Kasindee Kasindee Kasindee....hovyooooo!!!


Hahahahaaa
 
hata mi nilimmiss. halafu sijui kwann huwa nasahau uwepo wake hadi anapopost threads. Kasinde mpenz endelea kutukumbusha kumbusha.

pamoja sana rafiki, nipoo nikiadimika ujue nazichanga na zikikaa sawa ndo natokea kuzitumia
 
Ulichelewa toka lunchtime mpk saa 3 Foleni eee........:A S 109:

Ni kuwa sikuandika word by word, nilitoka ofcn posta saa nane mchana baada ya lunch hours, nilianza safari ya kuelekea ubungo, ujenzi wa strabag unaishia Kimara na foleni ya Dar unaifahamu. Hadi kufika chalinze ilikuwa jioni as nilikuwa naendesha speed 60 hadi 70 sikuvuka hapo kwasababu ya umakini barabarani na kupishana na malori. Kumbuka mwezi huu umegubikwa na ajali nyingi za barabarani hivo hilo nalo lilikuwa akilini wakati naendesha. Sikuwa na haraka ya kuwahi kunyonyesha au kumbuka driving was part of enjoyment ya weekend.
 
Kasinde nikidhani umeacha upopo...kumbe yule mkuu hakukushika ukashikamana!!!!
Anyway, hata mie napenda trips za hivo..we live once..!

Daktari wangu nae anakula ujana si unajua wacha kabisa shamba tunaenda pamoja nani abaki nyumbani, kama ni kulima tunalima wote, kuvuna tunavuna wote, na bakshishi tunapeana na daktari,

ila usiwe unafokonyoa sana mie nipo poa tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…