Hii ni Alpha version 1, haina feature nyingi na zingine nimeweka kuonesha tu kama watu watakuwa interested ziwepo au la. Nisingependa wekeza nguvu ktk kitu ambacho baadae inabidi ukiweke kando. Kwa hiyo hii ni kwa ajili ya kukusanya maoni ya nini kinakosekana na nini hakipaswi kuwepo!mkuu mimi naicheki hapa kwa haraka haraka nimepata matatizo haya
Noted. Ungependelea drag and drop iweje hasa kwa directories/folders?1. Haisuport drag and drop. Mejaribu kudgrag mziki umekataa
Kwa hiyo ungependa option ya "open single Media"?2. Siwezi kuopen mziki mmoja mmoja mpaka niselect folder kwa ujumla na player ndio idetect miziki yote
Ah! hii pia itakuwa fixed soon ktk Alpha2. Asante kwa kuripoti!3. Nikiplay muziki inaniambia message hii
[TD="align: center"]
Bitmap is in PNG format ''control_pause'' not found, check that the resource file contains ''RCDATA'' resource with this name[/TD]
Kwa kuwa hakuna manual bado, itakuwa moja ya vitu vya misho mwisho. Niiondoe kabisa au niweke message "Feature is not Yet implemented"? Which is better?4. Kwenye help manual nikiclick sipati respond yoyote
Noted. Ila ukisha double click inaonesha inafanya kazi. Nitalifanyia kazi hili pia!5.it seems button ya play haifanyi kazi nimejaribu kudouble click mziki (bila kubonyeza play) na unaplay vizuri tu
Kuna tatizo ambalo linafahamika na nalifanyia kazi. Nimeliach hivyo kwa sasa kwa kuwa ukianza ku play, linaondoka na video inaonekana vizuri. Nitali fix soon pia!6. Niki double click screen inakuja screen nyeupe na kijivu (mategemeo yangu ingekuja full screen).
Sorry kwa confusing Icon ila hiyo kazi yake ni kuficha screen (kama unatumia Audio) ukibonyeza tena inaficha playlist ukibonyeza mara ya tatu inaonyesha vyote. Haifanyi hivyo?7. Kuna icon 2 kwenye player iliochorwa alama ya computer na moja kama equaliser zote nikibinya napata same respond kama niki double click (hope kuna feature hapa hazipo)
Bado haijawa implemented ila ni suggested feature kuona kama watu wataikubali. Je itakuwa vizuri ikiwepo?8. Filter haifany kazi nikijaribu kuandika jina la msanii haji
I will fix it. Je hata shortcut (Ctrl+Q) haifanyi kazi? Niko interested kujua!9.lol na quit haifanyi kazi nikibonyeza music then quit sitoki kwenye player
Unaweza kuendelea tu ndugu yangu hakuna tatizo. Shukrani hata kwa haya maoni yako!mkuu tuishie hapa yasifike kumi. Mimi nina mawazo yangu kwenye player yako.
Namba 1 noted.1. Eka equalizer kuchange aina ya sauti mtu anayotaka kuskia (base, pop, rock...)
2. Ongeza skin isiwe kama hvi tu. Skin ziwe za kibongo bongo mf, soko la kariakoo, mlima kilimanjaro
3. Natumia windows 8 nataka live tile kama icon ya player
4. Wakati nyimbo inaplay inaonesha mda uloenda na mda wa nyimbo ila haionesh muda ulobakia naomba ueke
ni hayo tu mkuu
CTO nashindwa ku-execute via codelite baada ya kubuild napata hii error cjui kosa likowapi...hapo?
View attachment 85794
No that is impossible. Itakuwa copycat ya VLC. Tunataka media inayotutosheleza sisi tu.
Kwa hiyo unaruhusiwa kusema ni nini kilicho katika VLC unakihitaji! LOOOK
Katika workspace pale juu chagua debug badala ya release!
Ok, now nimeitest inafany kazi fine hata ktk MSW! Possibly kuna vitu viwili hujafanyahaifanyi kazi bado napata hiyo error
CodeLiteDir=C:\Program Files\CodeLite
WXWIN=C:\wxwidgets\
PATH=$(WXWIN)lib\gcc_dll;$(PATH)
WXCFG=gcc_dll\mswu
UNIT_TEST_PP_SRC_DIR=C:\UnitTest++-1.3
CTO kama nilivoorodhesha matatizo niliyoyaona kwenye uzi mwingine, pia kabla hujatangaza beta version chagua testers wachache waangalie matatizo ambayo hayakuwa expected , then utaweza kuirelease