Kashfa ya Ufisadi Jumuiya ya Washington kuvuruga mkutano wa CCM DMV

Samahani mkuu nakuomba radhi nilikuwa sijui kwamba athumani Idd Chuji na Didier Drogba wote ni sawa hawana tofauti.

Ha ha ha haya bana.....ila opposite ya black sio white na negation ya usiku sio mchana mkuu

In a number line you might find zero then ten in scaled portions......though not written but it s a fact that 1,2,3,4,5,6,7,8 and 9 together with their decimals exists between zero and ten.......
 
Tunakujua una ajenda zako. Wewe ni muongo na mchonganishi. Hakuna cha kujiuzulu hapo. MIpango yenu ya CCM/DMV inaanza kusambaratika sasa mnatafuta mchawi. Vipi Diamond anakuja? Vipi Kinana anakuja? Sandaly anafanya kazi nzuri sana na ana sifa na heshima kuliko yule kandidate wenu mliotaka kutulazimishia. Kajipange upya, bibie.

Mzee wa Silver Spring upo kanyoe ndevu basi! haahaahaa
 
MPIGA ZEZE nilimuambia Jasusi hawa vibaraka wa Loveness Mamuya niachie mimi watakimbia wenyewe, unaona sasa wameikimbia hii thread walioanzisha wenyewe?
Stupid hopeless guys.

Matola;
Sioni cha maana unachokisema mpaka wakukimbie;ukweli ni hawana muda wa kujibizana na pumba zako.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Fafanua kidogo hapo juu. Hawajachukua fedha za Chadema.

Jasusi
Hebu nikuulize kitu kimoja, jumuiya ni yetu wote watanzania, tangu uongozi uingie madarakani hatujachangishwa michango ya kila mwezi; nilisafiri kwa zaidi ya mbili sikujua kilichofanyika, ila niliwauliza wahusika wakubwa iwapo kama tumeanza kutoa michango ya mwezi jibu ni bado hatujaanza kuchanga, na hata kama tumeanza kuchanga jumuiya ina majukumu mengi makubwa si rahisi pesa za kuanzia kufanyiwa starehe maswali yangu ni haya
1. Mirage hall ni $ 3,500.00 pesa hizi zimetoka wapi? Ikiwa wanachama wenyewe hawakuhusishwa? Hakuna hata kiongozi wa hii jumuiya ambaye angeweza kutoa pesa yake mfukoni kugharimia pesa hizo wote nawafahamu vizuri sana, wana uwezo wa kutumia pesa hiyo kwa shughuli zao binafsi lakini si kwa jumuiya.
2. Tangazo walilotoa viongozi wa jumuiya ilikuwa ni picnic disko liliongezwa baada ya CCM kutangaza shughuli na hata mtiririko mzima ilikuwa ni picnic jioni baadaye wenye kwenda CCM waende je ni kigezo gani na kwa manufaa ya nani jumuiya ilifanya disko kwa gharama ambazo zingesaidia mambo ya msingi; kuna ukweli Chadema wanahusika safu nzima ya uongozi wa jumuiya ni Chadema akiachilia Idd wote nawafahamu vizuri sana; na haya mambo ya kipuuzi ndiyo yatakayo turudisha nyuma; unakumbuka miaka ya 98 tulikuwa na jumuiya ya namna gani na sasa jumuiya yetu ipo vipi.

Chama,
Na mimi nakuomba nikuulize kitu kimoja. Chadema wamepata wapi hizo pesa za kuihonga jumuiya ya Watanzania?
Hivi sasa tunachangisha hela za kuwezesha mkutano wa jumamosi na mwenyekiti Freeman Mbowe, watapata wapi hela za kugawia jumuiya? Hilo moja. Pili, nadhani ulipokuwa safarini niliona tangazo la jumuiya wakitaka kila mwanachama atoe mchango wa dola kumi na tano kiingilio na dola kumi mchango wa kila mwezi. Anwani imetolewa mahali pa kupeleka mchango huo na hata Swahilivilla waliweka anwani hiyo. Mimi sijalipa mchango wangu lakini napanga mwanzoni mwa Septemba kulipa.
 
