Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki 'Separation of Powers'?

Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo: Ukosoaji wowote, utaofanywa kwa kinachofanywa na serikali yetu, kama unatolewa in good faith, kwa nia ya kujenga na sio kubomoa, huu ni ukosoaji mzuri na ni very heathy kwa serikali yoyote yenye nia ya dhati ya kufuata katiba na kuheshimu utawala wa sheria!, kinyume cha hapo ni udikiteta!.

Kitendo cha Mkuu mmoja wa mihimili ya dola, kuingilia haki, uhuru na mamlaka za mihimili mingine, sio kukiuka ile kanuni ya Checks and Balances and The Separation of Powers?!.

Nimehamasika Kuanzisha uzi huu, kufuatia mjadala wa ami ya rais kuzuia safari za nje, pia imewakumba watumishi wa bunge na watumishi wa mahakama!.

Mkuu Mahesabu hapa umeongea jambo la maana sana!, angalia nilivyowajibu hawa watu!.

Sio kila anayelipwa na fedha za umma ni mtumishi wa serikali!, hata vyama, watumishi wote wa vyama vya siasa, kikiwemo Chadema, wanalipwa kwa fedha za umma kupitia ruzuku, hawa sio watumishi wa umma!.

Kuna kanuni za uendeshaji wa serikali zote dunia nzima, ambapo kuna mihimili mitatu, seikali bunge na mahakama!, rais wa nchi ni mkuu wa mhimili mmoja tuu wa serikali, mkuu wa bunge ni spika na mkuu wa mahakama ni Jaji Mkuu!. Kitendo cha rais wa nchi kutoa amri ya kutosafiri kwa watumishi wa bunge na mahakama bila kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi ni rais kuingilia uhuu na madaraka ya vyombo hivi, huku ni kwenda kinyume cha utawala bora!, mimi nakuita ni sehemu tuu ya udikiteta wa Mhe. Rais John Pombe Magufuli!, kitendo cha watu wanaojua the principle of separation of powers, hawakupaswa kulinyamazia hili!.

Kwa vile katazo la rais kuzui safari za nje bila kibali, limetolewa kwa nia njema ili kuzuia safari za nje zisizo na manufaa kwa taifa, rais alipaswa kuwaita Spika na Jaji Mkuu, ili spika na yeye atoe amri kama hiyo kwa wabunge na watumishi wa bunge kuomba kibali kwa Spika kupitia kwa Katibu wa Bunge, na watumishi wa mahakama, kuomba kibali kwa Jaji Mkuu kupitia kwa Msajili wa Mahakama ili ami ya rais iwahusu watumishi wa serikali tuu ikiwa ni seikali kuu na serikali za mitaa. Wabunge wapate vibali ofisi ya bunge na watumishi wa mahakama wapate vibali vya mahakama ili kuepusha kuingilia majukumu kati ya mihimili hii!.

Naomba kuwasilisha.

Heri ya Mwaka Mpya.
Pasco
Shida inakuja pale jaji mkuubnaye anapokuwa mteule wa rais!
Angalau Spika.
 
sasa huyu jamaa anaabuse power na ni hatari. wabunge watakua wanahongwa safari ili wapitishe miswada ya serikali.
 
kwa mtindohuu unaoendelea kwa sasa itabidi vigogo waanze kusafiri
kwa kupita boda kwa boda au njia za panya maana Airport ishakuwa noma.
 
Mbunge mda wote yupo kazini kama wafanyakazi wengine.
Ndio maana anapata mshahara kila mwezi. Kazi ya mbunge sio kukaa tu kwenye vikao vya bunge. hivyo akitaka kusafiri lazima awe na ruhusa mhimu , vinginevyo achukue leave isiyo na malipo ndo asafiri.
 
WatanZania kwa wingi wetu tunautaka huwo Udikteta ili ututoe hapa, kama Raisi wa nchi mpaka leo hii hajasafiri ili kuokoa gharama hata kutoka tu nje ya Dar ukiondoa kwenda Dodoma mara moja kufungua Bunge, iweje Mbunge yeye asafiri kwa gharama zetu?

