Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
- Thread starter
- #61
Hao wadada hawawezi kuwa serious, mlangoni nimefikaa kwa kuvutwa na sumaku pamoja na sauti ya kumtoa nyoka pangoni
Ngoja niendelee kupiga chabo hapa mlangoni
Hahahahaaa haya wamekusoma sasa natumai wamepata jibu lako mujarabu.
Hapo kwenye chabo hapoo...... hakikisha umevaa miwani ya plastic acid isije ikakumwagikia usoni.