Kasoro ya wadada wazuri ni udung'a-embe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kasoro ya wadada wazuri ni udung'a-embe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by GODLIVER CHARLE, Mar 7, 2011.

 1. GODLIVER CHARLE

  GODLIVER CHARLE Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  KWA UCHUNGUZI WANGU TUNAPOONGELEA WASICHANA WAZURI; KUNA UZURI WA AINA MBILI:-
  1. UZURI WA MUONEKANO (KWA MFANO UTASIKIA WATU WAKISEMA "JAMANI YULE DADA AMEUMBIKA!! YAANI KWA KWELI MUNGU ALIKUWA AMETULIA WAKATI ANAMUUMBA YULE DADA AU YULE DADA ANA SURA NZURI!! KWA KWELI ASIYEJUA KIZURI BASI SI MZURI YEYE N.K. N.K.")

  2. UZURI WA TABIA. HUU NI MBALI NA MUONEKANO WA SURA NA UMBO. (MFANO UTASIKIA " JAMANI YULE DADA ANA TABIA NZURI, ANAJIHESHIMU, YAANI MANENO NA MAVAZI YAKE KWA KWELI...")

  LAKINI MIMI NINGEPENDA KWA LEO NIONGELEE KIDOGO TU AINA YA 1. YA UZURI. KWA UPANDE WANGU NAWAGAWA WADADA WOTE KATIKA MAKUNDI/MADARAJA MATATU:-
  (a) WAZURI WA KAWAIDA
  (b) WAZURI
  (c) WAZURI SANA

  PIA KATIKA MAKUNDI/MADARAJA HAYA NAPENDA KWA LEO NIGUSIE TU AINA (c). WADADA WA DARAJA HILI NI WAZURI SANA KWA SURA, UMBO NA KWAMBA KILA MWANAMUME ASIYE NA HOFU YA MUNGU ANGETAMANI SANA KUWA NA WADADA WA AINA HII NA MARA NYINGI KILA WALIPOPITA WANAUME HAWAKUSITA KUWAANGALIA NA HATA WENGI WAO WAMEJIKUTA WAKIWATOKEA NA KUWATONGOZA WADADA HAWA.

  NA WADADA HAWA WAMEKUWA NI WAZOEFU SANA NA WANAUME NA UKIKUTANA NA WADADA AMBAO HAWANA HOFU YA MUNGU BASI UTASHANGAA KUONA KWAMBA MDADA MDOGO TU BUT AMESHAKUTANA KIMWILI NA WANAUME KIBAO. AIDHA KWA KUACHWA NA WAPENZI WAO AU WENYEWE KUWAACHA WAPENZI WAO WALIOWAPENDA KWA DHATI. Kwa nini? HAWA WAMEKUWA WAKIRINGA SABABU YA KWAMBA WAO NI WAZUZI NA KWAMBA HATA AKIACHWA AU KUACHA ATAKUTANA NA MWANAMUME MWINGINE kwa sababu tu eti yeye ni mzuri na kwamba wanaume wengi huwa wanamshobokea.

  WADADA HAWA KASORO YAO KUBWA NI HII "HUWA WANAFANYA MAAMUZI YAO MENGI AU YOTE (HASA YA MAHUSIANO) KWA KUANGALIA UZURI WAKE.(MAKING DECISION IN BEAUTIFUL PERSPECTIVES). HII NDIO KASORO YAO KUBWA NA NYINGINE NI KWAMBA AKIWA NI BINTI ASIYE NA HOFU YA MUNGU BASI ANAKUWA SIO MWAMINIFU HATA KIDOGO.( HUWA WANAKUWA NA LIST YA WAPENZI.) NA KWA SABABU HII MWISHO WA SIKU WANAJIKUTA WAKIACHWA EITHER WAKIWA NA MIMBA AU WATOTO AMBAO HATA WENYEWE HAWANA UHAKIKA YA KWAMBA BABA MTOTO NI NANI NA KUACHWA BILA KUOLEWA NA KUBAKIA MADUNG'A-EMBE.


  ANGALIZO KWA WANAUME WANAOPENDA WADADA WA NAMNA HII HAKIKISHENI MNAMSHIRIKISHA MUNGU KUMPATA MWENZA MWENYE HOFU YA MUNGU VINGINEVYO MAJUTO SI KITU CHA KUULIZA.


  REMEMBER: THE DECISIONS YOU MAKE TODAY HAVE DIRECT IMPACT ON YOUR FUTURE LIVES BOTH FLESH AND SPIRITUAL LIVES. TAKE GOOD CARE OF YOURSELF AND THINK CAREFUL BEFORE YOU ACT UPON YOUR DECISIONS.


  WANA JF NAOMBA MAONI YENU KATIKA HILI MNIDADAVUE NIPATE MTAZAMO WENU NEXT TIME I WILL TALK ABOUT THE OTHER REMAINED.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tangu jana mnawananga wasichana wazuri!!!Mmepigwa chini nini?????
   
 3. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Lizzy, nami ndo nashangaa jamani??!!! sijui hiii thread ni ya ngapi leo tu???
   
 4. GODLIVER CHARLE

  GODLIVER CHARLE Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Lizy, sio kwamba tumepigwa chini, hasha lakini ndivyo ilivyo kwa wengi wao. Nikupe tu mfano mmoja wa halisi.

  Siku moja ktk mishemishe zangu nilikuwa natokea posta dar kuelekea mtongani. Nliingia kwenye daladala. Wakati nimekaa pale akaingia binti mmoja mzuri sana; kwa kweli ni mzuri sana. Kwa bahati alikuja akiakaa na mimi. Japo aliingia na kaka mmoja ambaye kimtizamo wa harakaharaka na mpenzi wake hata hivyo baada ya yule kaka kumuita wakae wote kwenye sit bint alikataa na kuendelea kubaki na mimi.

