Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
- Thread starter
-
- #141
Luhigo kafanya "ushenzi" gani na "kala rushwa" kivipi?
Umejuaje wanamuogopa Rostam kwa assessment ya tatizo la shirika through kuhesabu meli kutoka baharini kama mzamiaji wa "sauzi"? Au unahisi wanamuogopa tu Rostam kwa vile siku moja watamuhitaji kumwomba mkopo binafsi ka Mtikila? Do you have a clue or two about the setbacks of Harbors Authority management?
Kama kinachokuumiza ni Tanzania kukosa hizo kodi ni kwa nini ume suggest kwamba wakamtoe kiongozi wa Revenue Authority, ambae unaona anafanya kazi nzuri kule, wamlete Bandari? Sasa, kama kweli concern yako ni forodha inayokosekana, je ni wapi wanahitaji uongozi bora zaidi, wanaokusanya kodi Mamlaka ya Bandari au wanaohakikisha kodi za Mamlaka ya Bandarai na za nchi nzima zinakusanywa? Au kilichokuumiza ni kwamba kama ulivyosema mwenyewe "al muhimu ni kwamba nilituma kontena mwezi wa 11..." and all that yiddy yad? Uko well oriented kweli wewe?
Ukakimbia kuja JamiiForums kutangaza kuwa viongozi wote wa Mamlaka ya Bandari ni mafisadi na kudai wamba "we dare to talk openly," lakini unasema kuna ka siri umekabakiza moyoni kuhusu mambo ambayo kina Mollel wanamsema Kikwete! Ndio ume dare nini hapo? I mean, umekula wewe leo?
Makontena yanachelewesha kwa sababu hakuna nafasi halafu unaongeza "to be fair wanaotuma magari dogo wao meli zao zinapata nafasi..." Kwa hiyo, I guess magari madogo yanakuja kwenye viboxi na vi mitumbwi vidogo vidogo na hivyo vinaweza kuwa sqeezed through the crowded moors of the harbor, unlike magari makubwa kama yako, right? That's the only way that your assertion is gonna make sense here, no other way. I'll tell you what, why don't you put all these large cars and cargo you are importing in ports throughout the east coast of Africa, put them all in one leased aircraft and ship 'em or shove 'em, that way you won't have to hussle with these "washenzi...wala rushwa," it's quicker too, I'm sure your accountant will have told you that, might end up saving you time and money, big Kahuna.
Eti Luhigo alikuwa "mla rushwa" na "mshenzi", hapo hapo unasema "alikuwa akifanya kazi...i am not gonna knock him down"? Sasa hiyo siyo knock tayari? Au sielewi hiyo "knock down," what you mean "knock down" anyway, I mean, that right there is a knock already, a criticism, if that's what you mean by "knock down."
I mean, I don't know whether it's the drug you're taking or the drug you need to be taking, but do something!
GT,
bandarini panahitaji DG mtoto wa mjini aliyeoa mwanamke aliyechezwa.
Na wewe uliyeleta shutuma za uongo za Luhigo? Na Dr. Dau nae vipi, anahusika Bandari?
Hayo sio kuzunguka mibuyu ki-zealot zealot?
kikwete is very colloquial. Sipendi hizi habari za ziara za kushitukiza, however revealing they may be sold as. Sipendi habari za kumuuliza mtu anayeendesha shirika kubwa kama hili maswali ya hapo kwa papo, bila hata ya kumpa taarifa, this guy is not running a coffee shop.
Kama rais anataka kufanya kweli afanye kweli, kama alivyosema Scarface "You wanna shoot, shoot, don't talk" .Katika kusema kitengo cha maktaba kinafanya vibaya bila kuwataja majina watu, anawapaka matope woote wanaofanya kazi katika kitengo hicho, hata wale wasio makosa.Hii inaweza kuvunja morale. This is an all or nothing at all issue, kama unataka kuwataja wataje kikamilifu, vinginevyo kaa kimya, usiseme kwamba hutaki kuwaumbua kwani kwa kukitaja kitengo chao bila kuwataja majina umewaumbua wote, wanaohusika na wasiohusika.
Huyu rais kibogoyo kabisa, huyo Mgawe kamteua mwenyewe sasa anaona public opinion inamsuta anataka kummwaga.
