Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Sijui neno ZOE lina maana gani kwa Kiswahili. Kwa Kiyunani maana yake ni MAISHA. MpendaZOE........I wonder!
Kasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John Pombe Magufuli inazidi kuwang'oa viongozi wachafu na wala rushwa katika Taifa letu! Kasi hii ya awamu ya tano na inazidi kudhilishia umma wa watanzania kuwa ccm ni chama safi chenye viongozi wasafi wasiopenda rushwa hata kidogo !
Huyo anapambania tumbo lake apewe udc,mjini hakukaliki na kurudi kishapu akalime ni ngumuMkuu Fred Mpendazoe ,nawe ulipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA kulikuwa na kasi gani au upya upi wa CCM? Hebu acha wakuamua waamue
Mramba alifungwa kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi. Jinai haina ukomo, nyalandu akae mguu sawa.Wachafu watajiengua wenyewe ndani ya CCM.
Mafisadi na wabadhilifu waondoke tu
Mtoto hawezi kumkosoa baba akiwa ndani ya nyumba ya baba yakeKasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John Pombe Magufuli inazidi kuwang'oa viongozi wachafu na wala rushwa katika Taifa letu!
Kasi hii ya awamu ya tano na inazidi kudhilishia umma wa watanzania kuwa ccm ni chama safi chenye viongozi wasafi wasiopenda rushwa hata kidogo !
Hajapita wiki moja baada ya waziri wa malisili na utalii mh Citizensfor Kigwangalla mzee field kutangaza kiama kuwa wale wote waliohusika kujimilkisha vitalu wawe viongozi wawe wamestaafu atawachukulia sheria kali .
Basi leo tumeshudia hao watu wakijondoa wenyewe kwa hiali yao! Hii ni kasi ya ajabu .Rais wetu ni mchapa kazi si mtu wa rushwa ni rais wa wanyonge anaetetea maslahi mapana ya watanzania ! Kwa kasi hiii ni lazima wezi wa mali za nchi,pembe za ndovu,faru,tembo nk ni lazma wajitoe wenyewe tu .
Nasikitshwa na kauli ya nyarandu kusema Tz inahitajika Katiba mpya nina swali kwake
-!kwani akiwa waziri hakuiona katiba mpya ina umuhimu hadi leo ndo aone ina umuhimu?
Aacha kudanganya umma aseme tu ukweli kilichomtoa ni Maliasili tu na kigwangallah hana mchezo hata kidogo atakufata huko huko .
Kuhama sio suluhisho umetuibia halafu unahama hapana! Hii ni kasi ya kubatizwa kwa moto lazima wezi wakimbie !
Nakupongeza sana Mh Rais kwa kazi nzuri unayofanya ya kuatumikia watanzania hata wanyonge! Pia nakupongeza waziri wa maliasili na utalii kwa kasi ulioanza nayo ya hatari.
CCM mpya,Tz mpya
Na Emanuel Uledi
Kasi ipi wewe? Ya kuleta maisha magumu? Ya kusema uongo kwamba uchumi unakuwa na tuna pesa nyingi? Ya kupunguza mikopo yavelimu ya juu toka 459 billions kwa wanafunzi 122,000 mwaka 2015/2016 na kufikia 147 billions kwa wanafunzi 31,000 tu?
Hebu acha kuandika yasiyoeleweka
kumbe ni mzee? hovyo kabisa huyuNaomba nikuulize mzee Mpendazoe, yule katibu aliyetumwa India kwa matibabu amesharudi? Hicho kinachoitwa kipya kimezaliwa lini au kwa kuwa ni wakwetu?
na wewe kasi ya kikwete ndo ilikung'oa ccm ukaenda ccj kwa kuwa ulikuwa mchafu?Kasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John Pombe Magufuli inazidi kuwang'oa viongozi wachafu na wala rushwa katika Taifa letu!
