Sidhani mtu binafasi asiyetumia pesa ya serikali anahitaji hata kuulizwaMimi nimeshangaa kwamba hadi wabunge waombe ruksa?
na waseme safari zao zina manufaa gani kwa taifa?
ina maana hata safari binafsi now sio ruksa?
Ningependa kuwepo na utaratibu..na sio ruksa
mtu akitaka safari yake binafsi aambiwe utaratibu ukoje hasa kama hatumii pesa ya serikali
aufuate.....otherwise tupo China ya Mao.....
Angelipata ushauri watumishi wake wasingeweza kuzuia mtu anayekwenda Krismas kwa pesa zake asipite airportPasco.
Kabla ya kuanza kujenga hoja yako ulitakiwa kwanza upate ukweli kama Rais hajakaa na Spika na pia Jaji Mkuu ili kulijadili suala la safari za nje kwa watumishi wa umma.
Kumbuka tangazo lilikuwa specific. Halikusema watumishi wa serikali bali lilisema watumishi wa umma.
Rais ni taasisi na kwa maana hii, kabla hajafanya jambo lolote hupata ushauri wa kiutaratibu, kanuni, sheria, hekima na busara.
Watz wa Lumumba Magu bado binadamu na hao watendaji bado ni binadamu. Wakikosea, wakivunja sheria au katiba Wakosolewe. Kutetea tu kwa maslahi ya Chama ndio kimetufikisha hapa. Kwa mwendo wenu huu mtamsaidia Magu awe Kama Mkwele. PoleniRais angefanya kitu kimoja tu rahisi, kuwaamuru wote wenye diplomat passport wazirudishe kwanza na wakiwa na safari inayohitaji diplomat wapeleke maelezo, safar binafs wawaache ila waweke mfumo wa mahudhurio kuanzia bungen ili kudhibiti utoro, sasa mtu akikosekana eneo la kazi mpaka bungeni ni kukata mshahara tu mf. kwa siku moja kwa mbunge akikosekana bila tuhusa maalum iwe mil 1 tu nafikiri tutaheshimiana. Rais ashasema nendeni vijijin mkatatue kero za wananchi nyinyi mmekomaa kusafiri na kudhurura mijini tu wakat wananchi wanakufa huko vijijini.
Ikiwezekana tena kuwe na mfumo wa kuomba ruhusa kutoka jimboni kwako na lazima kuwe na saini kuanzia mia 2 zinazoruhusu wewe kusafiri nje kwa siku maalum, ole wako ughushi saini....
Suluhisho ni katiba mpya tu yenye meno makali kwa wajanjawajanja.
Watz wa Lumumba Magu bado binadamu na hao watendaji bado ni binadamu. Wakikosea, wakivunja sheria au katiba Wakosolewe. Kutetea tu kwa maslahi ya Chama ndio kimetufikisha hapa. Kwa mwendo wenu huu mtamsaidia Magu awe Kama Mkwele. Huo udikteta mubaki nao lumumba Poleni
afanye nn ili aonekane wa maana kwenu angefuata power of separation mungesema ni wale wale na kila mkuu wa muhimili ana interest zake bora afanye ivo na sisi tunautaka uo udikteta labda ndo tunaweza kuponaWanabodi,
Naomba kuanza na angalizo: Ukosoaji wowote, utaofanywa kwa kinachofanywa na serikali yetu, kama unatolewa in good faith, kwa nia ya kujenga na sio kubomoa, huu ni ukosoaji mzuri na ni very heathy kwa serikali yoyote yenye nia ya dhati ya kufuata katiba na kuheshimu utawala wa sheria!, kinyume cha hapo ni udikiteta!.
Kitendo cha Mkuu mmoja wa mihimili ya dola, kuingilia haki, uhuru na mamlaka za mihimili mingine, sio kukiuka ile kanuni ya Checks and Balances and The Separation of Powers?!.
Nimehamasika Kuanzisha uzi huu, kufuatia mjadala wa ami ya rais kuzuia safari za nje, pia imewakumba watumishi wa bunge na watumishi wa mahakama!.
Mkuu Mahesabu hapa umeongea jambo la maana sana!, angalia nilivyowajibu hawa watu!.
Sio kila anayelipwa na fedha za umma ni mtumishi wa serikali!, hata vyama, watumishi wote wa vyama vya siasa, kikiwemo Chadema, wanalipwa kwa fedha za umma kupitia ruzuku, hawa sio watumishi wa umma!.
