Hahahaaa nimeishia kucheka tu, Kasim Majaliwa si ndio aliwahi kuitwa Wabunge/waziri Mzigo na wana CCM wenzake?mpemba akikusika utajuta
gazeti lao la chama liliandika kwamba mama hagombei 25. daah ilikuwa patashika mkuu na kusimamishwa kazi kwa uongozi wa gazetiHahahaaa nimeishia kucheka tu, Kasim Majaliwa si ndio aliwahi kuitwa Wabunge/waziri Mzigo na wana CCM wenzake?
Hahahahaa kila nikikumbuka nacheka, madaraka matamu sanagazeti lao la chama liliandika kwamba mama hagombei 25. daah ilikuwa patashika mkuu na kusimamishwa kazi kwa uongozi wa gazeti
Mbona jamaa ana misimamo sanaHuyo ndo afai kabisa, ulikuwa ni uthubutu wa kumridhisha boss wake,
Wasukuma mtapata tabu sana !!! Magovi noooo nooooo noooo mashamba mnoMedard kalemani anafaa sana kuwa rais 2025
Na akimpiga mabeyo chini kabla ya 2025 mtafanya nn?Niamin mm huyu mama mwisho wake Ni 2025 yaan saiz wanamchora tu Ila ukifika muda muafaka watapita nae Kama upepo maana katiba ipo Waz kabisa Hana sifa za kugombea bara.
Na hata Kama atabadirisha katiba niamin mm Mobeyo hawez kukubali huu ujinga Tena ,alitumia busara lakin busara mwisho 2025 anyebisha abishe Ila 2025 Raisi Ni Kati ya majaliwa au mpango.
Najua ukweli unauma Ila iko hivyo bandugu na hakuna wa kukwepesha hili.
Zuga ile,kwendana na wakati hana ujasiri huo.Mbona jamaa ana misimamo sana
Mpango hafai kabisa ni dhaifu mnoNiamin mm huyu mama mwisho wake Ni 2025 yaan saiz wanamchora tu Ila ukifika muda muafaka watapita nae Kama upepo maana katiba ipo Waz kabisa Hana sifa za kugombea bara.
Na hata Kama atabadirisha katiba niamin mm Mobeyo hawez kukubali huu ujinga Tena ,alitumia busara lakin busara mwisho 2025 anyebisha abishe Ila 2025 Raisi Ni Kati ya majaliwa au mpango.
Najua ukweli unauma Ila iko hivyo bandugu na hakuna wa kukwepesha hili.
Tuwekee kifungu cha katiba kinachokataza!!! Mabeyo anahusikaje na Urais wa Jamhuri ya Muungano!!?Niamin mm huyu mama mwisho wake Ni 2025 yaan saiz wanamchora tu Ila ukifika muda muafaka watapita nae Kama upepo maana katiba ipo Waz kabisa Hana sifa za kugombea bara.