Kasi hii ya awamu ya tano na inazidi kudhilishia umma wa watanzania kuwa ccm ni chama safi chenye viongozi wasafi wasiopenda rushwa hata kidogo !
Hajapita wiki moja baada ya waziri wa malisili na utalii mh Citizensfor Kigwangalla mzee field kutangaza kiama kuwa wale wote waliohusika kujimilkisha vitalu wawe viongozi wawe wamestaafu atawachukulia sheria kali .
Basi leo tumeshudia hao watu wakijondoa wenyewe kwa hiali yao! Hii ni kasi ya ajabu .Rais wetu ni mchapa kazi si mtu wa rushwa ni rais wa wanyonge anaetetea maslahi mapana ya watanzania ! Kwa kasi hiii ni lazima wezi wa mali za nchi,pembe za ndovu,faru,tembo nk ni lazma wajitoe wenyewe tu .
Nasikitshwa na kauli ya nyarandu kusema Tz inahitajika Katiba mpya nina swali kwake
-!kwani akiwa waziri hakuiona katiba mpya ina umuhimu hadi leo ndo aone ina umuhimu?
Aacha kudanganya umma aseme tu ukweli kilichomtoa ni Maliasili tu na kigwangallah hana mchezo hata kidogo atakufata huko huko .
Kuhama sio suluhisho umetuibia halafu unahama hapana! Hii ni kasi ya kubatizwa kwa moto lazima wezi wakimbie !
Nakupongeza sana Mh Rais kwa kazi nzuri unayofanya ya kuatumikia watanzania hata wanyonge! Pia nakupongeza waziri wa maliasili na utalii kwa kasi ulioanza nayo ya hatari.
CCM mpya,Tz mpya
Na Emanuel Uledi
Kimoyomoyo unamlaani Didas Masaburi alivyotoka nduki na maboksi ya kura!!!Kasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John Pombe Magufuli inazidi kuwang'oa viongozi wachafu na wala rushwa katika Taifa letu!
Kasi hii ya awamu ya tano na inazidi kudhilishia umma wa watanzania kuwa ccm ni chama safi chenye viongozi wasafi wasiopenda rushwa hata kidogo !
Hajapita wiki moja baada ya waziri wa malisili na utalii mh Citizensfor Kigwangalla mzee field kutangaza kiama kuwa wale wote waliohusika kujimilkisha vitalu wawe viongozi wawe wamestaafu atawachukulia sheria kali .
Basi leo tumeshudia hao watu wakijondoa wenyewe kwa hiali yao! Hii ni kasi ya ajabu .Rais wetu ni mchapa kazi si mtu wa rushwa ni rais wa wanyonge anaetetea maslahi mapana ya watanzania ! Kwa kasi hiii ni lazima wezi wa mali za nchi,pembe za ndovu,faru,tembo nk ni lazma wajitoe wenyewe tu .
Nasikitshwa na kauli ya nyarandu kusema Tz inahitajika Katiba mpya nina swali kwake
-!kwani akiwa waziri hakuiona katiba mpya ina umuhimu hadi leo ndo aone ina umuhimu?
Aacha kudanganya umma aseme tu ukweli kilichomtoa ni Maliasili tu na kigwangallah hana mchezo hata kidogo atakufata huko huko .
Kuhama sio suluhisho umetuibia halafu unahama hapana! Hii ni kasi ya kubatizwa kwa moto lazima wezi wakimbie !
Nakupongeza sana Mh Rais kwa kazi nzuri unayofanya ya kuatumikia watanzania hata wanyonge! Pia nakupongeza waziri wa maliasili na utalii kwa kasi ulioanza nayo ya hatari.
CCM mpya,Tz mpya
Na Emanuel Uledi
Hongera kwelikweli kwa kasi ya kuturudisha nyuma JPM!Kasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John Pombe Magufuli inazidi kuwang'oa viongozi wachafu na wala rushwa katika Taifa letu!