  Mkononi alikuwa ameshika sim na punde ikaingia msg ambayo niliisoma bila yeye kujua ninaisoma kwa nama alivyokuwa ameishika sima, msg ilitoka kwa adam nayo ilisomeka hivi "hney mambo vp? Uko wapi mpenz, nimekumis." akareply hivi "dea niko nyumbani naosha vyombo nitafute badae baadae" then akazifuta zote.

  Punde ikaingia msg nyingine ilitoka kwa stephn "hey darling i wanna come to see you this afternoon. Upo hom?" akajibu "mama ameniagiza mpenz niende kwa shangazi lkn nitakupitia jion" then akafuta zote.

  Akapigiwa simu lakin this tim ilikuwa namba tu ila aliikata sim na kujibu kwa msg "ndo natoka nyumba nyumbani mpenz hop baaada ya 1hr nitafika" this time nikawa nimefika safari yangu so sikujua tena kilichoendelea nikashuka.

  Lizy umeona???? Tafakari. Huyo ni mmoja tu ninao wengi nimewaona wa design hii au kwa style nyingine.
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mie sijaoni category yangu hapo ...

  mie nilidhani mwanamke yeyote akipita
  hapo haijalishi yukoja bado kijana/mwanaume atamwangalia tu... lol
  au nimekosea jamani .....
   
 6. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,725
  Likes Received: 3,143
  Trophy Points: 280
  What is udung'aembe?
   
 7. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Duuuu, huyo dada aliacha simu ukawa unaisoma kiasi hicho!! Hapo kuna utata kidogo! Hii stori inaonekana kama imepikwa hivi.
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Unashida gani na wadada wazuri dear
  thread zako zote Leo ni kuhusu hilo..
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Unashida gani na wadada wazuri dear
  thread zako zote Leo ni kuhusu hilo..
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  @ GODLIVER CHARLE:

  Pamoja na kuandika kwa herufi kubwa (kupiga kelele), lakini pia mpangilio wa "bandiko" lako haeleweki.

  Pia nimeshindwa kufahamu maana ya hii sentensi: "MAKING DECISION IN BEAUTIFUL PERSPECTIVES"!

  Neno "Uzuri" linajitosheleza kuelezea sifa ya kitu, kiumbe, e.t.c. Unapongeza "wa kawaida", "sana", e.t.c unakuwa ni mnyumbulisho, but the fundamental meaning of "beauty" can not be over-emphasized!
   
 11. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimeshindwa kukuelewa!how comes kwamba unasoma msg ya mtu hata kama yuko karibu na wewe?thus too much of u,is not a courtesy actually.
   
 12. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndugu mtoa mada,kny thread yako umesema kama mwanaume hana hofu ya mungu atamtamani huyo mzuri,kwani wenye hofu ya mungu ndo hawapendi vitu vizuri?huo ndo unafiki mwingine,mbona watumishi kibao wana wake wazuri?!sijui kama uliisoma mada ya juzi ya dumelambegu.maana ungeisoma hukuwa na haja ya kuanzisha hii sana sana ungeenda kuchangia kule,wasichana wazuri wapo ila huwezi kuwapata kwa mtizamo hasi uliojiwekea!
   
 13. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hawajiamini,wametoswa na wadada wazuri sasa imebidi walete vilio vyao kwa namna hii!
   
 14. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hivi kuna tofauti kati ya mzuri na mrembo?
   
 15. GODLIVER CHARLE

  GODLIVER CHARLE Member

  #15
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  hata yeye hakujua kwamba naisoma. Buti the position aliyokuwa ameishika na mimi nilipokaa. It is a true story.
   
 16. idea

  idea Senior Member

  #16
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hata wewe huna hofu ya Mungu utasomaje sms za mtu. Sio ustaarab usirudie kabisa.
   
 17. GODLIVER CHARLE

  GODLIVER CHARLE Member

  #17
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ndg. Si kwamba hawapendi wadada wazuri, na kwa hilo ondoa shaka kabisa kwamba hakuna mume/mwanamume asiyependa kuwa na mdada/mke mzuri wa kuvutia maana hata mimi pia napenda sana tu na naamini mke wangu atakuwa mzuri sana ila nachomaanisha kwa "mwenye hofu ya mungu" ni kwamba hata katika uhitaji wake wa kumpata mke/ atasali sana na hivyo hatakurupuka tu kwa kumuona mdada mzuri. In addition to that akishakuwa na huyo wake mzuri hatahangaika na wengine kwa sababu ya kumhofu mungu. Naamini umenisoma.
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Uzuri ni wa mtu...Urembo unanuliwa!
   
 19. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mambo ya kufikirika hayo, content with no logic...
   
 20. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Peleka huko madungaembe mara sijui kuolewa nini, we kama una sura kama sokwe kivyako, nakama dada zako wameolewa au wewe umeoa au kuolewa mshukuru mungu. Nauelewe kuolewa sio lazima ila kua na mtoto nibaraka hata kama hujaolewa. Kumbuka wapo watu kwenye ndoa wanateseka miaka mingi, bila watoto na ndoa zao hazina faraja mpaka wanatamani hao walozaa bila ndoa. Kwahiyo huo upupu wako upeleke huko, inamaana ukizaa mtoto mzuri wa kike utamtupa kwakua akikua hata olewa we vipi? Wivu tu mijitu mingine kwa midomo kukosoa uumbaji wa mungu tu. Kama huwapendi wadada wa zuri au we sio mzuri waache watoto wawatu bwana mmezidi masimango. Kuolewa ni issue sana kwako sio ok.
   
Loading...