Kungekuwepo kitufe cha dislike ningekibonyeza. Rais ameapa kulinda katiba ya nchi ambayo inabainisha mihili mitatu; anapaswa kuongoza kwa kufuata masharti yaliyowekwa na katiba si anavyotaka yeye au wewe. Vinginevyo ashawishi wananchi kubadilisha katiba.
 
Mimi nimeshangaa kwamba hadi wabunge waombe ruksa?
na waseme safari zao zina manufaa gani kwa taifa?

ina maana hata safari binafsi now sio ruksa?

Ningependa kuwepo na utaratibu..na sio ruksa
mtu akitaka safari yake binafsi aambiwe utaratibu ukoje hasa kama hatumii pesa ya serikali
aufuate.....otherwise tupo China ya Mao.....
Safari binafsi kwa wabunge haina shida as long as unajigharamia. Mbona wengi tu wamesafiri. Juzi juzi nilikuwa nao watatu pale JNIA. Wote walienda nje ya nchi. Ila kwa wale wabunge ambao wanatarajia kutumia fedha za hazina ndio watapaswa kuomba kibali kutoka Ikulu kupitia kwa katibu wa Bunge.
 
Last edited:
Anayetaka kusafiri binafsi pia aandike mshahara wa mwezi huo asipewe.
Ni sawa na wewe hapo hata kama unatumia pesa zako binafsi huwezi aacha kazi yako na kusafiri bila ruhusa harafu ulipwe mshahara.
 
Mimi nimeshangaa kwamba hadi wabunge waombe ruksa?
na waseme safari zao zina manufaa gani kwa taifa?

ina maana hata safari binafsi now sio ruksa?

Ningependa kuwepo na utaratibu..na sio ruksa
mtu akitaka safari yake binafsi aambiwe utaratibu ukoje hasa kama hatumii pesa ya serikali
aufuate.....otherwise tupo China ya Mao.....
mkuu huwez kusema safari binafsi then ukawa unatumia passport ye2 ya diplomatic kama unataka mambo ya binafsi tumia pass ya kawaida na ukapandie kule wanakopita wengne si VIP aiwezekan mambo bnafsi ukatumia rasilimali za umma
 
Mwajiri mkuu ni Rais read the Executive branch; ndio inamiliki hazina na ndio huandaa bajeti kuu na kwa hiyo kuwajibika katika "kudhibiti mapato na matumizi"; mihimili iliyobaki ni tegemezi na wao huandaa bajeti za "kutafuna" bajeti kuu ya Executive branch; lakini hata hivyo Pasco; kweli unaamini kwamba hapa kwetu hiyo dhana ya seperation of powers ipo kweli au only in name and theory period; Urais ni Utatu mtakatifu; mihimili mingine ni "wafuasi waaminifu" na katu hawawezi kufurukuta mbele ya utashi wa Ilulu; na hilo ni dhahiri hata katika utendaji wao wa kazi; Utashi wa Ikulu ni amri; dogma; haujadiliwi; its fait accompli! Angalia rekodi ya maazimio ya Bunge na baadhi ya hukumu za mahakama! The Executive branch ndio de facto Ultimate Authority; Alpha na Omega period.
 
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo: Ukosoaji wowote, utaofanywa kwa kinachofanywa na serikali yetu, kama unatolewa in good faith, kwa nia ya kujenga na sio kubomoa, huu ni ukosoaji mzuri na ni very heathy kwa serikali yoyote yenye nia ya dhati ya kufuata katiba na kuheshimu utawala wa sheria!, kinyume cha hapo ni udikiteta!.

Kitendo cha Mkuu mmoja wa mihimili ya dola, kuingilia haki, uhuru na mamlaka za mihimili mingine, sio kukiuka ile kanuni ya Checks and Balances and The Separation of Powers?!.

Nimehamasika Kuanzisha uzi huu, kufuatia mjadala wa ami ya rais kuzuia safari za nje, pia imewakumba watumishi wa bunge na watumishi wa mahakama!.

Mkuu Mahesabu hapa umeongea jambo la maana sana!, angalia nilivyowajibu hawa watu!.

Sio kila anayelipwa na fedha za umma ni mtumishi wa serikali!, hata vyama, watumishi wote wa vyama vya siasa, kikiwemo Chadema, wanalipwa kwa fedha za umma kupitia ruzuku, hawa sio watumishi wa umma!.