Hivi Kikwete alivyomteua Assistant Port Manager, mtu mdogo sana na asiye uzoefu wa senior management, mtu ambaye hata kwenye board of directors meeting alikuwa hayumo, kwenda ku run hili shirika nyeti alitegemea nini?
Na wewe uliyeleta shutuma za uongo za Luhigo? Na Dr. Dau nae vipi, anahusika Bandari?
Na weye drama queen uliyeleta shutuma za uongo kuhusu Dk. Masau...vipi ile investigation yako?
Achana na Mwanakijiji, huyo ni amesha lose his marbles, anadai hakuwaki kusema Dr. hafai wakati alishasema anataka kuona Dr. Dau anaenda mahakamani kuwajibishwa. Nimekutajia wewe Dr. Dau kwa sababu hukuona kwamba discussion za Dr. Dau kwenye thread kuhusu bandari sio off topic, ukazi entertain.
Na Luhigo huyo unaemtusi, kafanya "ushenzi" gani, kala rushwa kivipi, ya nani, lini?
Achana na Mwanakijiji, huyo ni amesha lose his marbles,
Na Luhigo huyo unaemtusi, kafanya "ushenzi" gani, kala rushwa kivipi, ya nani, lini?
Uko mbali sana na ukweli. Na kimsingi hii habari yako ni ya kutunga kwa kueleza kuwa ulikuwa umekaa mahali ukipumzika na blaa blaa mpaka umemaliza. Kwa taarifa yako kwa hali ilivyo sasa TRA hawacheleweshi mizigo. Tena utaratibu wao wa sasa kimsingi unaharikisha utoaji wa mizigi kuliko awali. Tatizo ni ufinyu wa bandari hasa kitengo cha TICTS. Pale TICTS zinaegeshwa meli mbili tu kwa wakati mmoja ili kupakua makontena. Hali ya eneo kuwa la meli 2 tu ipo tangu miaka 20 iliyopita. Lakini biashara inakua hali kadhalika ongezeko la meli. Bandari inatakiwa kuongeza eneo la kupakulia meli za makontena kuwa zipakue hata meli 10 kwa wakati mmoja. Ndio maana shedi namba 8 imevunjwa ili walao kuongeza eneo la meli kuegesha kupakua makontena. Hivyo basi ucheleweshaji mkubwa unaouona ndio sababu kubwa. Sio TRA inagwa nao wana mapungufu yao.
Kwa maoni yangu eneo la Kigamboni pale linalotazamana na bandari lingejengwa ili kuwa bandari. Ule upande wa jeshi na TPDC. Pale panatosha na sehemu nzuri tu. Jeshi linaewza kuhama au kusogea pembeni.
lakini to be fair on Kuhani kuhusu Dr Masau investigation ilishakamilika na vielezo vyote vilishaonyesha kuwa ni Tapeli
Nyani Ngabu & Game Theory
Jibuni swali la kuhani............
Mstahiki
Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA..NA AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA LUTENI KANALI"DR" JAKAYA KHALFANI MRISHO KIKWETE-MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI[CHAMA TAWALA]..MTU MWENYE NGUVU ZA KIMAMLAKA NA UTENDAJI KULIKO WOOTE TANZANIA....ANATEMBELEA BANDARI MARA TATU NDANI YA MIEZI MINNE ...HAKUNA KINACHOFANYIKA ..NA HACHUKUI HATUA ....TUNATEGEMEA NINI KUENDELEA KUMJADILI HAPA-
KWA KIFUPI KIKWETE ANADHALILISHA CHEO NA TAASISI YA URAIS....PRESIDENTS TALK ONCE !!!.....KAMA ANAJUWA AKIENDA HAPATAKUWA NA IMPACT BORA ANGETUMA HATA MKUU WA WILAYA ANGALAU ANGECHUKUA HATUA INAYOELEWEKA-NDIO MKUU WA WILAYA....
HATUNA MTU JAMANI -ANATUAIBISHA!!!!
Game Theory, ahsante. Lakini what you said about Luhigo is uncalled for. The man served that public company with distinction and honor, sweat and sacrifice, every day and night of his life at Harbors Authority from the morning he went on board as an entry level engineer some thirty odd years ago to the day he retired at the helm of the company. He's one of impeccable integrity, so let's talk when we know what we are talking about.
Otherwise, prove me wrong, Luhigo alifanya "ushenzi" gani na alikua "mla rushwa" kivipi?