Kasuku anatukana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kasuku anatukana

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by zayat, Feb 23, 2011.

 1. z

  zayat JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mfugaji kamrudisha kasuku dukani apewe mwengine kwa sababu huyu anatukana.
  Muuzaji akamba mwengine.
  MUUZAJI:-Huyu mstarabu sana Ukinyanyua mguu wa kulia anasema kiengereza,ukinyanyua wakushoto anasema kifaransa.
  JAMAA KAULIZA NIKIYANYUA YOTE JE?:-Kasuku akasema'KxxxxMAKO SI NITAANGUKA
   
Loading...