Kuna kanuni za uendeshaji wa serikali zote dunia nzima, ambapo kuna mihimili mitatu, seikali bunge na mahakama!, rais wa nchi ni mkuu wa mhimili mmoja tuu wa serikali, mkuu wa bunge ni spika na mkuu wa mahakama ni Jaji Mkuu!. Kitendo cha rais wa nchi kutoa amri ya kutosafiri kwa watumishi wa bunge na mahakama bila kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi ni rais kuingilia uhuu na madaraka ya vyombo hivi, huku ni kwenda kinyume cha utawala bora!, mimi nakuita ni sehemu tuu ya udikiteta wa Mhe. Rais John Pombe Magufuli!, kitendo cha watu wanaojua the principle of separation of powers, hawakupaswa kulinyamazia hili!.

Kwa vile katazo la rais kuzui safari za nje bila kibali, limetolewa kwa nia njema ili kuzuia safari za nje zisizo na manufaa kwa taifa, rais alipaswa kuwaita Spika na Jaji Mkuu, ili spika na yeye atoe amri kama hiyo kwa wabunge na watumishi wa bunge kuomba kibali kwa Spika kupitia kwa Katibu wa Bunge, na watumishi wa mahakama, kuomba kibali kwa Jaji Mkuu kupitia kwa Msajili wa Mahakama ili ami ya rais iwahusu watumishi wa serikali tuu ikiwa ni seikali kuu na serikali za mitaa. Wabunge wapate vibali ofisi ya bunge na watumishi wa mahakama wapate vibali vya mahakama ili kuepusha kuingilia majukumu kati ya mihimili hii!.

Naomba kuwasilisha.

Heri ya Mwaka Mpya.
Pasco
Mwajiri mkuu ni Rais read the Executive branch; ndio inamiliki hazina na ndio huandaa bajeti kuu na kwa hiyo kuwajibika katika "kudhibiti mapato na matumizi"; mihimili iliyobaki ni tegemezi na wao huandaa bajeti za "kutafuna" bajeti kuu ya Executive branch; lakini hata hivyo Pasco; kweli unaamini kwamba hapa kwetu hiyo dhana ya seperation of powers ipo kweli au only in name and theory period! Urais ni Utatu mtakatifu; mihimili mingine ni "wafuasi waaminifu" na katu hawawezi kufurukuta mbele ya utashi wa Ikulu; na hilo ni dhahiri hata katika utendaji wao wa kazi; Utashi wa Ikulu ni amri; dogma; haujadiliwi; its fait accompli! Angalia rekodi ya utekelezaji wa maazimio ya Bunge na baadhi ya hukumu za mahakama! The Executive branch ndio de facto Ultimate Authority; Alpha na Omega period.
 
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo: Ukosoaji wowote, utaofanywa kwa kinachofanywa na serikali yetu, kama unatolewa in good faith, kwa nia ya kujenga na sio kubomoa, huu ni ukosoaji mzuri na ni very heathy kwa serikali yoyote yenye nia ya dhati ya kufuata katiba na kuheshimu utawala wa sheria!, kinyume cha hapo ni udikiteta!.

Kitendo cha Mkuu mmoja wa mihimili ya dola, kuingilia haki, uhuru na mamlaka za mihimili mingine, sio kukiuka ile kanuni ya Checks and Balances and The Separation of Powers?!.

Nimehamasika Kuanzisha uzi huu, kufuatia mjadala wa ami ya rais kuzuia safari za nje, pia imewakumba watumishi wa bunge na watumishi wa mahakama!.

Mkuu Mahesabu hapa umeongea jambo la maana sana!, angalia nilivyowajibu hawa watu!.

Sio kila anayelipwa na fedha za umma ni mtumishi wa serikali!, hata vyama, watumishi wote wa vyama vya siasa, kikiwemo Chadema, wanalipwa kwa fedha za umma kupitia ruzuku, hawa sio watumishi wa umma!.

Kuna kanuni za uendeshaji wa serikali zote dunia nzima, ambapo kuna mihimili mitatu, seikali bunge na mahakama!, rais wa nchi ni mkuu wa mhimili mmoja tuu wa serikali, mkuu wa bunge ni spika na mkuu wa mahakama ni Jaji Mkuu!. Kitendo cha rais wa nchi kutoa amri ya kutosafiri kwa watumishi wa bunge na mahakama bila kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi ni rais kuingilia uhuu na madaraka ya vyombo hivi, huku ni kwenda kinyume cha utawala bora!, mimi nakuita ni sehemu tuu ya udikiteta wa Mhe. Rais John Pombe Magufuli!, kitendo cha watu wanaojua the principle of separation of powers, hawakupaswa kulinyamazia hili!.

