Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,797
Anhaaaa asee haki.yako kumbe ndo mana siku hizi haelewek
eti sikuhizi anatafuta wenye tezi dume... alwendree zake ukooo, ntapata kwingine
Anhaaaa asee haki.yako kumbe ndo mana siku hizi haelewek
Kwenda kustarehe sea shells mie najigharamia niko fullu masnondo. Hivo ukinigharamikia itakuwa ni sehemu ya starehe kwako.
Kwani ulikuwa unataka malipo gani kwa mfano...
mi nasubiri gifts kutoka huko sea shells
ah myn ujigharamie akati upo na kidume... afu usijifanye mtoto wa primary hapa, kwani hujui cha kunikirimu na mi nkajisikia afueni
Hahahahaaa umejitolea kumlea Kasie haya na ujishike kweli kweli si unajua sifa ya wanyamwezi? Ujifungashe si masikhara..
unatumia choclate gani miss neddy... mi na mpenzi wangu kasinde tutakufikishia mpaka mlangoni
Hapa niko on the way to vacation nikifika ntawajuza habari za huko. This time sea shell hahahaa...