MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,038
- 2,948
Wametangulia kwenda ssm, sorryHao wote wawili lazima waondoke chadema kwa sababu wake zao wametangulia kitambo

Marehemu wa kisiasa, wakajizike au wakimbilie kwa wachumia tumbo wenzao
Zaidi ya 50% ya wajumbe wa kikundi kinachojiita G-55 ni wachaga wa Arusha na Moshi, na walikuwa TImu Mbowe.
Tangu kuasisiwa kwake hadi mwaka jana, kati ya vikwazo vikubwa vya kisiasa dhidi ya Chadema, kikwazo namba moja kilikuwa ni "itikadi ya uchaga".
Yaani imani kwamba Chadema ni mali ya kabila bora la wachaga, na wengine ni wafuasi.
Pia soma > Rasmi G-55 wajiondoa CHADEMA
Mtazamo huu ulitoa fursa kwa watu wa usalama kuipiga mkasi Chadema.
Mfano, hayati Samuel Sitta aliwahi kutamka wazi kwamba, kwa hali ilivyo ndani ya Chadema ya miaka ile, hata kama Chadema wangekishinda urais wasingeweza "kupewa" nchi.
Kauli hii ilikuwa inaungwa mkono na Kamisaa wa Dawati la Siasa, Peter Nyamanchi Tyienyi.
Sitta na Tyienyi ni marehemu.
Lakini sasa, uchaguzi wa Lissu kuwa Mwenyekiti umefuta umangi huu.
Sitta na Tyienyi wangefufuka leo watajiunga na Chadema hakika.
Na sasa kuondoka Chadema kwa hawa G-55 kunahitimisha mchakato wa kukisafisha Chadema.
Busara ya "Mafahari wawili hawakai zizi moja" imetimia, na Chadema ya Watanzania wote sasa inachipuka kwa nguvu zaidi.
Nawatakia safari njema hawa G-55, tukutane jukwaani.
No Reform, No Election.
Umangi Never, Utaifa Forever.
Tatizo kumbe ni 'Uchaga' tu ...

Kabisa, ule uchafu wa uchaga umeisha rasmi, na ikibidi na Mbowe naye aage haraka, maana hili genge lake lilichangia sana cdm kuonekana chama cha wachaga na maslahi. Cdm sasa ifanye siasa za kweli bila kuendekeza maridhiano uchwara.
Nimesikitika sana Salum Mwalimu na Ben Kigaila kuwa sehemu ya wapuuzi hawa.
Viongozi wa hilo kundi mchaga ni Mrema tu...Mwalimu, Kigaila, Magige mbona sio WachagaSio wachaga kwa ujumla wake sema kikundi cha wamachame
Ndio maana nikasema kikundi na sio woteViongozi wa hilo kundi mchaga ni Mrema tu...Mwalimu, Kigaila, Magige mbona sio Wachaga
Halafu Lema mbona ni mmachame na yupo na Lissu?
Ni yeyeJamani huyo wa upande wa kulia kwetu sio Mwalimu?
Wao wanataka kushiriki uchaguzi, wewe hutaki Sasa kosa lao Nini? Mnataka kulazimisha watu wore watumie akili za tundu Lissu?
Zaidi ya 50% ya wajumbe wa kikundi kinachojiita G-55 ni wachaga wa Arusha na Moshi, na walikuwa TImu Mbowe.
Tangu kuasisiwa kwake hadi mwaka jana, kati ya vikwazo vikubwa vya kisiasa dhidi ya Chadema, kikwazo namba moja kilikuwa ni "itikadi ya uchaga".
Yaani imani kwamba Chadema ni mali ya kabila bora la wachaga, na wengine ni wafuasi.
Pia soma > Rasmi G-55 wajiondoa CHADEMA
Mtazamo huu ulitoa fursa kwa watu wa usalama kuipiga mkasi Chadema.
Mfano, hayati Samuel Sitta aliwahi kutamka wazi kwamba, kwa hali ilivyo ndani ya Chadema ya miaka ile, hata kama Chadema wangekishinda urais wasingeweza "kupewa" nchi.
Kauli hii ilikuwa inaungwa mkono na Kamisaa wa Dawati la Siasa, Peter Nyamanchi Tyienyi.
Sitta na Tyienyi ni marehemu.
Lakini sasa, uchaguzi wa Lissu kuwa Mwenyekiti umefuta umangi huu.
Sitta na Tyienyi wangefufuka leo watajiunga na Chadema hakika.
Na sasa kuondoka Chadema kwa hawa G-55 kunahitimisha mchakato wa kukisafisha Chadema.
Busara ya "Mafahari wawili hawakai zizi moja" imetimia, na Chadema ya Watanzania wote sasa inachipuka kwa nguvu zaidi.
Nawatakia safari njema hawa G-55, tukutane jukwaani.
No Reform, No Election.
Umangi Never, Utaifa Forever.
Zaidi ya 50% ya wajumbe wa kikundi kinachojiita G-55 ni wachaga wa Arusha na Moshi, na walikuwa TImu Mbowe.
Tangu kuasisiwa kwake hadi mwaka jana, kati ya vikwazo vikubwa vya kisiasa dhidi ya Chadema, kikwazo namba moja kilikuwa ni "itikadi ya uchaga".
Yaani imani kwamba Chadema ni mali ya kabila bora la wachaga, na wengine ni wafuasi.
Pia soma > Rasmi G-55 wajiondoa CHADEMA
Mtazamo huu ulitoa fursa kwa watu wa usalama kuipiga mkasi Chadema.
