Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,276
Habari zenu wapendwa wa CC.
Nimekuwa najiuliza mara kadhaa hivi ukipata kashifa/tuhuma ziwe za kweli ama za uongo ziwe nzuri ama mbaya unatakiwa kufanya nini.?
Nikafikiria sana mpaka nikaingia kwenye biblia nikajiukiza Yesu alifanya nini alipopelekwa kwa Pilato akiulizwa kuwa yeye ni Mfalme wa Wahudi? Nikaona alinyamaza na alijibu wewe wasema hakutaka mabishano mengi ili hali alijua ni kweli.
Nikarudi kwenye siasa nikaangalia siasa za Kenya na tuhuma na kusababisha ghasia za uchaguzi 2007 wale waliokuwa hawaongei sana na kujitetea kwingi walifutiliwa mbali mashitaka ie Francis Muthaula nikahisi hapa kunyamaza ndo dawa ya kuwafanya wale wanaozitoa wakae kimya...
Nikarudi kwenye maisha ya ya kawaida ukiambiwa ooohhh unatembea na fulani mara oohh fulani mwizi mara we uko hivi na vile I think kunyamaza ni solution hata kama unajua wewe umetenda ama hujatenda hizo kashifa zote kuexplain sana huleta maswali mengi zaidi na kuliongezea jambo ukubwa......
Weye waonaje mwana CC? Muwe na asubuhi njema