Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

andaeni mabomu ya machozi maana jamaa kishasema mawe ni silahaa oooh!si tunaanda maji na nguvu za kurusha mawe tu
 
We ndo umeungaunga. Msomi gani hata huelewi wapi pa kutumia herufi kubwa. Kichwa cha habari herufi ndogo, utumbo herufi kubwa.
 
KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA NI MIONGONI MWA WATUHUMIWA WA KESI YA JINAI YAKUSABABISHA VIFO VYA RAIA WASIO NA HATIA PALE ALIPOONGOXA MGOMO WA MADACTARI NCHI NZIMA AKIWA NA ULIMBOKA NA HATIMAYE WAGONJWA ZAIDI YA MIA MBILI KUPOTEZA NAISHA KUTOKANA NA MGOMO HUO,

LAKINI KATIBU HUYO ANAKASHFA YA UTAKATISHAJI DAWA ZA MSD NA KUWAUZIA WATU WA KAWAIDA NA KAZI HIYO ALIIFANYA AKIWA MUHIMBILI NA BAADA YA KUSHTUKIWA AKAKIMBIA KUKWEPA KUTUMBULIWA ILA KIAMA CHAKE KIPO.

KATIBU MKUU HUYO ANAELIMU YAKUUNGA UNGA YAANI VISETIFIKETI KIBAO KAMA VIRAKA VYA PACHA,

KATIBU MKUU HUYO WA MAJARIBIO HAUNGWI MKONO NA WANACHAMA WA CDM KWASABABU M/KITI WAO MBOWE AMELIPA FADHILA KWANI HUYO NDO MGANGA WA FAMILIA YA MBOWE KWA TAKRIBANI MIAKA ZAIDI YA MITANO.

HUYO KATIBU MKUU KILA ALIPOTITA HADI SHULE AMEKUWA NI MTU WAKUKUMBWA NA KASHFA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU.

CDM WAMEPOTEZA DIRA NA HAWAJAWAHI KUWA NA UELEKEO, KWANI MDA SI MREFU HUYO KATIBU WAO ATATUMBILIWA MAANA NI JIPU TENA NI JIPU HASWAAAAAAS

CHA AJABU USOMI WA HUYO BWANA LEVEL YAKE YA ELIMU NI SAWA NA KATIBU KATA WA UVCCM KATA YA KIHESA IRINGA UKITAKA KUMJUA JINA LAKE ULIZA WANACCM IRINGA.

HIYO NI ISHARA HICHO CHAMA KINAONGOZWA NA MAMBUGILAUTINR NA WATU WASIOJIELEWA.

USOMI UENDANI NA TIJA YAKO KATIKA JAMII MFANO MHONGO UKISEMA MSOMI WATU WANAJUA HUYU USOMI WAKE UNATIJA KWA DUNIA NA TAIFA,

SASA WEWE DACTARI WAKUTOA FUNZA FAMILIA YA MBOWE UNATUTISHIA USOMI SISI WATOTO WA MAGUFULI TOKA CCM THE HOME OF ONTELLECTUALS?

CCM IMARA

CCM MADHUBUTI

MAJIPU NA YAENDELEE KUTUMBULIWA

UPUUZI NA UPUUZWE HASWAAAAAA!!
Wewe ni balozi wa zambia
 
Ni vizuri tujuzane kwa waliofuatilia vyema suala la Ulimboka na mgomo wa madaktari. Je, serikali ilishawahi kuwafungulia mashitaka kwa mgomo usio halali na/au kwa vifo vya wagonjwa walivyosababisha?

Habari pekee niliyopata kuhusu sakata hilo ni Dk. Ulimboka kukutwa Mabwepande akiwa hoi. Sasa hiyo si hatua ya kiserikali kuadhibu mtu; ni ya kimafia. Na kweli baadaye jeshi la polisi liliendesha msako wa aliyemtesa Ulimboka hadi akapatikana Mkenya aliyeenda "kutubu" kwa Gwajima. Sakata likaishia hapo. Suala la uhalali wa mgomo na vifo vya wagonjwa halikuguswa, right?
 
Hii simbilisi ni ya kupuuza, akili yake ilishatangulia kuzimu kimebaki kivuli tu hapa duniani!
 
KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA NI MIONGONI MWA WATUHUMIWA WA KESI YA JINAI YAKUSABABISHA VIFO VYA RAIA WASIO NA HATIA PALE ALIPOONGOXA MGOMO WA MADACTARI NCHI NZIMA AKIWA NA ULIMBOKA NA HATIMAYE WAGONJWA ZAIDI YA MIA MBILI KUPOTEZA NAISHA KUTOKANA NA MGOMO HUO,

LAKINI KATIBU HUYO ANAKASHFA YA UTAKATISHAJI DAWA ZA MSD NA KUWAUZIA WATU WA KAWAIDA NA KAZI HIYO ALIIFANYA AKIWA MUHIMBILI NA BAADA YA KUSHTUKIWA AKAKIMBIA KUKWEPA KUTUMBULIWA ILA KIAMA CHAKE KIPO.

