Wakati anawapeleka watoto wa luck vicent mlimuona malaika leo katoka mnasema fisadiWachafu watajiengua wenyewe ndani ya CCM.
Mafisadi na wabadhilifu waondoke tu

Nyalandu ni fisadi tokea akiwa waziri. Kama umeanza kufuatilia leo habari za Nyarandu wala usiongee. Hao watoto wa Luck Vicenti ilitokea baada ya Nyarandu kukataliwa CCM, alianza kujikweza kwa jamii, hasa katika matukio yaliyo na sura ya kitaifa.Wakati anawapeleka watoto wa luck vicent mlimuona malaika leo katoka mnasema fisadi
njaa ni utumwa mkubwa sana uncle fred!, endelea kupiga tarumbeta, Mwenye nchi ataweza kukusikilizaKasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John Pombe Magufuli inazidi kuwang'oa viongozi wachafu na wala rushwa katika Taifa letu!
Kasi hii ya awamu ya tano na inazidi kudhilishia umma wa watanzania kuwa ccm ni chama safi chenye viongozi wasafi wasiopenda rushwa hata kidogo !
Hajapita wiki moja baada ya waziri wa malisili na utalii mh Citizensfor Kigwangalla mzee field kutangaza kiama kuwa wale wote waliohusika kujimilkisha vitalu wawe viongozi wawe wamestaafu atawachukulia sheria kali .
Basi leo tumeshudia hao watu wakijondoa wenyewe kwa hiali yao! Hii ni kasi ya ajabu .Rais wetu ni mchapa kazi si mtu wa rushwa ni rais wa wanyonge anaetetea maslahi mapana ya watanzania ! Kwa kasi hiii ni lazima wezi wa mali za nchi,pembe za ndovu,faru,tembo nk ni lazma wajitoe wenyewe tu .
Nasikitshwa na kauli ya nyarandu kusema Tz inahitajika Katiba mpya nina swali kwake
-!kwani akiwa waziri hakuiona katiba mpya ina umuhimu hadi leo ndo aone ina umuhimu?
Aacha kudanganya umma aseme tu ukweli kilichomtoa ni Maliasili tu na kigwangallah hana mchezo hata kidogo atakufata huko huko .
Kuhama sio suluhisho umetuibia halafu unahama hapana! Hii ni kasi ya kubatizwa kwa moto lazima wezi wakimbie !
Nakupongeza sana Mh Rais kwa kazi nzuri unayofanya ya kuatumikia watanzania hata wanyonge! Pia nakupongeza waziri wa maliasili na utalii kwa kasi ulioanza nayo ya hatari.
CCM mpya,Tz mpya
Na Emanuel Uledi
Pole sana ndugu yangu nivigumu sana kuupinga ukweli ndiyo maana kila wakijibu wanaonekana kupwaya.hujajiuliza kwanini mkuu kazuia mikutano?tulijenge taifa kwa ukweli siyo ushabiki popo.Na, *Thadei Ole Mushi*
Nimekuwa nikiufuatilia mjadala wa Zitto anaoushikilia kuhusu pato letu la Taifa naona kama anatu-outshine sana sisi wana CCM.
Lazima tujue nani tunayebishana naye na tunatumia njia zipi kubishana naye. Kwa taarifa tu ZITTO ni mmojawapo ya wabunge wanaosoma vitabu sana akifuatiwa na wabunge wa CHADEMA. Kwa maana hiyo kuutafuta ukweli au uongo na kuujengea hoja kwake ni rahisi sana.
Huku CCM bahati mbaya hatuna wabunge wa aina hiyo wanaopenda kujisomea. Kwa maana hiyo hata kama Zitto atakuwa anatudanganya kwa statistics (data) watanzania wengi watamwelewa kwa kuwa hakuna mtu "bold" anayeweza kumjibu kwa data.
