Kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kutengeneza video za AI huko mitandaoni, huku wengine wakifika mbali kwa kumvua nguo rais wa nchi, sasa nataka niwakomeshe hao watu. Wakati wa Rais Nyerere, mwinyi, mkapa, na kikwete aya mambo hayakuwepo kabisa. Ila naona Rais Samia mmemfanya kama Bibi yenu...
Tanzania inapokipiga kambi katika ukurasa wa historia ili kuwa mwenyeji wa matukio makubwa ya kimataifa, ikiwemo mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), taifa hili linajikuta katika njiapanda ya kipekee.
Upande mmoja ni hitaji la msingi la kuhakikisha ulinzi na salama wa raia, wageni...
Tuna wanasiasa wengi sana wapo kwa maslahi ya matumbo yao tu lakini wana support siasa ambazo moyoni wenyewe wanazipinga. Moja yao ni Prof. Mkumbo na Katambi.
Wote walikuwa wameongea sana huko nyuma kuhusu umuhimu wa kufuata sheria na demokrasia sasa eti wamebadilika! Njaa mbaya sana. Mkumbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.