Kwakweli warudishiwe meno yao, maana kuwaondolea hayo meno kunali cost sana nchiHayo marekebisho ndio sahihi na yanaleta uhalisia. Utawala bora ilikuwa kivuli tu bora ijulikane direct Rais yuko responsible.
Hofu ya kuondolewa Polisi kwa wagombea itabadili nini wakiwa usalama? Bado Rais ni amri jeshi mkuu akitaka taarifa atazipata tu.
Issue ya Usalama kukatazwa kufanya kazi za Polisi nafikiri iliwafunga mikono Usalama na wakati mwingine kuhatarisha kuharibu operation zao. Ijulikane tu aina ya makosa watayo deal nayo direct bila kupitia Polisi.