KATIBU MKUU HUYO ANAELIMU YAKUUNGA UNGA YAANI VISETIFIKETI KIBAO KAMA VIRAKA VYA PACHA,

KATIBU MKUU HUYO WA MAJARIBIO HAUNGWI MKONO NA WANACHAMA WA CDM KWASABABU M/KITI WAO MBOWE AMELIPA FADHILA KWANI HUYO NDO MGANGA WA FAMILIA YA MBOWE KWA TAKRIBANI MIAKA ZAIDI YA MITANO.

HUYO KATIBU MKUU KILA ALIPOTITA HADI SHULE AMEKUWA NI MTU WAKUKUMBWA NA KASHFA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU.

CDM WAMEPOTEZA DIRA NA HAWAJAWAHI KUWA NA UELEKEO, KWANI MDA SI MREFU HUYO KATIBU WAO ATATUMBILIWA MAANA NI JIPU TENA NI JIPU HASWAAAAAAS

CHA AJABU USOMI WA HUYO BWANA LEVEL YAKE YA ELIMU NI SAWA NA KATIBU KATA WA UVCCM KATA YA KIHESA IRINGA UKITAKA KUMJUA JINA LAKE ULIZA WANACCM IRINGA.

HIYO NI ISHARA HICHO CHAMA KINAONGOZWA NA MAMBUGILAUTINR NA WATU WASIOJIELEWA.

USOMI UENDANI NA TIJA YAKO KATIKA JAMII MFANO MHONGO UKISEMA MSOMI WATU WANAJUA HUYU USOMI WAKE UNATIJA KWA DUNIA NA TAIFA,

SASA WEWE DACTARI WAKUTOA FUNZA FAMILIA YA MBOWE UNATUTISHIA USOMI SISI WATOTO WA MAGUFULI TOKA CCM THE HOME OF ONTELLECTUALS?

CCM IMARA

CCM MADHUBUTI

MAJIPU NA YAENDELEE KUTUMBULIWA

UPUUZI NA UPUUZWE HASWAAAAAA!!

Mkuu naomba kukuuliza swali;

Wakati ule wa mgomo wa Madaktari ambao umeugusia hapo, je ulikuwa na umri gani???

je, unaelewa kiini cha ule mgomo na uliisha namna gani??

maana huenda tunaongea na mtu ambaye wakati ule alikuwa bado upeo wa kufikiria ni mdogo kwake, na hivyo anatuletea habari aliyoisikia kijiweni.
 
mmetaftiza tukashfa umekosa umeamua kupika majungu polen sana
 
KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA NI MIONGONI MWA WATUHUMIWA WA KESI YA JINAI YAKUSABABISHA VIFO VYA RAIA WASIO NA HATIA PALE ALIPOONGOXA MGOMO WA MADACTARI NCHI NZIMA AKIWA NA ULIMBOKA NA HATIMAYE WAGONJWA ZAIDI YA MIA MBILI KUPOTEZA NAISHA KUTOKANA NA MGOMO HUO,

LAKINI KATIBU HUYO ANAKASHFA YA UTAKATISHAJI DAWA ZA MSD NA KUWAUZIA WATU WA KAWAIDA NA KAZI HIYO ALIIFANYA AKIWA MUHIMBILI NA BAADA YA KUSHTUKIWA AKAKIMBIA KUKWEPA KUTUMBULIWA ILA KIAMA CHAKE KIPO.

KATIBU MKUU HUYO ANAELIMU YAKUUNGA UNGA YAANI VISETIFIKETI KIBAO KAMA VIRAKA VYA PACHA,

KATIBU MKUU HUYO WA MAJARIBIO HAUNGWI MKONO NA WANACHAMA WA CDM KWASABABU M/KITI WAO MBOWE AMELIPA FADHILA KWANI HUYO NDO MGANGA WA FAMILIA YA MBOWE KWA TAKRIBANI MIAKA ZAIDI YA MITANO.

HUYO KATIBU MKUU KILA ALIPOTITA HADI SHULE AMEKUWA NI MTU WAKUKUMBWA NA KASHFA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU.

