Katambi: Lissu ni mwehu namjua vizuri atauza nchi asubuhi kweupe, kama anabisha ajitokeze hadharani

Kwanini asiseme tumpe nchi halafu tunaone kama atauza au hatauza.. this will be more practical...
 
Wameanza kusanuka. Aliamza Nape sasa ni katambi. Hakuna anachoongea. Wakoloni wameondoka miaka 60 iliyopita.
 
..John Heche alikuwa mwenyekiti Bavicha akaitendea haki nafasi yake akaweza kugombea na kushinda ubunge.

..Petrobas Katambi akaaminiwa ktk nafasi ya mwenyekiti wa Bavicha lakini akalaghaiwa akakubali kuhamia ccm. sasa amejaribu kugombea ubunge wajumbe wamefanya yao.

..huyu kijana angebaki cdm angekuwa na heshima kubwa ktk jamii kuliko hivi anavyojidhalilisha ili akubalike ndani ya ccm.
 
Angalia video hii ujifunze kuhusu matatizo ya Tanzania na mtatuzi wake, jinsi wapinzani wanavyotupotosha. Angalia kabla ya kukurupuka kujibu pumba.

------

Katambi amedai Lissu sio mtu sahihi sana kwani anamfahamu vyema. Katambi anasema Lissu ni mpotoshaji kwamba matatizo ya Tanzania yanasababishwa na Magufuli au CCM. Katambi amesema matatizo hayo ni ya kihistoria yamesababishwa na ukoloni wa zamani ulioondolewa na ukoloni mamboleo.

Amesema matatizo yaliyopo ni 'shared' ambayo ya ni ujinga, maradhi, umasikina na sasa ufisadi. Amesema shared enemy tuliyenae leo ni ukoloni mamboleo ambao wanakuja kupora rasilimali.

Amesema Lissu anayeungana na Zitto Kabwe leo ndio aliyesoma mashtaka ya Zitto kumuondoa CHADEMA wakisema ni msaliti, kinyonga na mnafiki. Wanasema aliondolewa kwa sababu alitaka kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA kwa maslahi yake binafsi.

Moja ya mashtaka amedai alipewa fedha akauza majimbo kanda ya ziwa mkoa wa Mara na alipewa gari pamoja na milioni 40 na Mkono.

Amesema wamtafute mtu kama yeye wafanye nae debate, wasimtafute mtu mkuubwa kama Magufuli kwani hawana hio audacity wala moral authority bali ni saizi yao.

Anasema Zitto alietuhumiwa CHADEMA kwa mambo mengi ya hovyo mpaka Lema kusema bora kumuamini shetani kuliko Zitto Kabwe na amedai ACT ni zao la Membe kwani limetengenezwa na timu ya Mungu ili kuweza ku-counter CHADEMA wakati huo..

Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu alakiwa na Maelfu ya Wakazi wa Bunda Mjini, Wajaza fomu za Udhamini
 
Angalia video hii ujifunze kuhusu matatizo ya Tanzania na mtatuzi wake, jinsi wapinzani wanavyotupotosha. Angalia kabla ya kukurupuka kujibu pumba.

------

Katambi amedai Lissu sio mtu sahihi sana kwani anamfahamu vyema. Katambi anasema Lissu ni mpotoshaji kwamba matatizo ya Tanzania yanasababishwa na Magufuli au CCM. Katambi amesema matatizo hayo ni ya kihistoria yamesababishwa na ukoloni wa zamani ulioondolewa na ukoloni mamboleo.

Amesema matatizo yaliyopo ni 'shared' ambayo ya ni ujinga, maradhi, umasikina na sasa ufisadi. Amesema shared enemy tuliyenae leo ni ukoloni mamboleo ambao wanakuja kupora rasilimali.

Sijajua Upinzani wa Tanzania huwa wanawaza Nini, alichokizungumza jamaa kinalink na janga la Covid-19, wakati watanzania tulipokuwa tunajtahidi kujipigania dhidi ya Covid-19, Upinzani walijitahidi kutudhoofisha, sikujua lengo lao lilikuwa ni nini, ashukuliwe Mungu anayeendelea kumpa nguvu Jpm ili kutoyumbishwa na vibaraka wa mabeberu, Watanzania wazalendo tuendelee kudumisha Amani, mshikamano na nguvu. Heko kwa Rais John Pombe Joseph Magufuli.
 
Magufuli kakosa watetezi mpaka amekuja na utetezi huu dhaifu kabisa.
Mkuu

Magu ana kila kitu dunia hii,ila biology treated him wrong,haku-win IQ lottery!

Lissu na CDM wamemzidi IQ lottery kwa range ya mega numbers....

Too bad hana mamlaka nayo,sasa he has to run for his money....watetezi wake ndio kama,who again,these lunatics!

Safi sana,the bigger brain wins here,na CCM is not qualified in this department!
 
Angalia video hii ujifunze kuhusu matatizo ya Tanzania na mtatuzi wake, jinsi wapinzani wanavyotupotosha. Angalia kabla ya kukurupuka kujibu pumba.

------

Katambi amedai Lissu sio mtu sahihi sana kwani anamfahamu vyema. Katambi anasema Lissu ni mpotoshaji kwamba matatizo ya Tanzania yanasababishwa na Magufuli au CCM. Katambi amesema matatizo hayo ni ya kihistoria yamesababishwa na ukoloni wa zamani ulioondolewa na ukoloni mamboleo.

Amesema matatizo yaliyopo ni 'shared' ambayo ya ni ujinga, maradhi, umasikina na sasa ufisadi. Amesema shared enemy tuliyenae leo ni ukoloni mamboleo ambao wanakuja kupora rasilimali.

Amesema Lissu anayeungana na Zitto Kabwe leo ndio aliyesoma mashtaka ya Zitto kumuondoa CHADEMA wakisema ni msaliti, kinyonga na mnafiki. Wanasema aliondolewa kwa sababu alitaka kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA kwa maslahi yake binafsi.

Moja ya mashtaka amedai alipewa fedha akauza majimbo kanda ya ziwa mkoa wa Mara na alipewa gari pamoja na milioni 40 na Mkono.

Amesema wamtafute mtu kama yeye wafanye nae debate, wasimtafute mtu mkuubwa kama Magufuli kwani hawana hio audacity wala moral authority bali ni saizi yao.

Anasema Zitto alietuhumiwa CHADEMA kwa mambo mengi ya hovyo mpaka Lema kusema bora kumuamini shetani kuliko Zitto Kabwe na amedai ACT ni zao la Membe kwani limetengenezwa na timu ya Mungu ili kuweza ku-counter CHADEMA wakati huo..

DC wa wapi #mataga
 
Katambi bado wewe ni kijana na bado na hakuna ajuae kesho

Back
Top Bottom