Jasusi;
Bado ni kitendawili lakini tukio zima limechangiwa na unazi wa kisiasa hicho kinaeleweka wazi; tunachotaka wasitueletee mifarakano kwa vigezo vya kutumia vyama; hizi siasa za kitanzania Washington DC zina manufaa gani zaidi ya kuwanufaisha watu wachache tu; mimi ni CCM haitotokea hata siku moja kujiingiza ushabiki wa vyama hapa DC; hata viongozi wanaokuja kwa vigezo vya haya matawi wanakuja kwa matembezi yao binafsi tu yapo yanayowaleta ila si haya matawi; ni bora matawi wafungulie huko Kilosa, Isevya na kwingineko hapa watuuachie amani yetu vyama vyetu hapa ni Democrat na Republican ndivyo vinavyoathiri maisha yetu ya kila siku.

Koote uko ulikuwa unaropoka tu na kujamba maputo, kumbe ukiamuwa kuzifungulia akili zako kabatini unadhani ni nani atakayekupinga, ndio huelewe hatupo hapa kupingana bali kutofautiana kwa hoja na mtizamo, lakini hapa mimi nakuunga mkono kwa sababu huu pia ni mtazamo wangu. Watanzania wanapaswa kuziimalisha zaidi jumuiya zao kuliko haya matawi ya vyama.

Lakini hapa bila kumung'unya maneno CCM ndio wanapaswa kubeba lawama moja kwa moja kwa kuasisi na kuulea mtindo huu ambao sasa unaota mizizi ughaibuni. Hivi niwaulize tu na watu wa West Africa huko nao wana matawi ya vyama vya nchini mwao?
 
Matola,
Ikiwa kama CCM inafanya makosa kufungua haya matawi ya ughaibuni inakuwaje Chadema nao wanarudia makosa yaleyale hivi huoni kama Chadema wanachofanya ni ''copy and paste" utaratibu wa CCM? sasa je ni kweli Chadema ndio suluhisho la matatizo ya watanzania wakati wao wanachofanya ni kufuata nyayo za CCM? Tuliza hamaki ila jua fika ulaji na ufuajaji ni mwingi sana ndani ya Chadema

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Wanajamvi imethibitika kuwa Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Washington DMV imekumbwa na kshfa ya kuchukua pesa za Chadema ili wafanye sherehe wakati huo huo siku hiyo hiyo ili kuvuruga mkutano wa CCM DMV. Tayari wanajumuiya wamechukua hatua za kisheria baada ya jumuiya hiyo kutofungamana kisiasa.

Hata hivyo, Katibu Cherehani bado hajasema chochote mpaka sasa. Inasadikika kiasi cha $10,000 wamepewa ili wafanyie sherehe hizo.
tuwaachie wenyewe mshikane mashati
 
Matola,
Ikiwa kama CCM inafanya makosa kufungua haya matawi ya ughaibuni inakuwaje Chadema nao wanarudia makosa yaleyale hivi huoni kama Chadema wanachofanya ni ''copy and paste" utaratibu wa CCM? sasa je ni kweli Chadema ndio suluhisho la matatizo ya watanzania wakati wao wanachofanya ni kufuata nyayo za CCM? Tuliza hamaki ila jua fika ulaji na ufuajaji ni mwingi sana ndani ya Chadema

Chama
Gongo la mboto DSM
Unajuwa mimi si Mwanachama wa Chadema ila naamini Chadema ndiyo chama mbadala kwa sasa, miaka 50 tuliyowapa dhamana CCM imetosha sana, come what my CCM ni lazima ing'oke madarakani, na Chadema kama wana madhaifu yao then time will decide lakini kwa sasa kikwazo cha maendeleo ni CCM, nakushangaa sana chama sijui unaishi Marekani ipi ambayo hujajifunza kwamba chama kimoja hakipaswi kukaa madarakani muda mrefu?
 
Last edited by a moderator:

kama kawaida yenu eti si mwanachama wa Chadema; ndoto zenu CCM itan`goka madarakani kwa misingi gani ukabila wa Chadema au M4C? CCM bado inakubalika elezeni sera badala ya maandamano; zaidi ya hapo ni porojo tu za kisiasa ; nipo Washington District of Colombia; chama kukaa madarakani muda mrefu si sababu kama sera zipo wananchi watakichagua tu.

Kwahiyo Republican hawana sera ndio maana wakachaguliwa Democratic? nilikuwa zamani naamini mtu akipanda ndege kwenda Ughaibuni basi ujinga anauacha pale Airport ya Tanzania, kumbe nilikuwa najidanganya mwenyewe, sasa nimegunduwa ni watu wa Afrika Magharibi waliopo Ughaibuni ndio wamenufaika na exposure na siyo nyinyi wala vitumbuwa.
 
Matola vipi labor day weekend, ila hujajibu swali langu!!!!
 
Back
Top Bottom