kasuku huyu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kasuku huyu!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by eRRy, Dec 6, 2009.

 1. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Jamaa mmoja alinunua KASUKU,,, Lakini alikua anamkera sana kwa kua alikua
  anatukana sana matusi makubwa.

  Akaamua amrudishe kwa mwenye duka alipomnunulia ili am'badilishie ampe
  kasuku mwengine mstaarabu.

  Mwenye duka akamwambia. Ok nitakubadilishia, tena huyu hapa wa sasa ni
  mstaarabu sana, na cha nyongeza.

  Akinyanyua mguu wa kulia anazungumza Kizungu, Akinyanyua mguu wa kushoto
  anazungumza Kiarabu.

  Jamaa akauliza! Je akinyanyua miguu yote miwili??

  KASUKU akarukia... (Sasa we Khanithi nini!! .. SI NITAANGUKA)


  [​IMG]
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Huh!...Kumbe hakuna kasuku mstaarabu eeh?
  Nice for a cool sunday like this!
   
Loading...