Kuna kanuni za uendeshaji wa serikali zote dunia nzima, ambapo kuna mihimili mitatu, seikali bunge na mahakama!, rais wa nchi ni mkuu wa mhimili mmoja tuu wa serikali, mkuu wa bunge ni spika na mkuu wa mahakama ni Jaji Mkuu!. Kitendo cha rais wa nchi kutoa amri ya kutosafiri kwa watumishi wa bunge na mahakama bila kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi ni rais kuingilia uhuu na madaraka ya vyombo hivi, huku ni kwenda kinyume cha utawala bora!, mimi nakuita ni sehemu tuu ya udikiteta wa Mhe. Rais John Pombe Magufuli!, kitendo cha watu wanaojua the principle of separation of powers, hawakupaswa kulinyamazia hili!.
Kwa vile katazo la rais kuzui safari za nje bila kibali, limetolewa kwa nia njema ili kuzuia safari za nje zisizo na manufaa kwa taifa, rais alipaswa kuwaita Spika na Jaji Mkuu, ili spika na yeye atoe amri kama hiyo kwa wabunge na watumishi wa bunge kuomba kibali kwa Spika kupitia kwa Katibu wa Bunge, na watumishi wa mahakama, kuomba kibali kwa Jaji Mkuu kupitia kwa Msajili wa Mahakama ili ami ya rais iwahusu watumishi wa serikali tuu ikiwa ni seikali kuu na serikali za mitaa. Wabunge wapate vibali ofisi ya bunge na watumishi wa mahakama wapate vibali vya mahakama ili kuepusha kuingilia majukumu kati ya mihimili hii!.
Naomba kuwasilisha.
Heri ya Mwaka Mpya.
Pasco
Pasco usitokwe povu kwa ujinga wako! Kwani tanzania hizo authority 3 zimetenganishwa? Mahakama mpaka jaji mkuu wanateuliwa na nani? Utambishia aliyekuteua? Mpaka sasa hapa kwetu hizo mamlaka tatu hatujaweza kuzitenganisha! Siku tukiweza hii nchi haitakuwa mikononi mwa chama tawala tena na chama tawala kimekuwa kikitumia hiyo authority kuendelea kutawala! Jaji mkuu anateuliwa na rais badala ya tume ya majaji wenzake,tume huru ya uchaguzi ingawa sio huru inateuliwa na rais! Mpka majina ya apeaker na watumishi wa bunge wanatokana na choice za rais! Tukubali tu jamaa aendelee kutuburuza coz ccm mmeruhusu iwe ivyoWanabodi,
Naomba kuanza na angalizo: Ukosoaji wowote, utaofanywa kwa kinachofanywa na serikali yetu, kama unatolewa in good faith, kwa nia ya kujenga na sio kubomoa, huu ni ukosoaji mzuri na ni very heathy kwa serikali yoyote yenye nia ya dhati ya kufuata katiba na kuheshimu utawala wa sheria!, kinyume cha hapo ni udikiteta!.
Kitendo cha Mkuu mmoja wa mihimili ya dola, kuingilia haki, uhuru na mamlaka za mihimili mingine, sio kukiuka ile kanuni ya Checks and Balances and The Separation of Powers?!.
Nimehamasika Kuanzisha uzi huu, kufuatia mjadala wa ami ya rais kuzuia safari za nje, pia imewakumba watumishi wa bunge na watumishi wa mahakama!.
Mkuu Mahesabu hapa umeongea jambo la maana sana!, angalia nilivyowajibu hawa watu!.
Sio kila anayelipwa na fedha za umma ni mtumishi wa serikali!, hata vyama, watumishi wote wa vyama vya siasa, kikiwemo Chadema, wanalipwa kwa fedha za umma kupitia ruzuku, hawa sio watumishi wa umma!.
Kuna kanuni za uendeshaji wa serikali zote dunia nzima, ambapo kuna mihimili mitatu, seikali bunge na mahakama!, rais wa nchi ni mkuu wa mhimili mmoja tuu wa serikali, mkuu wa bunge ni spika na mkuu wa mahakama ni Jaji Mkuu!. Kitendo cha rais wa nchi kutoa amri ya kutosafiri kwa watumishi wa bunge na mahakama bila kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi ni rais kuingilia uhuu na madaraka ya vyombo hivi, huku ni kwenda kinyume cha utawala bora!, mimi nakuita ni sehemu tuu ya udikiteta wa Mhe. Rais John Pombe Magufuli!, kitendo cha watu wanaojua the principle of separation of powers, hawakupaswa kulinyamazia hili!.
