Hahahahahaa
Daby ni baba yeyoooo (swimming inahusika) hahahahahahhaaa Laigunian natumai hujasahau. Hilo jina la kimasai kika siku nalisahau sijui nifanyaje likae kichwani looh.
Babu
Asprin huyu Rodizo inamhusu...... Babu Big Sam....
mbalizi1 huyu safari ya Tabora ndani ya deluxe train mambo msuano. ... tukifika hukoo ni mwendo wa asali na matobolwa tuu hehehehee
Mwifwa ......... I've never come across.....
Kasie ni mkorofi mkorofi mchokozi mchokozi mtundu mtundu..... na mbishi over. Hata pishana sana
Karucee ......
Am more comfortable paying all my dues...
Kasie Matata.