Kassim Majaliwa ateuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri Mkuu awamu ya tano (Wasifu wake)

Wimpish move, chaguo la uoga.

Naibu Waziri Tawala za Mikoa is not enough qualification for Prime Minister's office. President decided to follow Benjamin Mkapa's textbook, chagua muendesha baiskeli mmoja asiyejulikana wala kujua lolote awe Waziri Mkuu asije akakufunika au akawa too influencial with party and government.

Jakaya Kikwete alijaribu a powerful Prime Minister akaja funikwa from day one. Magufuli ameogopa. Such a wimpish move. Bunge linaenda kumu evaluate. On what record? Majaliwa who?

acha mboyoyo na 'kidhungu' chako cha kuuzia shanga watalii!
Jenga hoja kwa mifano kwanini hafai!
Kama huna,kaa kimya!
 





kwa hiyo unataka kusema Dr. JPM ni MDINI sababu amechagua PM muislam... hahaha!!! wewe ni lofa na mpumbavu... kwa hiyo unatarajia baraza lote la mawaziri wawe wa wakristo.... na akichaguliwa muislam KOSA UDINI?

hebu ficha upumbavu wako .... udini hukohuko CDM


Online Azam TV:
Suzan Lyimo anamsifu Kassim kuwa ni mkatoliki mzuri. Nadhani amejaribu kusaidia hii sintofahamu wanayoweza kupata watu
 
Mnacho village ametokea mke wa kikwete.
Mnacho primary school amefundisha mama salma kikwete.

Mnacho primary school amesoma kasim majaliwa.

Kasimu majaliwa professional teacher.

Waziri mkuu mteuliwa ametokea Mnacho village please connect the dot....

Time will tell.

pumba kabisa!
Ana uwezo?
Jibu hilo!
 
Hii shikaji imefunga kazi hakuna tena majadiliano....
Unajua hizo patry ni dalili ya kukata tamaa kimaisha kama sinema ya Bi. mkubwa Queen Latifah. Ponda mali kifo chaja na watu wanapeta kisawa sawa. Hizo hadithi nazosikia Bongo mshikaji hata kwenda kutembea najiuliza mara kumi kumi maanake wengine tumeondoka na jina. Kurudi na raba pair mbili aibu tupu..
Mzee Es, umesema inawezekana, tuki -sacrifice. Labda mwenzatu una kiji-idea hapa maanake mwenzio hapa sione nje kabisa.... kizaa. Hivi kweli wananchi WABONGO wanaweza kusimama kama wanafunzi wa China walivyofanya mbele ya vifaru na mitutu ya bunduki?...Is this the right time ama JK anaweza kuwa na mabadiliko? nasikia ameanza kupitia mikataba ya madini na ulimsikia Free alivyosema kuhusu TanzaniteOne.

Umeonaeeee?
 
Back
Top Bottom