Katambi: Lissu ni mwehu namjua vizuri atauza nchi asubuhi kweupe, kama anabisha ajitokeze hadharani

Angalia video hii ujifunze kuhusu matatizo ya Tanzania na mtatuzi wake, jinsi wapinzani wanavyotupotosha. Angalia kabla ya kukurupuka kujibu pumba.

------

Katambi amedai Lissu sio mtu sahihi sana kwani anamfahamu vyema. Katambi anasema Lissu ni mpotoshaji kwamba matatizo ya Tanzania yanasababishwa na Magufuli au CCM. Katambi amesema matatizo hayo ni ya kihistoria yamesababishwa na ukoloni wa zamani ulioondolewa na ukoloni mamboleo.

Amesema matatizo yaliyopo ni 'shared' ambayo ya ni ujinga, maradhi, umasikina na sasa ufisadi. Amesema shared enemy tuliyenae leo ni ukoloni mamboleo ambao wanakuja kupora rasilimali.

Amesema Lissu anayeungana na Zitto Kabwe leo ndio aliyesoma mashtaka ya Zitto kumuondoa CHADEMA wakisema ni msaliti, kinyonga na mnafiki. Wanasema aliondolewa kwa sababu alitaka kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA kwa maslahi yake binafsi.

Moja ya mashtaka amedai alipewa fedha akauza majimbo kanda ya ziwa mkoa wa Mara na alipewa gari pamoja na milioni 40 na Mkono.

Amesema wamtafute mtu kama yeye wafanye nae debate, wasimtafute mtu mkuubwa kama Magufuli kwani hawana hio audacity wala moral authority bali ni saizi yao.

Anasema Zitto alietuhumiwa CHADEMA kwa mambo mengi ya hovyo mpaka Lema kusema bora kumuamini shetani kuliko Zitto Kabwe na amedai ACT ni zao la Membe kwani limetengenezwa na timu ya Membe ili kuweza ku-counter CHADEMA wakati huo..

Nadhani hoja ya Lisu ina mashiko, hakuna aliyeendekeza matatizo ya wakulima , wafanyakazi, wafanyabiashara wa Tanzania zaidi ya mfumo wa utawala wa nchi hii kwa zaidi ya miongo sita sasa
 
Katambi kuwa mstaarabu kwenye Mitandao !!!!! Lugha unazotumia siyo maadili yetu Watanzania ! Usianze kuharibu amani ya Nchi hii ! Kuwa mtu mzima . Chunga Sana kinywa chako ! Tunataka amani na Upendo utawale Uchaguzi huu . Mtu uliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya unatoa kauli chafu namna hii ?! Unamdhalilisha Mheshimiwa Rais .
 
Angalia video hii ujifunze kuhusu matatizo ya Tanzania na mtatuzi wake, jinsi wapinzani wanavyotupotosha. Angalia kabla ya kukurupuka kujibu pumba.

------

Katambi amedai Lissu sio mtu sahihi sana kwani anamfahamu vyema. Katambi anasema Lissu ni mpotoshaji kwamba matatizo ya Tanzania yanasababishwa na Magufuli au CCM. Katambi amesema matatizo hayo ni ya kihistoria yamesababishwa na ukoloni wa zamani ulioondolewa na ukoloni mamboleo.

Amesema matatizo yaliyopo ni 'shared' ambayo ya ni ujinga, maradhi, umasikina na sasa ufisadi. Amesema shared enemy tuliyenae leo ni ukoloni mamboleo ambao wanakuja kupora rasilimali.

Amesema Lissu anayeungana na Zitto Kabwe leo ndio aliyesoma mashtaka ya Zitto kumuondoa CHADEMA wakisema ni msaliti, kinyonga na mnafiki. Wanasema aliondolewa kwa sababu alitaka kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA kwa maslahi yake binafsi.

Moja ya mashtaka amedai alipewa fedha akauza majimbo kanda ya ziwa mkoa wa Mara na alipewa gari pamoja na milioni 40 na Mkono.

Amesema wamtafute mtu kama yeye wafanye nae debate, wasimtafute mtu mkuubwa kama Magufuli kwani hawana hio audacity wala moral authority bali ni saizi yao.

Anasema Zitto alietuhumiwa CHADEMA kwa mambo mengi ya hovyo mpaka Lema kusema bora kumuamini shetani kuliko Zitto Kabwe na amedai ACT ni zao la Membe kwani limetengenezwa na timu ya Membe ili kuweza ku-counter CHADEMA wakati huo..

Inaonekana hiyo ndiyo ajenda mpya ya chama chake.

Haya mashambulizi yanadhihirisha hali yao sio nzuri.

Watawala wamepuuzia sana hali za wananchi wakiwaombea kuishi kama mashetani.

Kwa upande mwingine wananchi wameamua kuwatumia ujumbe kabla ya wao kuishi kama mashetani hebu na nyie muje mtaani muonje hayo maisha ya ushetaji kama mnayapenda huenda mtajenga akili.

