Kasinde on holiday

Kasinde on holiday

Kwani upo dunia gani yenye ubaridi? Huku kwetu ni joto hata hamu hamna tena..!

Hilo joto liko dalisalama tu,,, huku mabonde kuinama baridi la hatari !!!!!!!!bila mechi ya kirafiki hakulaliki
 
Bado niko Abu @Dhabi na kuna mjeda mmoja tangu nifike ananiangalia kwa jicho la husda... nahisi anaweza fanya vacation yangu ikaishia hapa.... six pack mwee!! udenda kuntoka Kasie

Mmmh...we kula tu ujana wako. Japo sio ujana as such, ni uzee katika mentality ya ujana...
Ukipiga mechi tujuze...!
 
Last edited by a moderator:
Bado niko Abu @Dhabi na kuna mjeda mmoja tangu nifike ananiangalia kwa jicho la husda... nahisi anaweza fanya vacation yangu ikaishia hapa.... six pack mwee!! udenda kuntoka Kasie

Hey slow your roll now.....:A S wink:
 
Hasa range sport, nissan patrol new model, grand cars, harrier new model, audi, cadillac, muranno... IVO.

Kasinde mkuu...

Mrembo awazimikiaye watanashati wenyw ndinga kali kali...
 
Last edited by a moderator:
Hey slow your roll now.....:A S wink:
Ha ha haa, ok buddy. If he smiles at me again I will let myself out of his face.
But am fine, just little cold here ila joto inakuwaga Dubai kweishney
 
Mie ni mnyamwezi asilia nimekuzwa na matobolwa nakaranga na asali. Kasie mie mla ujana fujo nyin

Hili jina, umenirudisha mbaaaali sana. Loong time nikiimba wimbo wa Kasinde.

Yes, hili ni jina la kwetu hasa.
 
Hehehee usiige tembo ku puu, wakina mama Tibaijuka wameachwa chalii. Watu wanaenda vacation na pesa yao, hawategemei mgao ukiiga imekula kwako...
Teh teh mambo ua tegeta escrow. ...na mi safari hii nitakua..... manaake huu mgao wa 1.6b cjui nitamaliza lini
 
Weeh shauri yako itatoboa boksa hiyoo maana itasimama bila kushuhulikiwa...
Tinna nataka mguu wa tatu usimame kwa hisia. Mda mrefu sana haujasimama na huyu kassie anajua kuleta hisia balaa..
 
Nilijua tu kuwa wewe ni Dada yangu kwa hilo jina lako. Hivi wajua maana ya Kasinde, Sizya na Mhozya? Huwa yanafuatana kama ilivyo Kulwa/Doto, Sizya na Mhozya tena.

Matobolwa na Karanga kwa asali ndiyo vyenyewe. Hapo ongeza na Mahindi, Maboga na njugu bila kusahau Mamumunya na vyote kwenye mtungi mmoja wa Bibi. Zimeshapita hizo siku zetu. Ningelitamani kurudi huko walau kwa siku moja tu.

Asante kwa kumbukumbu..........

87439_2582_13065_l.jpg

Mie ni mnyamwezi asilia nimekuzwa na matobolwa nakaranga na asali. Kasie mie mla ujana fujo nyin
 
Sea shell ila ntatua mahali flani (Abu Dhabi) kwanza kwa siku7 kisha niende sea shells. Karibu twende life is to live, lets enjoy and have fun.
acha kutupiga fiksi hapa juzi nilikuona kwenye treni ya mwakyembe
 
Back
Top Bottom