CDM WAMEPOTEZA DIRA NA HAWAJAWAHI KUWA NA UELEKEO, KWANI MDA SI MREFU HUYO KATIBU WAO ATATUMBILIWA MAANA NI JIPU TENA NI JIPU HASWAAAAAAS

CHA AJABU USOMI WA HUYO BWANA LEVEL YAKE YA ELIMU NI SAWA NA KATIBU KATA WA UVCCM KATA YA KIHESA IRINGA UKITAKA KUMJUA JINA LAKE ULIZA WANACCM IRINGA.

HIYO NI ISHARA HICHO CHAMA KINAONGOZWA NA MAMBUGILAUTINR NA WATU WASIOJIELEWA.

USOMI UENDANI NA TIJA YAKO KATIKA JAMII MFANO MHONGO UKISEMA MSOMI WATU WANAJUA HUYU USOMI WAKE UNATIJA KWA DUNIA NA TAIFA,

SASA WEWE DACTARI WAKUTOA FUNZA FAMILIA YA MBOWE UNATUTISHIA USOMI SISI WATOTO WA MAGUFULI TOKA CCM THE HOME OF ONTELLECTUALS?

CCM IMARA

CCM MADHUBUTI

MAJIPU NA YAENDELEE KUTUMBULIWA

UPUUZI NA UPUUZWE HASWAAAAAA!!
Si ajabu ni Mkuu wa Mkoa au hata wa Wilaya huyu kwa serikali ya Chama Chetu. Hebu nambie kama mwanachama mwenzangu wa CCM..ni nani hana kashfa katika Chama Chetu hadi hivi sasa? Otherwise muwe wale mliotajwana mstaafu 46 kuwa mmesaidia ushindi kupitia IT..pathetic fool. Kuwa CCM haimaanishi kuandika vitu ambavyo in turn vinadhalilisha Chama chetu. Wataka waanze kuanika madhaifu ya viongozi wetu? Maana hamna na namaanisha hamna ambaye hajapatankashfa. Ila ndio siasa tunanyamaza tu. We waache XDM na majanga yao..watuseme tupate challange turekebishe
 
KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA NI MIONGONI MWA WATUHUMIWA WA KESI YA JINAI YAKUSABABISHA VIFO VYA RAIA WASIO NA HATIA PALE ALIPOONGOXA MGOMO WA MADACTARI NCHI NZIMA AKIWA NA ULIMBOKA NA HATIMAYE WAGONJWA ZAIDI YA MIA MBILI KUPOTEZA NAISHA KUTOKANA NA MGOMO HUO,

LAKINI KATIBU HUYO ANAKASHFA YA UTAKATISHAJI DAWA ZA MSD NA KUWAUZIA WATU WA KAWAIDA NA KAZI HIYO ALIIFANYA AKIWA MUHIMBILI NA BAADA YA KUSHTUKIWA AKAKIMBIA KUKWEPA KUTUMBULIWA ILA KIAMA CHAKE KIPO.

KATIBU MKUU HUYO ANAELIMU YAKUUNGA UNGA YAANI VISETIFIKETI KIBAO KAMA VIRAKA VYA PACHA,

KATIBU MKUU HUYO WA MAJARIBIO HAUNGWI MKONO NA WANACHAMA WA CDM KWASABABU M/KITI WAO MBOWE AMELIPA FADHILA KWANI HUYO NDO MGANGA WA FAMILIA YA MBOWE KWA TAKRIBANI MIAKA ZAIDI YA MITANO.

HUYO KATIBU MKUU KILA ALIPOTITA HADI SHULE AMEKUWA NI MTU WAKUKUMBWA NA KASHFA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU.

CDM WAMEPOTEZA DIRA NA HAWAJAWAHI KUWA NA UELEKEO, KWANI MDA SI MREFU HUYO KATIBU WAO ATATUMBILIWA MAANA NI JIPU TENA NI JIPU HASWAAAAAAS

CHA AJABU USOMI WA HUYO BWANA LEVEL YAKE YA ELIMU NI SAWA NA KATIBU KATA WA UVCCM KATA YA KIHESA IRINGA UKITAKA KUMJUA JINA LAKE ULIZA WANACCM IRINGA.

HIYO NI ISHARA HICHO CHAMA KINAONGOZWA NA MAMBUGILAUTINR NA WATU WASIOJIELEWA.

USOMI UENDANI NA TIJA YAKO KATIKA JAMII MFANO MHONGO UKISEMA MSOMI WATU WANAJUA HUYU USOMI WAKE UNATIJA KWA DUNIA NA TAIFA,

SASA WEWE DACTARI WAKUTOA FUNZA FAMILIA YA MBOWE UNATUTISHIA USOMI SISI WATOTO WA MAGUFULI TOKA CCM THE HOME OF ONTELLECTUALS?

