbo la Balkh, Afghanistan, wakisema kuwa wanawake hawaruhusiwi kuwatembelea madaktari wa kiume !!

Kumbuka kwamba hakuna elimu kwa wanawake pia kutokana na Taliban kukataa wanawake wasisome, kwa hivyo hakuna madaktari wa kike pia !!
 
Kweli Wataleban ni noma. Sasa kama hakuna madaktari wanaume itakuaje?

Au watarudi kwenye tiba na dawa za kisunnah?
KUMBUSHO LA SIKU YA 16: Ni asubuhi huko Kabul, Afghanistan. Lakini siku ya giza kwa wasichana wa Afghanistan. #Taliban ilipiga marufuku wanafunzi wa kike wa chuo kikuu kuingia masomoni mnamo Desemba 20, 2022.
 
Afghanistan ni Bora kuzaliwa mwanaume
 
Hao watu walivyovaa aisee,hayo si ni mateso.

Ila safi waache wafuate miongozo yao,vitabu vyao vinasema hivyo,acha iwe hivyo hivyo tu,na waislamu wa bongo nao waige hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…