Katambi: Lissu ni mwehu namjua vizuri atauza nchi asubuhi kweupe, kama anabisha ajitokeze hadharani

Kwa hii Lissu atachomoka?

Imethibitishwa pasi na shaka kwamba jamaa ana uraia wa ubelgiji aliochukua kwa kigezo cha hofu ya shambulio la kisiasa 'fear of political persecution'

Katiba yetu hairuhusu uraia wa nchi mbili, je Lissu ana haki ya kugombea urais wa Tz na kupita mchujo wa tume ya uchaguzi?

Nimesikia uhamiaji wameshagusia suala la wagombea kuwa watanzania kwa maana iliyo ya kikatiba.

....will appreciate if i get comments from lawyers
Hawezi kuchomoka hapo hata Membe inasadikiwa kwamba ana Canadian passport, sheria ipo wazi.
 


kutomuabudu wewe ama mimi hakumfanyi jamaa asijite mungu.
ndio maana nimekuuli, nimeuliza ni mungu yupi unae muongelea hapa?.
 
Mpelekeni hosp apangwe vizuri hayo meno mabovu
Kwa hoja hizo kushinda, upinzani kushinda uchaguzi ni simulizi la kufikirika. Imeletwa hoja unamshambulia mtu mleta hoja, badala ya kuzijibu hoja zake. Hakika hivi vioja vya mashabiki wa upinzani, vinaipa wakati mgumu vyama vyao katika chaguzi hizi!
 
..wamesahau sgr, stieglers, na dreamliners?!

..kudai TL ni kichaa ni dalili za ccm kushindwa kujibu hoja zake.
Kikawaida; kichaa yeyote aliyeko jalalani huwaona wapitao njiani wote ni vichaa!! Msimshangae angali analamba masalia...
Kisha utasikia "...tufanye siasa za kistaarabu!!"
 
Kati ya makosa makubwa CCM watajilaumu kumuacha akazuia Shughuli za Vyama vya siasa na kudhulumu uchaguzi wa Serikali za mitaaa mwaka jana ndio matokeo yake tunayaona leo
WANANCHI KOTE NCHINI BARA NA VISIWANI WAMEKUA NA SHAUKU KUBWA SANA YA KUWASIKILIZA WAPINZANI KINYUME KABISA NA MAWAZO KUWA WANGEKATA TAMAA

Kiukweli kupitia hili ccm wajifunze ;ingekua wapinzani wanapata muda wa kusema miaka mitaano hii bila kunyanyaswa leo hawangekua na la kuwaambia watu

Binadamu huna jipya la kuwafanyia au kuwapa ; WAPE KILA KITU ILA USIWANYIME MDOMO KUSEMA NA MASIKIO KUSIKIA ......Dola na Vyama vyenye Nguvu duniani zilifanya Maendeleo makubwa Lakini zilianguka kwa sababu tu waliziba watu midomo ...

Leo CCM haipo kwa watu kabisa zaidi ya kwenye Dola tena kwenye dola sio wote bali wale wenye mamlaka

Wanamikakati wa CCM wamempotosha Sana Mwenyekiti

Mwaka Huu ni maeneo machache Sana ccm inaweza kushinda kihalali Hii ni tofauti kabisa na miaka mitano nyuma Pamoja na kazi nzuri iliyofanywa

SEKRETARIET ya CCM imeuwa Chama kwenye mioyo ya watu !!!!!

Baada ya uchaguzi Huu lazima mabadiliko makubwa yafanyike kwenye sekretariet ya CCM ile ya kina Kinana na Nape was far better kwakua ilikua na approach ya kutumia siasa zaidi kuliko kutegemea kubebwa na Dola nzima .
 
Hakuna ajira miaka 5, hakuna ongezeko la mishahara miaka 5, unategemea huyu mwananchi mnyonge ambaye amemsomesha mwanae na anaendelea kumwona tu home atawapa kura , matatizo kibao huku chini
 
katambi na usnmati wote huo umeshindwa kufikisha kura hata 10 za ubunge,kweli hupendeki ovyo kabisa misaliti ndio dawa yao
 
Back
Top Bottom