Kasi hii ya awamu ya tano na inazidi kudhilishia umma wa watanzania kuwa ccm ni chama safi chenye viongozi wasafi wasiopenda rushwa hata kidogo !
Hajapita wiki moja baada ya waziri wa malisili na utalii mh Citizensfor Kigwangalla mzee field kutangaza kiama kuwa wale wote waliohusika kujimilkisha vitalu wawe viongozi wawe wamestaafu atawachukulia sheria kali .
Basi leo tumeshudia hao watu wakijondoa wenyewe kwa hiali yao! Hii ni kasi ya ajabu .Rais wetu ni mchapa kazi si mtu wa rushwa ni rais wa wanyonge anaetetea maslahi mapana ya watanzania ! Kwa kasi hiii ni lazima wezi wa mali za nchi,pembe za ndovu,faru,tembo nk ni lazma wajitoe wenyewe tu .
Nasikitshwa na kauli ya nyarandu kusema Tz inahitajika Katiba mpya nina swali kwake
-!kwani akiwa waziri hakuiona katiba mpya ina umuhimu hadi leo ndo aone ina umuhimu?
Aacha kudanganya umma aseme tu ukweli kilichomtoa ni Maliasili tu na kigwangallah hana mchezo hata kidogo atakufata huko huko .
Kuhama sio suluhisho umetuibia halafu unahama hapana! Hii ni kasi ya kubatizwa kwa moto lazima wezi wakimbie !
Nakupongeza sana Mh Rais kwa kazi nzuri unayofanya ya kuatumikia watanzania hata wanyonge! Pia nakupongeza waziri wa maliasili na utalii kwa kasi ulioanza nayo ya hatari.
CCM mpya,Tz mpya
Na Emanuel Uledi
kweli ni na yenye kasi mpya,inayopoteza upendo miongoni mwa watzKasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John Pombe Magufuli inazidi kuwang'oa viongozi wachafu na wala rushwa katika Taifa letu!
Kasi hii ya awamu ya tano na inazidi kudhilishia umma wa watanzania kuwa ccm ni chama safi chenye viongozi wasafi wasiopenda rushwa hata kidogo !
Hajapita wiki moja baada ya waziri wa malisili na utalii mh Citizensfor Kigwangalla mzee field kutangaza kiama kuwa wale wote waliohusika kujimilkisha vitalu wawe viongozi wawe wamestaafu atawachukulia sheria kali .
Basi leo tumeshudia hao watu wakijondoa wenyewe kwa hiali yao! Hii ni kasi ya ajabu .Rais wetu ni mchapa kazi si mtu wa rushwa ni rais wa wanyonge anaetetea maslahi mapana ya watanzania ! Kwa kasi hiii ni lazima wezi wa mali za nchi,pembe za ndovu,faru,tembo nk ni lazma wajitoe wenyewe tu .
Nasikitshwa na kauli ya nyarandu kusema Tz inahitajika Katiba mpya nina swali kwake
-!kwani akiwa waziri hakuiona katiba mpya ina umuhimu hadi leo ndo aone ina umuhimu?
Aacha kudanganya umma aseme tu ukweli kilichomtoa ni Maliasili tu na kigwangallah hana mchezo hata kidogo atakufata huko huko .
Kuhama sio suluhisho umetuibia halafu unahama hapana! Hii ni kasi ya kubatizwa kwa moto lazima wezi wakimbie !
Nakupongeza sana Mh Rais kwa kazi nzuri unayofanya ya kuatumikia watanzania hata wanyonge! Pia nakupongeza waziri wa maliasili na utalii kwa kasi ulioanza nayo ya hatari.
CCM mpya,Tz mpya
Na Emanuel Uledi
Mahakama ya mafisadi ipo na inachapa kaziMahakama ya mafisadi mmeipeleka wapi?! Au baba ubaya ameshindwa kupambana nao?