Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,486
- 96,955
Hebu funguka vizuri😃😃, Nina Pete mpya hapa 😊😊Huwa napenda nyuzi zako.
Hehee pete ya nini?Hebu funguka vizuri😃😃, Nina Pete mpya hapa 😊😊
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKONaam naam samahani kwa kuchelewa kuna mdada alikua anazuia njia huko analilia ndoa
Nimefika mweupe pee sina pete wala nini
Kikao kimefikia wapi😁
We we jishaue Sasa😃😃Hehee pete ya nini?
We we jishaue Sasa![]()


Nasubiria episodes zingine. Usiache kunitag.Simaliziii😃🤣😂Nasubiria episodes zingine. Usiache kunitag.
Acha bangi bwana em fanya mpango uweke nyingine.Simaliziii![]()
Captain dubois huyo😃, una mjua??
Simjui hata. Utanijuza.Captain dubois huyo, una mjua??
Ishi nae Kwa umakini, habari za 50/50 kwenye hela zako ni marufuku mzee.Nimeoa ila nimeanza kutamani chama chenu naomba mnishauri
Kaangalie Madagascar 3 cartoon,Simjui hata. Utanijuza.