Kasie's Crush... He Crush on Me....

Hahaaa. Dada yangu wa Kinyamwezi katika ubora wako mwenyewe.

Siku zote kuna vitu huwa vikitokea vinakuwa ni kama kikohozi yaani mtu anaweza jizuia ila mwisho wa siku inashindikana. Na ndio ilivyokuwa kwa huyo Kaka sasa.
Kama Mimi tu nilivyokua sijiwezi kwako emmyta[emoji28]
 
Vijana wa siku hizi hawana adabu kabisa!afu wanajua wamama wote wanapenda vijana ndio sababu.hivyo akikupata utamrahisishia maisha kama hutompa matumizi basi hutomwomba hivyo atastirika na nyege zake
 
Hehehehehe tenaaaa. .....!!!? Haya kila la kheri.
kheri huenda na kheri nipe kheri nijisikie kheri mapenzi sio utapeli wala sio kula kideli..
 
Kama kasie ndiyo huyo kwenye avatar basi bado analipa sana tu.

Rangi nyeupe na hayo mashavu dodo lazima tukupende tu.
 
kheri huenda na kheri nipe kheri nijisikie kheri mapenzi sio utapeli wala sio kula kideli..

Hehehehehhe yamekuwa ya mashairi tenaa, looh haya wacha nikae kitako nifaidi utunzi wa Bw. KENZY. ...hehehehehee ati sii kula kideli hahahhah
 
Kama kasie ndiyo huyo kwenye avatar basi bado analipa sana tu.

Rangi nyeupe na hayo mashavu dodo lazima tukupende tu.

Hehehehhehe looh kiajuza mie. ..... ila maadam ni kunipenda tuu, nashukuru natumai hakuna madhara.
 
doh
 
Kila ndege hutua kwenye mti aupendao... Ameshakua addicted .... Sisi wengine makauzu tu toka mwanzo wa safari hadi mwisho wa safari hata kama ni kigoma mwisho wa reli. Labda yeye ndo anianze aisee. Ukauzu unasaidia sana maana husumbuki wala kusumbuliwa. Ila casie na wewe ulishakolea bana kwa hayo Maelezo Yako na unatamani hata ungeonana naye tena. Just joking...
 
[emoji2] [emoji2] umenikumbusha chuoni!!! DAAAH
 
Hehehehehhe yamekuwa ya mashairi tenaa, looh haya wacha nikae kitako nifaidi utunzi wa Bw. KENZY. ...hehehehehee ati sii kula kideli hahahhah
kwa ushairi umefika kipenzi,kwa umahiri nimevuka viunzi!

nipe wako utenzi,nikuonyeshe mapenzi!
mtaani utaniita kenzy,kitandani utaniita mshe**zi!.
 
Kiasali hicho nishakwambia ww toto la kinyamwezi
 

Hahahahaaa kweli tena wala hujakosea.....looh.
 
kwa ushairi umefika kipenzi,kwa umahiri nimevuka viunzi!

nipe wako utenzi,nikuonyeshe mapenzi!
mtaani utaniita kenzy,kitandani utaniita mshe**zi!.

Hahahahaaa looh hadi rahaaa hadi tunzi zangu zimenipotea looh.
 
Hahahahaaa kweli tena wala hujakosea.....looh.
Ahsante kwa kukubali ukweli. Halafu hata mm naamini mapenzi hayana umri. Hata uwe kibibi Bado tu una mvuto. We angalia hata bibi na babu kama huwa hawana wivu mmoja wao anapochelewa kurudi au anapocheza na mjukuu. Hasa Bibi huwa wanamind sana. [emoji12]
 

Hahahahhahahahaaa yaani ......
 
Hahahahhahahahaaa yaani ......
Kuna wanawake hata akiwa MTU mzima wanaume tunadata tu. Hasa ukiwa unajikeep natural na kujipenda na kutulia. Mara nyingi wanaume tunapenda mwanamke anayejiamini, aliyetulia asiye na maneno maneno mengi hasa kwenye ishu sirias. Unapomwangalia usoni unamjua toka Nje mpaka ndani na unajua kama anafaa, ana ladha na mengine. Wewe sijakuona ila kiasi Fulani nimeshakujua ulivyo. Hivyo huyo MTU hakudata kwa Bahati mbaya Bali nikua unadatisha sana watu hata baadhi ya wa humu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…