Kasi ya Rais Magufuli na CCM mpya balaa

Kasi ya Rais Magufuli na CCM mpya balaa

Kama vitalu kwa sasa tumuulize Magembe, Vibali hutolewa kila mwaka sio kama madini
Lazma tukubali kuwa nchi imekwama lazima watokee watu wakuweza kupata ujasiri wa kumwambia njia anayokwenda ni Mbaya tumepotea
 
Kasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John Pombe Magufuli inazidi kuwang'oa viongozi wachafu na wala rushwa katika Taifa letu!

Kasi hii ya awamu ya tano na inazidi kudhilishia umma wa watanzania kuwa ccm ni chama safi chenye viongozi wasafi wasiopenda rushwa hata kidogo !

Hajapita wiki moja baada ya waziri wa malisili na utalii mh Citizensfor Kigwangalla mzee field kutangaza kiama kuwa wale wote waliohusika kujimilkisha vitalu wawe viongozi wawe wamestaafu atawachukulia sheria kali .

Basi leo tumeshudia hao watu wakijondoa wenyewe kwa hiali yao! Hii ni kasi ya ajabu .Rais wetu ni mchapa kazi si mtu wa rushwa ni rais wa wanyonge anaetetea maslahi mapana ya watanzania ! Kwa kasi hiii ni lazima wezi wa mali za nchi,pembe za ndovu,faru,tembo nk ni lazma wajitoe wenyewe tu .
Nasikitshwa na kauli ya nyarandu kusema Tz inahitajika Katiba mpya nina swali kwake

-!kwani akiwa waziri hakuiona katiba mpya ina umuhimu hadi leo ndo aone ina umuhimu?
Aacha kudanganya umma aseme tu ukweli kilichomtoa ni Maliasili tu na kigwangallah hana mchezo hata kidogo atakufata huko huko .

Kuhama sio suluhisho umetuibia halafu unahama hapana! Hii ni kasi ya kubatizwa kwa moto lazima wezi wakimbie !

Nakupongeza sana Mh Rais kwa kazi nzuri unayofanya ya kuatumikia watanzania hata wanyonge! Pia nakupongeza waziri wa maliasili na utalii kwa kasi ulioanza nayo ya hatari.

CCM mpya,Tz mpya

Na Emanuel Uledi
Hata ukijipendekeza kivipi hupewi madaraka ng'oooo
 
Unachekesha sana, huna lolote zaidi ya ushabiki ya Mnyeti yamewashinda eti mnapambana na lushwa ovyo kabisa mazwazwa nyie
 
Kamaunazungumzia kasi ya kuwagawa wananchi kivyama, kikanda na kikabila, utakuwa sawa.

Hakuna rais aliyechochea ujinga huu kamahuyu.

Na hii kauli yakempya ya kwamba watu wa Mwanza waliojenga vibaya wachiwe kwa sababu wamempigia kura, wakati watu wa Kimara wamevunjiwa nyumba zao licha ya kuwa na amri ya mahakama kuzuia hilo inadhihirisha hilo.

Watu wenye nchi zenye vita vya ndani hawakuanza siku moja kuwa na vita hizo, zilianza polepole kwa kauli na vitendo vya kijinga kama anavyofanya Magufuli.

Kama ni mtu unayefikri, utamsifiaje mtu anayefanya ujinga huu?
 
Mpendazoe siasa sio profession yako.. Nakushauri achana na siasa fanya mambo yako ya kujitafutia riziki.. Siasa ilishakukataa toka wakati ule akina Seleli na Nape walipokuchuuza na kukufunga paka kengele..
 
Kasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John Pombe Magufuli inazidi kuwang'oa viongozi wachafu na wala rushwa katika Taifa letu!

Kasi hii ya awamu ya tano na inazidi kudhilishia umma wa watanzania kuwa ccm ni chama safi chenye viongozi wasafi wasiopenda rushwa hata kidogo !

Hajapita wiki moja baada ya waziri wa malisili na utalii mh Citizensfor Kigwangalla mzee field kutangaza kiama kuwa wale wote waliohusika kujimilkisha vitalu wawe viongozi wawe wamestaafu atawachukulia sheria kali .