CCM IMARA

CCM MADHUBUTI

MAJIPU NA YAENDELEE KUTUMBULIWA

UPUUZI NA UPUUZWE HASWAAAAAA!!
***
ASANTE KWA NGONJERA ZAKO WEWE MWANA "CCM DAMU"/
UTAKAPOONA MWANA "CCM" AMEKUSIFIA "OGOPA HILO JAMBO"
 
Wakati John kened. Akipewa kutawala Marekani aliwahi kusema .." Nchi ikiwa na wahuni haiwezi kupiga. Hatua..."

Mleta mada nadhani in mbumbumbu wa Lumumba kati ya kashifa kubwa za ccm in kuendesha nchi nzima kwa miaka 53 wanafunzi wanakaa chini

Kati ya wanafunzi 10 wanaimaliza kidato cha NNE na sits hawawezi kushindana na Mtoto wa Japan wa darasa LA Tatu

Kati ya nchi 10 zilizo na utoaji duni wa Tiba duniani Tanzania ya imo

Unakuja na propaganda zako za darasa LA PESH nenda kadanganye ufukweni mwa bahari ya Hindi.

Serikali makini inawanyanyasa watumishi kwa kuwang'oa kucha huku ikiacha kuwaamini Madaktari na kumwamini mganga wa kienyeji wa Loliondo?

Jitafakari
 
BIG UP/
HASA HAPO PENYE BOLD.
 
KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA NI MIONGONI MWA WATUHUMIWA WA KESI YA JINAI YAKUSABABISHA VIFO VYA RAIA WASIO NA HATIA PALE ALIPOONGOXA MGOMO WA MADACTARI NCHI NZIMA AKIWA NA ULIMBOKA NA HATIMAYE WAGONJWA ZAIDI YA MIA MBILI KUPOTEZA NAISHA KUTOKANA NA MGOMO HUO,

LAKINI KATIBU HUYO ANAKASHFA YA UTAKATISHAJI DAWA ZA MSD NA KUWAUZIA WATU WA KAWAIDA NA KAZI HIYO ALIIFANYA AKIWA MUHIMBILI NA BAADA YA KUSHTUKIWA AKAKIMBIA KUKWEPA KUTUMBULIWA ILA KIAMA CHAKE KIPO.

KATIBU MKUU HUYO ANAELIMU YAKUUNGA UNGA YAANI VISETIFIKETI KIBAO KAMA VIRAKA VYA PACHA,

KATIBU MKUU HUYO WA MAJARIBIO HAUNGWI MKONO NA WANACHAMA WA CDM KWASABABU M/KITI WAO MBOWE AMELIPA FADHILA KWANI HUYO NDO MGANGA WA FAMILIA YA MBOWE KWA TAKRIBANI MIAKA ZAIDI YA MITANO.

HUYO KATIBU MKUU KILA ALIPOTITA HADI SHULE AMEKUWA NI MTU WAKUKUMBWA NA KASHFA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU.

CDM WAMEPOTEZA DIRA NA HAWAJAWAHI KUWA NA UELEKEO, KWANI MDA SI MREFU HUYO KATIBU WAO ATATUMBILIWA MAANA NI JIPU TENA NI JIPU HASWAAAAAAS

CHA AJABU USOMI WA HUYO BWANA LEVEL YAKE YA ELIMU NI SAWA NA KATIBU KATA WA UVCCM KATA YA KIHESA IRINGA UKITAKA KUMJUA JINA LAKE ULIZA WANACCM IRINGA.

HIYO NI ISHARA HICHO CHAMA KINAONGOZWA NA MAMBUGILAUTINR NA WATU WASIOJIELEWA.

USOMI UENDANI NA TIJA YAKO KATIKA JAMII MFANO MHONGO UKISEMA MSOMI WATU WANAJUA HUYU USOMI WAKE UNATIJA KWA DUNIA NA TAIFA,

SASA WEWE DACTARI WAKUTOA FUNZA FAMILIA YA MBOWE UNATUTISHIA USOMI SISI WATOTO WA MAGUFULI TOKA CCM THE HOME OF ONTELLECTUALS?

CCM IMARA

CCM MADHUBUTI

MAJIPU NA YAENDELEE KUTUMBULIWA

UPUUZI NA UPUUZWE HASWAAAAAA!!
ndiyo nini hicho?
 
Mkosoaji akikosolewa huona kaonewa. Mwachieni ajifurahishe nafsi yake. Small minded people will always talk about people not ideas.
 
Huyu jamaa ni hatari kwa ustawi wa taifa la Tanzania pamoja na amani yake...
 
rudi class jifunze kuandika.....
uzi hauna theme
hujui unazungumzia nini,...hujui kuchambua wala kupangilia hoja,.kuweka mvuto
huna ujualo mlumumba........
 
Back
Top Bottom