Sorokotokuli
Member
- Mar 18, 2013
- 15
- 2
Nikiwa maeneo ya soko la shayo nashangaa kuona lundo la vitanda vilivyo tengenezwa kwa miti kama vichanja,namuuliza muuzaji bei gani kitanda kimoja nchi 5 kwa 6 bei ni elfu 8000/=tsh! Du leka tutigite! Jamaa anatafuta mtu wakala maeneo mbalimbali! Nchini Contact +2557857733755