Basi leo tumeshudia hao watu wakijondoa wenyewe kwa hiali yao! Hii ni kasi ya ajabu .Rais wetu ni mchapa kazi si mtu wa rushwa ni rais wa wanyonge anaetetea maslahi mapana ya watanzania ! Kwa kasi hiii ni lazima wezi wa mali za nchi,pembe za ndovu,faru,tembo nk ni lazma wajitoe wenyewe tu .
Nasikitshwa na kauli ya nyarandu kusema Tz inahitajika Katiba mpya nina swali kwake

-!kwani akiwa waziri hakuiona katiba mpya ina umuhimu hadi leo ndo aone ina umuhimu?
Aacha kudanganya umma aseme tu ukweli kilichomtoa ni Maliasili tu na kigwangallah hana mchezo hata kidogo atakufata huko huko .

Kuhama sio suluhisho umetuibia halafu unahama hapana! Hii ni kasi ya kubatizwa kwa moto lazima wezi wakimbie !

Nakupongeza sana Mh Rais kwa kazi nzuri unayofanya ya kuatumikia watanzania hata wanyonge! Pia nakupongeza waziri wa maliasili na utalii kwa kasi ulioanza nayo ya hatari.

CCM mpya,Tz mpya

Na Emanuel Uledi
Ni kudhihirisha mlivyo wajinga. Hoja za Nyalandu zilizomsukuma kuondoka CCM ziko very clear. Mngepinga hoja zake kuliko kuleta huu ujinga hapa. Kama ni mwizi amewapa nafasi nzuri ya kumchukulia hatua. Hovyo kabisa nyie watu!
 
Naona mkia umekatwa sasa unafanya juu chini kuuotesha... Mnamtesa bwana mukuku kuanza kuwafikiria nanyie ili angalau mpate mkate wa u DC
 
Nchi hii if you want to win iba ukiwa CCM hama chama nenda kale pension ukiwa chadema utasafishwa vizuri sana na walewale waliokuwa wanakutuhumu ukiwa CCM hahahahaha
 
Mmmmmmmm! Poleni mbona mmechachamaa hivi. Kichindo cha Nyarandu. Mmejua sasa kwamba si kwa ajili ya Ubunge tu watu wapo CCM Ila kwa ajili ya haki, sheria na usawa katika jamii.

Hongera Nyarandu hawa wote walikuwa kimya kama maji mtungini. sasa ona shida hii uliyoileta wamepoteana kabisa kila mtu anaibuka kivyake tu.
Kwa hiyo nyarandu sio mwizi tena wa maliasiri nyie chadema nyie mnakera sana...
 
Huyu ni MPENDAZOE yule tunae mfahamu ama ni mwingine (ndugu yake) katumia jina la OKOO..!!
 
Unazungumzia ccm mpya ya kujibu hoja kwa risasi?
Ccm iliyojificha nyuma ya jeshi la Polisi?
Ccm ya rais mvunja katiba na sheria za nchi?
Ccm iliyokosa dira na mwelekeo?
Au unazungumzia ccm ipi?! Wewe mzee umezeeka na akili zako zimezeeka
 
kunyamaza nako ni busara,mtu mzima kama huyu kuanza kusifia upuuzi unaofanywa na watu wasio jitambua ni hatari sana kwa taifa hili.
 
Also ok ok ok ok I'm out front in this morning but will make a payment to
 
Nyalandu ni fisadi tokea akiwa waziri. Kama umeanza kufuatilia leo habari za Nyarandu wala usiongee. Hao watoto wa Luck Vicenti ilitokea baada ya Nyarandu kukataliwa CCM, alianza kujikweza kwa jamii, hasa katika matukio yaliyo na sura ya kitaifa.

Si leo alipoanza kunusa pua yake CHADEMA. kwa hiyo hii hata haishangazi, tulitarajia na tulijua. Kila afanyacho kinajulikana.
Mahakama ya mafisadi mmeipeleka wapi?! Au baba ubaya ameshindwa kupambana nao?
 
Back
Top Bottom