Kwa sasa jukumu la kupambana na Zitto, CCM tumemwachia Jerry Muro. Mtu ambaye hana Legal authority ya kujibu hoja zinazoelekezwa kwa Serikali ama Chama tawala.
Matokeo yake wananchi wengi wanamuona Jerry Muro kama mropokaji tu anayepiga gumzo mitandaoni ili kuilinda njaa yake hivyo wanajenga imani zaidi kwa Zitto Kabwe.
Niliwahi kusema, watu smart wanahitajika pale CCM kufanya covering kwa Serikali, yaani Chama kitoke kwanza kijibu hoja za wapinzani kabla ya Serikali, sio kuendelea kuwategemea watu aina ya Jerry Muro waliopuuzwa na watu.
Wanashindwaje kutafuta data kama Zitto na kuzijengea hoja? Hatuoni kuwa Zitto anatusogelea sana kwenye 18 zetu na anajitahidi kung'ang'ania suruali zetu ili tubaki uchi?
Njia nyingine ni kuhakikisha tuna block information zote muhimu katika vyanzo anavyotumia Zitto kabwe. Hata suala la Bombadia kukamatwa kule Canada alianza kulihoji Zitto kabla ya Lissu.
Kwa maana hiyo Zitto ana reliable source za kupata information kuliko wapinzani wote. CCM tupo wapi kujibu tuhuma hizi za Zitto? Je, Jerry Muro anatosheleza kutoa clarification kwa wananchi?
Nani anayejua kama Zitto anatudanganya ama lah!
Tufike mahali tuangalie hadhira tuliyonayo ni aina gani, Je, Propaganda zetu zinatosheleza au hadhira tuliyonayo kwa sasa inahitaji fact?
Wapiga kura wa 2020 wana tabia tofauti kabisa na wapiga kura wa kuanzia 1995 hadi 2015. Ni lazima tulizingatie hili na tuongeze ladha kwenye siasa zetu za CCM ili kukidhi matakwa ya watu wa sasa.
Kasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John Pombe Magufuli inazidi kuwang'oa viongozi wachafu na wala rushwa katika Taifa letu!
Kasi hii ya awamu ya tano na inazidi kudhilishia umma wa watanzania kuwa ccm ni chama safi chenye viongozi wasafi wasiopenda rushwa hata kidogo !
Hajapita wiki moja baada ya waziri wa malisili na utalii mh Citizensfor Kigwangalla mzee field kutangaza kiama kuwa wale wote waliohusika kujimilkisha vitalu wawe viongozi wawe wamestaafu atawachukulia sheria kali .
Basi leo tumeshudia hao watu wakijondoa wenyewe kwa hiali yao! Hii ni kasi ya ajabu .Rais wetu ni mchapa kazi si mtu wa rushwa ni rais wa wanyonge anaetetea maslahi mapana ya watanzania ! Kwa kasi hiii ni lazima wezi wa mali za nchi,pembe za ndovu,faru,tembo nk ni lazma wajitoe wenyewe tu .
Nasikitshwa na kauli ya nyarandu kusema Tz inahitajika Katiba mpya nina swali kwake
-!kwani akiwa waziri hakuiona katiba mpya ina umuhimu hadi leo ndo aone ina umuhimu?
Aacha kudanganya umma aseme tu ukweli kilichomtoa ni Maliasili tu na kigwangallah hana mchezo hata kidogo atakufata huko huko .
Kuhama sio suluhisho umetuibia halafu unahama hapana! Hii ni kasi ya kubatizwa kwa moto lazima wezi wakimbie !
Nakupongeza sana Mh Rais kwa kazi nzuri unayofanya ya kuatumikia watanzania hata wanyonge! Pia nakupongeza waziri wa maliasili na utalii kwa kasi ulioanza nayo ya hatari.
CCM mpya,Tz mpya
Na Emanuel Uledi
Mzee una njaa mpaka unatia aibuKasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John Pombe Magufuli inazidi kuwang'oa viongozi wachafu na wala rushwa katika Taifa letu!