Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Holla MMU,
It's usual every human being stay on peace when on comfort zone. I've observe it when a young baby lay on safe hands he sleeps for long but if he feels that he is not safe or feels danger that means he stays awake, crying, being in a worry mode, hence uncomfortable.
Kila mmoja wetu ana comfort zone yake kutokana na hali na matakwa yake. Kasie's comfort zones are....
1. Boarding a plane to vacation trip or official trip as I love travelling.
2. Shopping which ever I want paying through my bank card. Mara zote nikiwa nafanya manunuzi kwa kulipa pesa taslim huwa nakuwa makini maana zikiisha wakati bado manunuzi hayajaisha ni fedheha. Nikilipa kwa kadi ya benki - POS sina wasiwasi maana najua huko kuna kuwa na pesa ya kutosha.
3. Being at my home all alone sleeping a or watching TV and or chatting whole day wearing a short and vest or short jumpsuit.
4. On my toilet pooing...... (kuna wimbo mmoja korasi yake ni tamu hadi naniliu aliniambia itakuwa huo wimbo aliutunga wakati anajisaidia haja kubwa).
5. Gari yangu ikiwa iko full serviced, full tank kiasi kwamba nikiwasha switch on naenda popote nitakapo, hasa siku ninazoenda club.
6. Church is my stress free comfort zone.
What is your comfort zone? Share yours.
Kasie Albert T.