Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,431
CHADEMA au Tundu Lissu? Mimi naona Lissu (mnyika, heche na wengine wenye mtizamo kama wao) wanaenda kuwa watu pekee relevant ndani ya chama chenu, wengine wameridhika na kuwa 'chama kikuu cha upinzani', wanawaza majimbo watakayopewa na mwenyekiti wa CCM hiyo 2025.Mungu aibariki sana Chadema kwa kuwaamsha na kuwapigania watanzania
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Huyu Mwamba kwa akili hizi kila siku anakuwa Ahead of TimeAnasema ndani ya Muswada huo hata wale walinzi wa Wagombea wa Urais wakati wa Uchaguzi , wale waliokuwa Polisi na waliratibiwa na IGP , sasa wanatakiwa waondolewe na Wawekwe maofisa wa Usalama wa Taifa ambao wataripoti moja kwa moja kwa Rais , ambaye naye atakuwa Mgombea , maana usalama wa Taifa ni kitengo kitakachokuwa chini yake moja kwa moja.
Lissu yuko vizuri sanaCHADEMA au Tundu Lissu? Mimi naona Lissu (mnyika, heche na wengine wenye mtizamo kama wao) wanaenda kuwa watu pekee relevant ndani ya chama chenu, wengine wameridhika na kuwa 'chama kikuu cha upinzani', wanawaza majimbo watakayopewa na mwenyekiti wa CCM hiyo 2025.
BTW, naungana na Lissu, badala ya kumpunguzia madara Rais wanataka kumwongezea? Hapo kweli kuna nia ovu. Taasisi zinazofanya kazi kwa siri bila uwajibikaji ziko kwenye hatari kubwa zaid ya kutumiwa vibaya ma wenye madaraka kukandamiza wengine.
Intelligence service should never be used a president's personal tool of intimidation and expression.
Hayo marekebisho ndio sahihi na yanaleta uhalisia. Utawala bora ilikuwa kivuli tu bora ijulikane direct Rais yuko responsible.
Hofu ya kuondolewa Polisi itabadili nini wakiwa usalama? Bado Rais ni amri jeshi akitaka taarifa atazipata tu.
Issue ya Usalama kukatazwa kufanya kazi za Polisi nafikiri iliwafunga mikono Usalama na wakati mwingine kuhatarisha kuharibu operation zao. Ijulikane tu aina ya makosa watayo deal nayo direct bila kupitia Polisi.
Ngoja apate mamlaka zaidi awashushulikie vizuri Sukuma Gang😀Hayo marekebisho ndio sahihi na yanaleta uhalisia. Utawala bora ilikuwa kivuli tu bora ijulikane direct Rais yuko responsible.
Hofu ya kuondolewa Polisi kwa wagombea itabadili nini wakiwa usalama? Bado Rais ni amri jeshi mkuu akitaka taarifa atazipata tu.
Issue ya Usalama kukatazwa kufanya kazi za Polisi nafikiri iliwafunga mikono Usalama na wakati mwingine kuhatarisha kuharibu operation zao. Ijulikane tu aina ya makosa watayo deal nayo direct bila kupitia Polisi.
Mambo mengine kuyabadili yanataka reforms kubwa ya katiba au katiba mpya. Hapo ndio tutaweza ku define vizuri madaraka ya Rais ila kwasasa haiwezekani na huo ndio ukweli mchungu.Kwa maslahi ya Ccm ni sahihikwa maslahi ya Taifa Rais ni binadamu tu kama wewe Responsibility ibaki kwenye Taasis na sio kwenye mtu.
Kushughulikiana ndio maisha yenyewe na awamu zote ipo hiyo. Hata Trump anashughulikiwaNgoja apate mamlaka zaidi awashushulikie vizuri Sukuma Gang
😀😀😀Kushughulikiana ndio maisha yenyewe na awamu zote ipo hiyo. Hata Trump anashughulikiwa
Ndio maana tunazungumzia Katiba Mpya kwa sasaMambo mengine kuyabadili yanataka reforms kubwa ya katiba au katiba mpya. Hapo ndio tutaweza ku define vizuri madaraka ya Rais ila kwasasa haiwezekani na huo ndio ukweli mchungu.
Kitengo cha madawa nacho walikua hivyo hivyo ila sheria ikabadilishwa wakawa na uwezo wa kubeba silaha.Hayo marekebisho ndio sahihi na yanaleta uhalisia. Utawala bora ilikuwa kivuli tu bora ijulikane direct Rais yuko responsible.
Hofu ya kuondolewa Polisi kwa wagombea itabadili nini wakiwa usalama? Bado Rais ni amri jeshi mkuu akitaka taarifa atazipata tu.
Issue ya Usalama kukatazwa kufanya kazi za Polisi nafikiri iliwafunga mikono Usalama na wakati mwingine kuhatarisha kuharibu operation zao. Ijulikane tu aina ya makosa watayo deal nayo direct bila kupitia Polisi.
Unataka wafunguliwe mikono na wao waanze kukimbizana na wezi na kazi zingine za ulinzi wa raia na Mali zao?Hayo marekebisho ndio sahihi na yanaleta uhalisia. Utawala bora ilikuwa kivuli tu bora ijulikane direct Rais yuko responsible.
Hofu ya kuondolewa Polisi kwa wagombea itabadili nini wakiwa usalama? Bado Rais ni amri jeshi mkuu akitaka taarifa atazipata tu.
Issue ya Usalama kukatazwa kufanya kazi za Polisi nafikiri iliwafunga mikono Usalama na wakati mwingine kuhatarisha kuharibu operation zao. Ijulikane tu aina ya makosa watayo deal nayo direct bila kupitia Polisi.
Makosa ya Takukuru wakamate Takukuru, Uhamiaji wakamate uhamiaji, ya kipolisi wakamate polisi na usalama wa Taifa wa handle pia mambo yao kwa mujibu wa sheria zao.Unataka wafunguliwe mikono na wao waanze kukimbizana na wezi na kazi zingine za ulinzi wa raia na Mali zao?
A tiger watching a chicken pen. Tafsiri: Kicheche kupewa kazi ya kulinda banda la kuku. Total conflict of interest.CHADEMA au Tundu Lissu? Mimi naona Lissu (mnyika, heche na wengine wenye mtizamo kama wao) wanaenda kuwa watu pekee relevant ndani ya chama chenu, wengine wameridhika na kuwa 'chama kikuu cha upinzani', wanawaza majimbo watakayopewa na mwenyekiti wa CCM hiyo 2025.
BTW, naungana na Lissu, badala ya kumpunguzia madara Rais wanataka kumwongezea? Hapo kweli kuna nia ovu. Taasisi zinazofanya kazi kwa siri bila uwajibikaji ziko kwenye hatari kubwa zaid ya kutumiwa vibaya ma wenye madaraka kukandamiza wengine.
Intelligence service should never be turned into a president's personal tool.
Ndio maana tunapinga na tunataka Kstiba mpyaHivi hiyo sheria ikapitishwa, halafu mama "akatoka" akaingizwa "wema hawafi", si tutakoma sana? unajua mimi ni nani....??