Katavi: Tundu Lissu apinga Muswada wa Sheria ya Usalama wa Taifa kuwasilishwa bungeni, adai utaleta Ukiritimba

Kwani Nchi kama marekani FBI iko chini ya wizara gani ? Au ni kitengo kinachojitegemea ?!
Department of Justice...

The Federal Bureau of Investigation(FBI) is the domestic intelligence and security service of the United States and its principal federal law enforcement agency.

Operating under the jurisdiction of the United States Department of Justice, the FBI is also a member of the U.S. Intelligence Community and reports to both the Attorney General and the Director of National Intelligence.[3]

A leading U.S. counterterrorism, counterintelligence, and criminal investigative organization, the FBI has jurisdiction over violations of more than 200 categories of federal crimes.[4][5]

Federal Bureau of Investigation
Federal Bureau of Investigation's seal
Federal Bureau of Investigation's seal
FBI special agent badge
FBI special agent badge
Flag of the Federal Bureau of Investigation

Federal Bureau of Investigation's seal's seal
Federal Bureau of Investigation's seal
FBI special agent badge
FBI special agent badge
Flag of the Federal Bureau of Investigation
Flag of the Federal Bureau of Investigation
Thank you .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
We want it be independent like CIA, lakini pia iweze kuwa moderated na yenyewe isijeikatekwa na kuleta majanga
 CIA.jpg

CIA2.jpg

CIA 3.jpg

CIA4.jpg

CIA5.jpg
 
Lakini pia si lazima kufuata miundo ya wengine, we can establish our own things kwa jinsi tunaona inafaa...Ni kukosa tu confidence kudhani hao wengine wanaweza kuliko sisi...Nia iwe tuwe na kitu ambacho kitatufaa...
 
I concur, but thats how we start, safari ya 1000 miles starts with 1M...Nchi hii ina miaka mingi kuliko individuals, tunapoanza mawazo kama haya na kufikiria tu reforms, we are already one step in the process so take heart, its a process and I believe, my faith can enhance the steps that are starting the process
Kabisa !
 
Kitendo Cha usalama wa Taifa kuwasiliana Moja kwa moja na rais kitasaidia rais kupata taarifa sahihi kwa wakati sahihi, usalama wa Taifa walipokuwa chini ya wizara ya utawala Bora taarifa nyingi zilikuwa zinachujwa kabla ya kumfikia rais badala yake wakawa wanamplekea taarifa ama za kumfurahisha rais au zile zinazoficha maovu Yao.
Fikiria mtu kama Sophia Simba anasimamia usalama wa Taifa unategemea taarifa gani atakuwa anampelekea rais
 
Lissu kigeugeu.. kweli kwenye clubhouse flani aliwai kulalamika na kushauri mabadiliko ya sheria yafanyike katika idara hii ya usalama wa taifa.. leo hii tena anapinga, sasa anataka hayo mapendekezo na mabadiliko yafanyikie wapi.?
 
Siyo kubadilisha kibwege kama hivi
 
Akizungumza kwenye Oparesheni ya chama chake inayoitwa 255 ambayo sasa iko Mkoa wa Katavi Tundu Lissu, amedai kwamba amepewa Taarifa ya kupelekwa Muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa Bungeni, kwenye vikao vinavyoendelea huku akidai kwamba Muswada huo una nia ovu.

Mbele ya Maelfu ya Wananchi Lissu amedai kwamba lengo la Muswada huo ni kumpatia Rais Mamlaka ya moja kwa moja ya kuendesha shughuli za Usalama wa Taifa na kuondoa mamlaka hayo kwa Waziri wa Utawala Bora kama ilivyo sheria ya sasa ambayo ilitungwa wakati wa uongozi wa Benjamin Mkapa, ambako Mawaziri waliowahi kuhudumu walikuwa Mkuchika na Masilingi.

Lissu amesema kifungu cha 5:2(b) cha sheria hiyo ya mwaka 1996 kinakataza maofisa wa Usalama wa Taifa kufanya kazi za Polisi, jambo ambalo kwenye muswada huu wa sasa linaenda kuondolewa.

Anasema ndani ya Muswada huo hata wale walinzi wa Wagombea wa Urais wakati wa Uchaguzi, wale waliokuwa Polisi na waliratibiwa na IGP sasa wanatakiwa waondolewe na Wawekwe maofisa wa Usalama wa Taifa ambao wataripoti moja kwa moja kwa Rais ambaye naye atakuwa Mgombea, maana usalama wa Taifa ni kitengo kitakachokuwa chini yake moja kwa moja.

Toa Maoni yako.

Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya Usimamizi wa Rais watua Bungeni
Naunga mkono hoja,hakuna aliye salama na unaweza singiziwa kesi au ukatupwa kwenye viroba no sheria kuchukuliwa,mbaya sana hii.
 
Mambo mengine kuyabadili yanataka reforms kubwa ya katiba au katiba mpya. Hapo ndio tutaweza ku define vizuri madaraka ya Rais ila kwasasa haiwezekani na huo ndio ukweli mchungu.
Kwahiyo tuache tu yapite hata ambayo yanaonekana kwa macho kuwa hayafai kwa kisingizio Cha kusubiri katiba mpya
 
Akizungumza kwenye Oparesheni ya chama chake inayoitwa 255 ambayo sasa iko Mkoa wa Katavi Tundu Lissu, amedai kwamba amepewa Taarifa ya kupelekwa Muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa Bungeni, kwenye vikao vinavyoendelea huku akidai kwamba Muswada huo una nia ovu.

Mbele ya Maelfu ya Wananchi Lissu amedai kwamba lengo la Muswada huo ni kumpatia Rais Mamlaka ya moja kwa moja ya kuendesha shughuli za Usalama wa Taifa na kuondoa mamlaka hayo kwa Waziri wa Utawala Bora kama ilivyo sheria ya sasa ambayo ilitungwa wakati wa uongozi wa Benjamin Mkapa, ambako Mawaziri waliowahi kuhudumu walikuwa Mkuchika na Masilingi.

Lissu amesema kifungu cha 5:2(b) cha sheria hiyo ya mwaka 1996 kinakataza maofisa wa Usalama wa Taifa kufanya kazi za Polisi, jambo ambalo kwenye muswada huu wa sasa linaenda kuondolewa.

Anasema ndani ya Muswada huo hata wale walinzi wa Wagombea wa Urais wakati wa Uchaguzi, wale waliokuwa Polisi na waliratibiwa na IGP sasa wanatakiwa waondolewe na Wawekwe maofisa wa Usalama wa Taifa ambao wataripoti moja kwa moja kwa Rais ambaye naye atakuwa Mgombea, maana usalama wa Taifa ni kitengo kitakachokuwa chini yake moja kwa moja.

Toa Maoni yako.

Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya Usimamizi wa Rais watua Bungeni
Usalama wa taifa alinde viongozi, Kwa hyo tuwajue Tena siyo Siri Tena inaweza kuwa KAZI ya open kama zingne Tanzania inch yangu unashangza sana
 
Usalama wa Taifa nachojua wana ripoti moja kwa moja kwa Mh. Rais, na iko chini ya Mh. Rais, nadhani hiyo sheria eti Usalama wa Taifa iwe chini ya Waziri wa Utawala Bora ni kosa.

Kiutekelezaji hata sasa, Usalama wa Taifa wana ripoti kwa Mh. Rais, hivyo sheria ikibadilishwa na waripoti kwa Mh Rais, itakuwa bora, sbb kiutendaji hata sasa iko hivyo.

Tundu Lissu anaropoka hovyo, hajui kitu
Wewe mjinga
 
Back
Top Bottom