Kataa picha za ngono

Ndugu matusi sio ustaarabu. Hata kama unajulikana kama mngese tuliye naye humu JF haivutii kulazimisha kila mwanaJF kufahamu hiyo tabia yako. Kuwa mstaarabu.
πŸ˜‚ Kwamba jamaa anajulikana kama nan? πŸ˜‚
 
Asilimia kubwa wanaume wanaficha sura wanawake wanafanywa kama kitu duni cha kuchezea kama mwendeshaji Atakavyo that not fair..is not good indeed above all wanafanya to kwasababu ya pesa hawapendi wengi wao jua hilo hawapendi ni shida tu.
Kweli kbsa kuna vitendo vya kutisha wanafanyiwa aisee. Hata Malaya wengi ni Hali ngumu ya maisha hawapendi.
 
Unakataa raha ya dunia?
 
Kwanini umetaja wanawake tu? Picha za ngono wanafanya wanawake tu?
Bora unisaidie maana mimi watu wanaojibaraguza na kujifarangua kama hawa huwa siwaelewi hata kidogo.

Mle katika picha za ngono wanaume nao wanavua nguo na kuonyesha makalio na korodani zao, makalio ya mwanaume kikatiba ni nyara za kiume hazitakiwi kuonekana popote bila kibali maalumu kutoka baraza kuu la wanaume taifa na maamuzi ya kikao kikuu cha kamati ya nidhamu ngazi ya taifa ya kinachosimamiwa na mrakibu wa maadili ngazi ya taifa.

Sasa hajaona hilo anaanza sema wanawake wanadhalilika,wanaume je?
 
Ni sawa na kusema Kataa kula chakula, Si support hayo mambo, Lakini hiyo ni nature ya mwanaume yoyote, Ndivyo Mungu alivyoumba ili tuweze kuzaliana, Lazima utamani wanawake, especially kabla haujaoa. Sasa katika kutamani ndiyo kuna levels, Lakini yote kwa yote hivyo ndivyo Mwanaume yyt alivyokuwa programmed.
 

Kama wana shida si wafanye kazi? Acha kutetea ujinga kuwafanya wanawake kama vilema
 

Kimsingi wote wanadhalilika
 
Picha za ngono hazina shida yoyote ile msitake kutisha na kuaminisha watu tofauti. Ni sawasawa na walokole wanaposema pombe ni mbaya kwa binadamu ambacho si kweli. Kila kitu kina uzuri na ubaya wake ukiacha vile ambavyo vimekatazwa na asili tangu kuumbwa kwa ulimwengu kama kula na kuliwa tigo. Picha za ngono hazina shida, matumizi yako baada ya kutizama hizo picha ndio yataamua upate shida au usipate.
 
Ni Dm ili tufanye test utaleta mrejesho Mwenyewe kigezo at leat Uwe mzuri ..uzuri unaleta muukari zaidi😝
Chudai zimekuharibu, mwanaume rijali haulizii uzuri akitaka kusimamisha..!!
Tafuta tiba muda huu unaotaka kujifanya mwamba..!!
 
Hujaelewa mada. Hapa tunaongelea picha za ngono. Hakuna mwanaume aliyekua programmed kutazama picha za ngono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…