Kwa vile katazo la rais kuzui safari za nje bila kibali, limetolewa kwa nia njema ili kuzuia safari za nje zisizo na manufaa kwa taifa, rais alipaswa kuwaita Spika na Jaji Mkuu, ili spika na yeye atoe amri kama hiyo kwa wabunge na watumishi wa bunge kuomba kibali kwa Spika kupitia kwa Katibu wa Bunge, na watumishi wa mahakama, kuomba kibali kwa Jaji Mkuu kupitia kwa Msajili wa Mahakama ili ami ya rais iwahusu watumishi wa serikali tuu ikiwa ni seikali kuu na serikali za mitaa. Wabunge wapate vibali ofisi ya bunge na watumishi wa mahakama wapate vibali vya mahakama ili kuepusha kuingilia majukumu kati ya mihimili hii!.
Naomba kuwasilisha.
Heri ya Mwaka Mpya.
Pasco
Kingine ambacho sikikubali ni utaratibu mzima wa kumzuia mtu asisafiri kwa kumwekea "kigingi" (physical barrier) uwanja wa ndege. Kama kweli tumeweka kanuni na taratibu za utumishi wa umma basi lazima tuendeshe serikali kwa ustaarabu. Watumishi wa umma wanafahamika na wanadhibitika kirahisi tu bila kashkash zote hizo. Hakuna haja ya kupigana "Kabali" kwenye mageti.
Mtu akikiuka taratibu za kusafiri nje asubiri adhabu stahiki kupitia mamlaka iliyomuajiri. Ni kuwapa taabu wafanyakazi viwanjani kuvizia ili kuwatambua watumishi wa umma na kuwazuia "physically" wasisafiri. Mara kadhaa imebidi niwasisitizie jamaa zangu walio nje kuachana na passport za Tanzania wanapokuja nchini. Wahakikishe wana passport na vitambulisho vya mashirika na nchi wanakofanyia kazi kuepuka usumbufu viwanjani wanapoondoka. Hii ni baada ya wawili kuzuiwa hadi tulipoomba kuandikiwa barua kuthibisha wanaishi nje. Walifanya ujinga wa kuja na passport za TZ Pekee wakijivunia "uzalendo"! Tukaishia kulipa gharama za kubadili tarehe ya tiketi za ndege.
Haikubaliki kuwazuia watu wazima airport au getini (kama alivyofanya Mh. Kigwangala) kwenye nchi yenye kanuni, taratibu na mifumo imara ya utumishi wa umma. Nchi zilizoendelea hata kwa makosa ya barabarani unawekewa tiketi ya faini ukalipe mwenyewe benki kwa wakati wako (kukiwa) na deadline.
Mimi nimeshangaa kwamba hadi wabunge waombe ruksa?
na waseme safari zao zina manufaa gani kwa taifa?
ina maana hata safari binafsi now sio ruksa?
Ningependa kuwepo na utaratibu..na sio ruksa
mtu akitaka safari yake binafsi aambiwe utaratibu ukoje hasa kama hatumii pesa ya serikali
aufuate.....otherwise tupo China ya Mao.....
Mao aliwapa wachina nidhamu...waliofuata wakaijenga China. Tunachoogopa nini katika kuelekea kwenye njia sahihi? Kufanya makosa ya kiutendaji? Kwani waliomtangulia Magufuli hawakufanya hayo makosa? Au sababu kuna wengine wachache walineemeka na yaliyokuwa yanaendelea....kama watu wasemavyo kwamba kila enzi na nabii wake..acha tupate displine. ...ili tujitambue. Ule wizi ambao watu wachache kwa kutumia nyadhifa waliubariki ni wizi sio kitu kitakatifu.
Hata huyo Mao asingeweza kuleta discipline leo hii huko China
nyakati zishabadilika
huwezi gombana na nyakati......one man show hazisaidii..
mfumo ndo solution
Mkuu mbona Nguruvi3 anahubiri mfumo hapa daily?
ina maana hujaona kabisa ?