Kwa vile katazo la rais kuzui safari za nje bila kibali, limetolewa kwa nia njema ili kuzuia safari za nje zisizo na manufaa kwa taifa, rais alipaswa kuwaita Spika na Jaji Mkuu, ili spika na yeye atoe amri kama hiyo kwa wabunge na watumishi wa bunge kuomba kibali kwa Spika kupitia kwa Katibu wa Bunge, na watumishi wa mahakama, kuomba kibali kwa Jaji Mkuu kupitia kwa Msajili wa Mahakama ili ami ya rais iwahusu watumishi wa serikali tuu ikiwa ni seikali kuu na serikali za mitaa. Wabunge wapate vibali ofisi ya bunge na watumishi wa mahakama wapate vibali vya mahakama ili kuepusha kuingilia majukumu kati ya mihimili hii!.

Naomba kuwasilisha.

Heri ya Mwaka Mpya.
Pasco
Kaka mkuu pasco

Rex non potest peccare
 
SUBIRI WAZUILIWE HADI KIBALI. WENGINE WANAKWENDA KUFICHA MA $ WALIYOKUWA WAMEIBA. HUKU SERIKALI IMEBAKIA DEBETUPU TU !
 
Mzee Mchop; Punguza munkari nasi wa kayumba schools tukuelewe kidogo?!
 
Pasco.

Kabla ya kuanza kujenga hoja yako ulitakiwa kwanza upate ukweli kama Rais hajakaa na Spika na pia Jaji Mkuu ili kulijadili suala la safari za nje kwa watumishi wa umma.

Kumbuka tangazo lilikuwa specific. Halikusema watumishi wa serikali bali lilisema watumishi wa umma.

Rais ni taasisi na kwa maana hii, kabla hajafanya jambo lolote hupata ushauri wa kiutaratibu, kanuni, sheria, hekima na busara.
Mchumia tumbo kwenye ubora wake

Ni makosa rais kuitawala mihimili yote .
Sishangai bunge letu likawa bunge dhaifu kuliko yote yalowahi kutokea na. Huu ni mfano mdogo

Kwanza sidhan km wewe hua una akili

Katibu wa bunge mwenyewe anasema hafahamu kama zuio la rais linawagusa mpaka bunge.
Bunge ni muhimili mwingine huru kabisa

Mahakama vile vile inapaswa kuwa huru

Tatizo la watanzania baadhi ni elimu juu ya mambo fulani fulan kwenye utawala na masuala ya kisheria.

PAC mkuu inakulipa sana ndo mana umeenda mpaka kuroga kama ulivyomroga david kafulila.
Kiongozi hata familia huna lazima ukimbie jimbo
 
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo: Ukosoaji wowote, utaofanywa kwa kinachofanywa na serikali yetu, kama unatolewa in good faith, kwa nia ya kujenga na sio kubomoa, huu ni ukosoaji mzuri na ni very heathy kwa serikali yoyote yenye nia ya dhati ya kufuata katiba na kuheshimu utawala wa sheria!, kinyume cha hapo ni udikiteta!.

Kitendo cha Mkuu mmoja wa mihimili ya dola, kuingilia haki, uhuru na mamlaka za mihimili mingine, sio kukiuka ile kanuni ya Checks and Balances and The Separation of Powers?!.

Kuna kanuni za uendeshaji wa serikali zote dunia nzima, ambapo kuna mihimili mitatu, seikali bunge na mahakama!, rais wa nchi ni mkuu wa mhimili mmoja tuu wa serikali, mkuu wa bunge ni spika na mkuu wa mahakama ni Jaji Mkuu!. Kitendo cha rais wa nchi kutoa amri ya kutosafiri kwa watumishi wa bunge na mahakama bila kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi ni rais kuingilia uhuu na madaraka ya vyombo hivi, huku ni kwenda kinyume cha utawala bora!, mimi nakuita ni sehemu tuu ya udikiteta wa Mhe. Rais John Pombe Magufuli!, kitendo cha watu wanaojua the principle of separation of powers, hawakupaswa kulinyamazia hili!.