Mfano, hayati Samuel Sitta aliwahi kutamka wazi kwamba, kwa hali ilivyo ndani ya Chadema ya miaka ile, hata kama Chadema wangekishinda urais wasingeweza "kupewa" nchi.
Kauli hii ilikuwa inaungwa mkono na Kamisaa wa Dawati la Siasa, Peter Nyamanchi Tyienyi.
Sitta na Tyienyi ni marehemu.
Lakini sasa, uchaguzi wa Lissu kuwa Mwenyekiti umefuta umangi huu.
Sitta na Tyienyi wangefufuka leo watajiunga na Chadema hakika.
Na sasa kuondoka Chadema kwa hawa G-55 kunahitimisha mchakato wa kukisafisha Chadema.
Busara ya "Mafahari wawili hawakai zizi moja" imetimia, na Chadema ya Watanzania wote sasa inachipuka kwa nguvu zaidi.
Nawatakia safari njema hawa G-55, tukutane jukwaani.
No Reform, No Election.
Umangi Never, Utaifa Forever.
Watu waliuzwa kwa miaka mingi sana. Mshukuruni sana Lissu kawasaidia kuwaumbua matapeli wa siasaSasa Chadema imekuwa safi rasmi.
Siasa zs Udalali na Ulaghai zimefika mwisho rasmi.
Hongereni sana Lissu na Heche na timu Mpya ya Chadema. Nyie ndo wakombozi kweli wa Watanzania.
Viongozi wa hilo kundi mchaga ni Mrema tu...Mwalimu, Kigaila, Magige mbona sio Wachaga
Halafu Lema mbona ni mmachame na yupo na Lissu?
Fuatilia hilo kundi wachaga ni wangapi. Hao chini ya Mbowe ndio walichangia kufanya maamuzi hadi kupelekea taswira ya uchaga. Sasa hiyo dhana imekifa kifo cha mende.Mbona suala ambalo hata halipo kilabila mnalazimisha liwe la kikabila?
Mbona Lema Mchaga na yupo upande wa Lissu?
Hao viongozi wa hilo kundi mnaowaita wachaga ni nani zaidi ya John Mrema?
Mbona Chadema kuna wachaga wengi tu wapo upande wa Lissu?
Haya, ni zamu yenu sasa kukanusha kuwa CDM haikuwa ya kichaga.Mbona suala ambalo hata halipo kilabila mnalazimisha liwe la kikabila?
Mbona Lema Mchaga na yupo upande wa Lissu?
Hao viongozi wa hilo kundi mnaowaita wachaga ni nani zaidi ya John Mrema?
Mbona Chadema kuna wachaga wengi tu wapo upande wa Lissu?
Kutangulia kivipo?Hao wote wawili lazima waondoke chadema kwa sababu wake zao wametangulia kitambo
Nasikia Mbowe kawatanguliza tu.
Zaidi ya 50% ya wajumbe wa kikundi kinachojiita G-55 ni wachaga wa Arusha na Moshi, na walikuwa TImu Mbowe kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa Mwenyekti Lissu wa Januari mwaka huu.
Tangu kuasisiwa kwake hadi mwaka jana, kati ya vikwazo vikubwa vya kisiasa dhidi ya Chadema, kikwazo namba moja kilikuwa ni harufu ya shobo la "umangi wa kichaga".
Yaani imani ya viongozi wakuu wa Chadema kwamba Chadema ni mali ya "kabila bora" la Wachaga, na makabila mengine ni wasindikizaji tu.
Pia soma > Rasmi G-55 wajiondoa CHADEMA
Mtazamo huu ulitoa fursa kwa watu wa usalama kuipiga mkasi Chadema, maana "umangi wa kichaga" ni tishio halisi dhidi ya umoja wa Taifa lenye makabila 120 plus.
Mfano, hayati Samuel Sitta aliwahi kutamka wazi kwamba, kwa hali ilivyo ndani ya Chadema ya miaka ile, hata kama Chadema wangekishinda urais wasingeweza "kupewa" nchi.
Kauli hii ilikuwa inaungwa mkono na Kamisaa wa Dawati la Siasa, Peter Nyamanchi Tyienyi.
Sitta na Tyienyi ni marehemu.
Lakini sasa, uchaguzi wa Lissu kuwa Mwenyekiti umefuta umangi huu.
Sitta na Tyienyi wangefufuka leo watajiunga na Chadema hakika.
Na sasa kuondoka Chadema kwa hawa G-55 kunahitimisha mchakato wa kukisafisha Chadema.
Busara ya "Mafahari wawili hawakai zizi moja" imetimia, na Chadema ya Watanzania wote sasa inachipuka kwa nguvu zaidi.
Nawatakia safari njema hawa G-55, tukutane jukwaani.
No Reform, No Election.
Umangi Never, Utaifa Forever.
Unasumbuliwa tu na bigotry,Wachaga jamii ya Mrema wanajiona kama royal class. Hawaamini katika kushindwa au kuongozwa na yeyote asiye mchaga.
Wakiwa kwenye kamati yoyote watakutana kikao kabla ya kikao rasmi ili kulinda partisan interests zao. Ni watu wenye thought process ya ajabu sana.
Wanayumbisha taasisi nyingi kwa sababu hii. Hata Hazina na TRA zimewahi kuyumba kwa sababu hii. Aslimia 75 ya ajira na Misaada yote toka nje ikawa inapelekwa Kaskazini.
Lalini Lema ni namba nyingine. Na hao kina Magige wamechomekwa tu ili kupoteza ushahidi. Just Umangi at work..
Unasumbuliwa tu na bigotry,