😂😂 wakati adui yao ni ccmWabongo wakishaanza kupata mia mbili mia mbili utajua tu.
Ugali ndiyo ulimkuza bibi mzaa baba,baba na hatimaye ukakulea,Leo unakuja kuusimanga.
Hela za sisiem zimeshaanza kuwapa jeuri mtaani kiasi cha kuona ugali ni adui wa taifa?
Ugali gani? Kuna aina nyingi za ugali: wa sembe, wa 'dona', wa mtama, wa mihogo, wa ulezi nk.Kwa nini ule vyakula vya wanyama.
Kwa nini ule kitu ambacho kina nafasi kubww ya kukufanya uwe na mwili usio eleweka.
Kwa nini ule kitu kinachoweza kukuleta high blood pressure na cancer
Kwanini ule kitu kisochokuwa na vitamin and mineral deficiencies,
Kwanini ule MATOFALI
Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe
Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo. Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu...www.jamiiforums.com
Nina miaka mitano sijala UGALI
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali. Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa. Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym. "Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?www.jamiiforums.com
Aaah unasemaje?nikishatinga pensi langu lililobana mapaja na earphone zangu na simu yang ya iphone macho matatu nasikiliza ngoma za zuchu , nalambalamba lips , naenda chimbo la chips YAI ya kushiba na mishkaki fresh tu si inakua unyama sana
Sawa mchungajiUgali gani? Kuna aina nyingi za ugali: wa sembe, wa 'dona', wa mtama, wa mihogo, wa ulezi nk.
Inabidi uende shule ujifunze masomo ya sayansi ya afya au Biology. Ujue kutofautisha nutrients zinazopatikana katika aina mbalimbali za ugali.
Ugali hauleti high blood pressure wala cancer moja kwa moja. Tatizo sio ugali, bali ni aina ya chakula kinacholiwa pamoja na ugali, au mtindo wa maisha kwa ujumla. Kwa mfano, mtu anayekula ugali mwingi kisha anakula nyama ya mafuta kila siku, hana mazoezi, na anakunywa soda au pombe — huyo yuko katika hatari zaidi ya kupatwa na magonjwa hayo, sio kwa sababu ya ugali bali kwa sababu ya mtindo wa maisha.
Ugali unatengenezwa kwa wanga kutoka nafaka kama mahindi, mtama au muhogo. Wanga ni chanzo muhimu cha nishati mwilini. Kinachotakiwa ni kiasi sahihi na mlo kamili unaojumuisha mboga, protini na matunda. Kupiga marufuku ugali ni kueneza hofu isiyo na msingi.
Biblia inatuonya katika 1 Timotheo 4:3-5 tujihadhari na watu wanaokataza wengine kula vyakula fulani:
"Wao huwakataza watu wasioe na kuwaagiza wajiepushe na vyakula fulani, ambavyo Mungu aliviumba ili vipokewe kwa shukrani na wale wanaoamini na kuijua kweli."
(1 Timotheo 4:3-5)
Soma pia, Mithali 25:16
"Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha, ukila zaidi, utatapika.."
Hapo tunafundishwa kula kwa kiasi, sio kupiga marufuku.
Kivipi kutufanya wajinga?Siwezi kula ugali
Ugali chakula cha ovyo
Ugali unaliwa jera
Ushawahi ona wapi Kwenye sherehe au harusi wanapika ugali
Mahindi yaliletwa na wareno ili kuwafanya waafirika wajinga
Duh.! Week hii ugali umeandamwa sana na wanaume wa Dar sijui nitafute mwanasheria aje kutetea hiki chakula maana sio kwa masimango haya!Kwa nini ule vyakula vya wanyama.
Kwa nini ule kitu ambacho kina nafasi kubww ya kukufanya uwe na mwili usio eleweka.
Kwa nini ule kitu kinachoweza kukuleta high blood pressure na cancer
Kwanini ule kitu kisochokuwa na vitamin and mineral deficiencies,
Kwanini ule MATOFALI
Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe
Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo. Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu...www.jamiiforums.com
Nina miaka mitano sijala UGALI
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali. Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa. Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym. "Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?www.jamiiforums.com
Siwezi kula ugali
Ugali chakula cha ovyo
Ugali unaliwa jera
Ushawahi ona wapi Kwenye sherehe au harusi wanapika ugali
Mahindi yaliletwa na wareno ili kuwafanya waafirika wajinga
Watu awajui kupika 😁wana complain...ugali ni mbogaaaaaaUgali, Kitimoto choma, Dagaa na Kachumbari. Allah atujalie mlo mwema
Sahihi kabisaSio wote wamelelewa na ugali , kuna wengine ni ndizi
Ata wewe mtu akikulamba una ladha mbaya zaidiUgali una ladha mbaya😅😅
Wewe ni kukutupia ignore list tu🚮Ata wewe mtu akikulamba una ladha mbaya zaidi
Jibu hoja ladha yako vipWewe ni kukutupia ignore list tu🚮
Yeah tuna utamaduni tofauti,Sahihi kabisa