Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
- Thread starter
-
- #81
Jamani hawa ndio wanaosababisha zile meli kukaa bandarini tangu NOVEMBER na hawa ndio MAFISADI WAKUBWA BANDARI ya DSM...sasa anayebisha aje lakini ukweli ndio huo.Inauma eti tunashusha Kontena Mombasa kwa sababu tuuu hakuna mtu aliyetaka kukubali kuwa hawa watajwa wameshindwa kazi zao...mtu usiku unatazama bandari utafikiri ni mji mwingine !
1)Mr. Ephraim Mgawe
Director General
2)Mrs. Happiness Senkoro
Deputy Director General
3)Mr. Hamad Koshuma
Executive Assistant to the Director General
Director of Operations: Capt. G. Mokiwa
Director of Special Operations: Mr. B. Komba
Director of Marketing: Mr. Flavian Kinunda
Director of Human Resources: Ms. M. Mrisha
Director of Planning: Mrs. Florence Nkya
Corporate Communications Manager: Mr. Franklin Mziray
Port Manager wa Dar Es Salaam: Mr. Jason Rugaihuruza
Duuh Game siku hizi uko irrelevant...ahahahahahahaaa...pole sana aithee...
Duuh Game siku hizi uko irrelevant...ahahahahahahaaa...pole sana aithee...
Hili tumeliandika kwa kirefu kwenye Cheche toleo lililopita. It is true.
Suggestion yangu ni kuwa mindhali KIMEI wa CRDB au jule bosi wa TRA wanafanya kazi nzuri tuuu kwa nini JK asimuapoint mmojawao kwenda kuisort out THA?
Najua mtaanza ohhh GT umezidi mara ohhh GT this is unfair lakini mimi niko kule kule WE DARE TALK OPENLY na mindhali tunapiga vita ufisadi nadhani ni vizuri tukamsaidia JK kufanya kazi yake.
Definition ya UFISADI si kuiba kama walivyoiba pesa za EPA au kama ambavyo Spika Sam Sitta kujenga ofisi la mamilioni ya dola kwa pesa za walalahoi bali ufisadi ni pamoja na kuokosesha serikali mapato kama ambavyo BODI na MENEJIMENTI ya THA wanavyofanya kwa sababu wanamwogopa ROSTA,KARAMAGI ambao ni wadau wakubwa wa TICS.Usiku huuu nimehesabu MIGAWE au meli zilizojazana kule baharini na nimeishia 21...yaani zote zile zinashindwa kutia nanga kwa sababu hakuna nafasi..,huu ni UJUNGA,UZEMBE NA UFISADI wa hali ya juuu ya wafuatao:
Jamani hawa ndio wanaosababisha zile meli kukaa bandarini tangu NOVEMBER na hawa ndio MAFISADI WAKUBWA BANDARI ya DSM...sasa anayebisha aje lakini ukweli ndio huo.Inauma eti tunashusha Kontena Mombasa kwa sababu tuuu hakuna mtu aliyetaka kukubali kuwa hawa watajwa wameshindwa kazi zao...mtu usiku unatazama bandari utafikiri ni mji mwingine !
zaidi ya hayo mheshimiwa SHUKURU KAWAMBWA alishawaambia akina Mollel kama wameshindwa kazi basi serikali itaivunja bodi lakini nashangaa wakikaa kwenye vikao vyao vya unywaji wanamtukana eti waziri ana mambo ya kiswahili na anatafuta attention! wanayoyasema kuhusu JK ndio siwezi hata kusema humu.
halafu ukiwasikia wanavyomsema JK na Kawambwa basi utajiuliza hawa watu wanapata wapi guts hizi?
ukweli ni kuwa hawaogopi kitu na akina Mollel wanajua fika kuwa hakuna mwenye ubavu wa kuwaambia kitu hao TICS na ROSTAM
Unajua LUHIGO japo alikuwa ni mshenzi mshenzi na mla rushwa enzi zake lakini JAMAA KAZI ALIKUWA NAFANYA....i am not gonna knock him him down
By the way serikali inawalipa wenye meli MILIONI 20 kwa siku kwa sababu ya delays...na nadhani wote mnajua hizi pesa zinatoka wapi
Hili tumeliandika kwa kirefu kwenye Cheche toleo lililopita. It is true.
Vyanzo vyetu muhimu vinadokeza kuwa kutokana na hali mbaya inayoendelea Mamlaka ya Bandari kuna kila dalili kuwa Mkurugenzi wa NSSF Dr. Ramadhani Dau ni miongoni mwa majina yanayotajwa kuweza kwenda kuchukua nafasi ya kuliokoa shirika hilo la Bandari ambalo kwa siku za hivi karibuni limejikuta katika matatizo makubwa.
Mwingine ambaye anaweza kupelekwa huko ni Bw. David Mattaka aliyekuwa ATCL. Hata hivyo kuna majina mengine ambayyo pia yanatajwa na ambayo yanaonekana kuvutia heshima kwa watumishi wa bandari..
"Dr. Dau ana nafasi kubwa na kwa kweli yeye mwenyewe yuko tayari kwa uamuzi huo endapo Rais Kikwete ataamua kufanya mabadiliko huko Bandari" kimetuambia chanzo chetu.
Kuhusu Mattaka chanzo chetu kimedokeza kuwa "sasa hivi Rais anatafuta mahali pa kumuweka rafiki yake yaan Bw. Mattaka. Hawezi kumtoa na kumuacha apigwe na jua na hiyo ndiyo sababu pekee Mattaka bado yuko ATCL".