Mmepigiwa kelele maslahi ya wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara mkajitia viburi na msioambilika leo mwenyezi Mungu anaweza kuwapiga paralysis na kuamua zuri au baya kwa nchi yetu kwa hatia ya mikono yenu kwa sababu tu ya haya mapungufu ya viongozi wetu.

Anyway mnaweza kuibomoa au kuijenga kwa kufuata uongozi uliojengeka kuheshimu katiba na sheria.

Nyerere alishawahi kutabiri, chama pekee cha upinzani kinachobeba maono na uthubutu ni CHADEMA , acha washinde muwape haki yao ya kuongoza tuache kelele zisizo na maana.
 
Angalia video hii ujifunze kuhusu matatizo ya Tanzania na mtatuzi wake, jinsi wapinzani wanavyotupotosha. Angalia kabla ya kukurupuka kujibu pumba.

------

Katambi amedai Lissu sio mtu sahihi sana kwani anamfahamu vyema. Katambi anasema Lissu ni mpotoshaji kwamba matatizo ya Tanzania yanasababishwa na Magufuli au CCM. Katambi amesema matatizo hayo ni ya kihistoria yamesababishwa na ukoloni wa zamani ulioondolewa na ukoloni mamboleo.

Amesema matatizo yaliyopo ni 'shared' ambayo ya ni ujinga, maradhi, umasikina na sasa ufisadi. Amesema shared enemy tuliyenae leo ni ukoloni mamboleo ambao wanakuja kupora rasilimali.

Amesema Lissu anayeungana na Zitto Kabwe leo ndio aliyesoma mashtaka ya Zitto kumuondoa CHADEMA wakisema ni msaliti, kinyonga na mnafiki. Wanasema aliondolewa kwa sababu alitaka kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA kwa maslahi yake binafsi.

Moja ya mashtaka amedai alipewa fedha akauza majimbo kanda ya ziwa mkoa wa Mara na alipewa gari pamoja na milioni 40 na Mkono.

Amesema wamtafute mtu kama yeye wafanye nae debate, wasimtafute mtu mkuubwa kama Magufuli kwani hawana hio audacity wala moral authority bali ni saizi yao.

Anasema Zitto alietuhumiwa CHADEMA kwa mambo mengi ya hovyo mpaka Lema kusema bora kumuamini shetani kuliko Zitto Kabwe na amedai ACT ni zao la Membe kwani limetengenezwa na timu ya Membe ili kuweza ku-counter CHADEMA wakati huo..

Yaani unatuwekea mtu ambaye sasa anasema matatizo yetu yameletwa na wakoloni! huoni hata aibu !!!
 
Katambi ni DC wa wapi ?
 
Kwa hiyo matatizo kama vile kutopandishwa madaraja kwa watumishi wa umma, no annual increments yamesababishwa na wakoloni???!!!!
 
Angalia video hii ujifunze kuhusu matatizo ya Tanzania na mtatuzi wake, jinsi wapinzani wanavyotupotosha. Angalia kabla ya kukurupuka kujibu pumba.

------

Katambi amedai Lissu sio mtu sahihi sana kwani anamfahamu vyema. Katambi anasema Lissu ni mpotoshaji kwamba matatizo ya Tanzania yanasababishwa na Magufuli au CCM. Katambi amesema matatizo hayo ni ya kihistoria yamesababishwa na ukoloni wa zamani ulioondolewa na ukoloni mamboleo.

Amesema matatizo yaliyopo ni 'shared' ambayo ya ni ujinga, maradhi, umasikina na sasa ufisadi. Amesema shared enemy tuliyenae leo ni ukoloni mamboleo ambao wanakuja kupora rasilimali.

Amesema Lissu anayeungana na Zitto Kabwe leo ndio aliyesoma mashtaka ya Zitto kumuondoa CHADEMA wakisema ni msaliti, kinyonga na mnafiki. Wanasema aliondolewa kwa sababu alitaka kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA kwa maslahi yake binafsi.

Moja ya mashtaka amedai alipewa fedha akauza majimbo kanda ya ziwa mkoa wa Mara na alipewa gari pamoja na milioni 40 na Mkono.

Amesema wamtafute mtu kama yeye wafanye nae debate, wasimtafute mtu mkuubwa kama Magufuli kwani hawana hio audacity wala moral authority bali ni saizi yao.

Anasema Zitto alietuhumiwa CHADEMA kwa mambo mengi ya hovyo mpaka Lema kusema bora kumuamini shetani kuliko Zitto Kabwe na amedai ACT ni zao la Membe kwani limetengenezwa na timu ya Membe ili kuweza ku-counter CHADEMA wakati huo..
Huyo Katambi, mhesabuni kuwa ni mwendawazimu. Hana hadhi ya kujadiliwa na watu wenye akili. Ignore him. He is a hopeless mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom