Kasinde on holiday

Kasinde on holiday

Hahahaaa you are crazy! Crazy like a fox, that is.

Next time around I want you, me, and my little miss lady to go on a cruise in the Bahamas.

Are you game?
I like gaming u, and I will couch the game....
Yes Ngabu, am crazy for u..
I promise next time i will let u around me in Bahamas hope ur little miss lady wont harm our holiday / vacation in Bahamas.
Coz I will be in bikinis suit... ciao NN
Mmmuuahhh!!!
 
Nilikua nafuatilia sakata la ESCROW, Shem miss neddy nipemo ripoti tafadhali, Ni nini kinaendelea hapa?
Mzee wa uvinza Junior. Cux na makeke yake atabakisha kitu kweli hapa kwa mai lavu wangu Kasinde.... Nipo naload virisasi kwenye haka kasilaha kangu apa Tandale mkabala na Dr. Platnumz

choclate hapana sina meno lol nichagulie kingine af ina mana ndo ushampindua Tized

mmh chagua bas gold au silver maana kuna vimkufu hapa naviona vinapendeza vikiwa hapo kati.. Tized yupo ila nimejitolea kipindi hiki cha vacation Kasinde asiwe lonely, but anything can happen
 
Last edited by a moderator:
Ila tuache masihara, dokta penzi lako tqmuu, halafu nikisomaga comment zako tuu nakuwa nyoronyoro yaani nahorojekaa...
Sijui umenilisha nini, yaani penzi lako tangu kwenye zile crush na pikipiki toyo yako, sibanduki moyoni mwako asilani.
Endelea kufatilia Escrow hadi kieleweke dokta wangu mpenz, Tized NAKUPENDAAAa....

Nilikua nafuatilia sakata la ESCROW, Shem miss neddy nipemo ripoti tafadhali, Ni nini kinaendelea hapa?
Mzee wa uvinza Junior. Cux na makeke yake atabakisha kitu kweli hapa kwa mai lavu wangu Kasinde.... Nipo naload virisasi kwenye haka kasilaha kangu apa Tandale mkabala na Dr. Platnumz
 
Last edited by a moderator:
Hongera wengine bado tunajazia jazia waleti mzigo haujatimia,,,,,,,cheers:tonguez::tonguez:
 
Please listen to this Song. BAK asipite hapa.

Ila tuache masihara, dokta penzi lako tqmuu, halafu nikisomaga comment zako tuu nakuwa nyoronyoro yaani nahorojekaa...
Sijui umenilisha nini, yaani penzi lako tangu kwenye zile crush na pikipiki toyo yako, sibanduki moyoni mwako asilani.
Endelea kufatilia Escrow hadi kieleweke dokta wangu mpenz, Tized NAKUPENDAAAa....
 
Last edited by a moderator:
Bro Tized nimejikuta mtaa huu na kugundua nimepotea mtaa lol!!!! hahahahahahaha. Juzi nilikuona CNN ukihojiwa na Wolf Blitzer hongera sana uliongea vizuri sana. Haya Kaka mkubwa nikutakie weekend njema, mie kipindi hiki hadi the 1st week of January ni my favourate time of the year kwa hiyo ni raha tu.

Enjoy

Please listen to this Song. BAK asipite hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa... Kaka Mkubwa BAK hujakosea, najua wakati ukielekea nyumbani kule siasani njia yako mara nyingi ni hii hapa hahahahahahaaaa.. Sijakupa hongera zako bwana na The citizen yako hatimaye YAMEKUWA. you played a key role on your arena of influence. Thank you so very much.

Nataka nigombee Uraisi huku majuu kaka, ndio naangalia angalia njia, Thank you.

Wishing you all the Best kwa hii festival, may all that you planned come to pass, may this one be the one to remember, may it bring the best of joy and happiness out of you guys (you, family and friends) na zaidi sana ukanikumbuke kwenye ufalme wako kaka :becky: I dont wanna miss a thing too.

Bro Tized nimejikuta mtaa huu na kugundua nimepotea mtaa lol!!!! hahahahahahaha. Juzi nilikuona CNN ukihojiwa na Wolf Blitzer hongera sana uliongea vizuri sana. Haya Kaka mkubwa nikutakie weekend njema, mie kipindi hiki hadi the 1st week of January ni my favourate time of the year kwa hiyo ni raha tu.

Enjoy
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana Mkuu Tized I wish the same to you and all members of your family, relatives and close friends. Naona mambo si mabaya Mkuu hongera zako nyingi sana. Kupendwa na kupenda raha sana asikwambie mtu.

Hahahahaaaaa... Kaka Mkubwa BAK hujakosea, najua wakati ukielekea nyumbani kule siasani njia yako mara nyingi ni hii hapa hahahahahahaaaa.. Sijakupa hongera zako bwana na The citizen yako hatimaye YAMEKUWA. you played a key role on your arena of influence. Thank you so very much.

Nataka nigombee Uraisi huku majuu kaka, ndio naangalia angalia njia, Thank you.

Wishing you all the Best kwa hii festival, may all that you planned come to pass, may this one be the one to remember, may it bring the best of joy and happiness out of you guys (you, family and friends) na zaidi sana ukanikumbuke kwenye ufalme wako kaka :becky: I dont wanna miss a thing too.

Last edited by a moderator:
Many thanks Brother BAK, ubarikiwe sana.

Nipo najilia raha na kipenzi changu hapa katika nchi ya kusadikika, anakusalimu sana. Nikutakie kheri kaka mkubwa.

Back
Top Bottom