Kwa vile katazo la rais kuzui safari za nje bila kibali, limetolewa kwa nia njema ili kuzuia safari za nje zisizo na manufaa kwa taifa, rais alipaswa kuwaita Spika na Jaji Mkuu, ili spika na yeye atoe amri kama hiyo kwa wabunge na watumishi wa bunge kuomba kibali kwa Spika kupitia kwa Katibu wa Bunge, na watumishi wa mahakama, kuomba kibali kwa Jaji Mkuu kupitia kwa Msajili wa Mahakama ili ami ya rais iwahusu watumishi wa serikali tuu ikiwa ni seikali kuu na serikali za mitaa. Wabunge wapate vibali ofisi ya bunge na watumishi wa mahakama wapate vibali vya mahakama ili kuepusha kuingilia majukumu kati ya mihimili hii!.

Naomba kuwasilisha.

Heri ya Mwaka Mpya.
Pasco

Mkuu Pasco kheri ya nwaka mpya.

Sasa naona unaanza mwaka mpya kwa kasi tofauti kidogo, unapotosha umma.

Hakuna suala baya kama la kupotosha umma kwa kutumia kalamu.

Rejea taarifa ya Premi Kibanga aloitoa tarehe 7 November mwaka jana kuhusiana na hili suala la mheshimiwa raisi kuzuia safari za nje.

Katika taarifa yake hiyo, kwenye kuzuiwa kwa safari za nje alisema nanukuu, "Amefuta safari zote za nje ya nchi kuanzia leo hadi hapo atakapolitolea suala hilo maamuzi mengine na kueleza kuwa shughuli zote zinazotakiwa kufanywa nje ya nchi zifanywe na kusimamiwa na mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha nchi huko nje" mwisho wa kunukuu.

Pia taarifa hiyo ya bwana Kibanga ilendelea kusema, nanukuu " pengine patokee jambo la dharura sana na hata hilo lazima kibali kitolewe na Rais au Katibu Mkuu Kiongozi. Badala yake Rais amewataka watendaji hao kufanya zaidi ziara za kwenda vijijini ili kuzijua na kutatua kero za wananchi wa Tanzania" mwisho wa kunukuu.

Kwahio basi kumshutumu au kumsingizia raisi kwamba hafahamu na amekiuka masuala ya checks na balances na separation of powers naona unaruka ukuta kuingia bondeni bila kushurutishwa.

Pia unaenda mbali mno kumuita raisi ni dikteta.

Raisi amesitisha safari za nje mpaka atakapotoa maamuzi mapya.

Lakini raisi hakuzuia jaji yoyote yule au mbunge yoyote yule kusafiri kwa safari binafsi na zilizoandaliwa kabla yeye hajaingia madarakani.

Mbona Spika wa Bunge mwishoni mwa mwaka jana alienda India kuangaliwa afya yake na akarudi bila kuzuiwa?

Sisi watu wa kitambo hapa tujaribu kuwa makini sana kwenye masuala haya ya kuelekeza.
 
Rais anaweza asisafiri kwenda nje kwa sababu zake Kama alivyokuwa Jomo Kenyata(1963-77). Hoja hapa ni kuwa kwa maelekezo yaliyotolewa, ni sawa kumzuia Mh Mbunge?
SAWA
Wabunge wote , wa CCM na Vyama vingine ni watumishi wa serikali.
wanapaswa kufuata sheria zote kama watumishi wengine.
wakati wapo kazini hawata ruhusiwa kusafiri bila ya ruhusa kazini au atumie likizo lake au sick days zake.
Na zikimalizika itabidi achukue likizo bila malipo. Hizo ndio sharia za watumishi wa serikali.
Vyama vinapata ruzuku kutoka serikalini lakini watendaji wake sio wafanya kazi waserikali. Wafanya kazi wa vyama ni tafauti na wabunge.
wabunge ni sawa na wanasheria au majaji au watumishi wengine.
Kazi za wabunge sio kwenda bungeni tuu hata kama bunge halipo wawo bado wanakazi zakufanya.
 
Back
Top Bottom