Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,369
- 5,513
Hivyo hatuwezi acha kusema kwamba mgomo ulisababisha maisha ya watu wasio na hatia kusitishwa.
You're quite right, una uhuru wa kusema chochote unachofikiria.
Hivyo hatuwezi acha kusema kwamba mgomo ulisababisha maisha ya watu wasio na hatia kusitishwa.
Herufi kubwa tangu mwanzo hadi mwisho ni ishara kwamba umeomba kuanfikiwa stationary ukacopy na kupaste, pole sana kada mwenzangu, sasa kada mwenzangu ni hayo tu au bado wanaendeleakuchapa?KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA NI MIONGONI MWA WATUHUMIWA WA KESI YA JINAI YAKUSABABISHA VIFO VYA RAIA WASIO NA HATIA PALE ALIPOONGOXA MGOMO WA MADACTARI NCHI NZIMA AKIWA NA ULIMBOKA NA HATIMAYE WAGONJWA ZAIDI YA MIA MBILI KUPOTEZA NAISHA KUTOKANA NA MGOMO HUO,
LAKINI KATIBU HUYO ANAKASHFA YA UTAKATISHAJI DAWA ZA MSD NA KUWAUZIA WATU WA KAWAIDA NA KAZI HIYO ALIIFANYA AKIWA MUHIMBILI NA BAADA YA KUSHTUKIWA AKAKIMBIA KUKWEPA KUTUMBULIWA ILA KIAMA CHAKE KIPO.
KATIBU MKUU HUYO ANAELIMU YAKUUNGA UNGA YAANI VISETIFIKETI KIBAO KAMA VIRAKA VYA PACHA,
KATIBU MKUU HUYO WA MAJARIBIO HAUNGWI MKONO NA WANACHAMA WA CDM KWASABABU M/KITI WAO MBOWE AMELIPA FADHILA KWANI HUYO NDO MGANGA WA FAMILIA YA MBOWE KWA TAKRIBANI MIAKA ZAIDI YA MITANO.
HUYO KATIBU MKUU KILA ALIPOTITA HADI SHULE AMEKUWA NI MTU WAKUKUMBWA NA KASHFA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU.
CDM WAMEPOTEZA DIRA NA HAWAJAWAHI KUWA NA UELEKEO, KWANI MDA SI MREFU HUYO KATIBU WAO ATATUMBILIWA MAANA NI JIPU TENA NI JIPU HASWAAAAAAS
CHA AJABU USOMI WA HUYO BWANA LEVEL YAKE YA ELIMU NI SAWA NA KATIBU KATA WA UVCCM KATA YA KIHESA IRINGA UKITAKA KUMJUA JINA LAKE ULIZA WANACCM IRINGA.
HIYO NI ISHARA HICHO CHAMA KINAONGOZWA NA MAMBUGILAUTINR NA WATU WASIOJIELEWA.
USOMI UENDANI NA TIJA YAKO KATIKA JAMII MFANO MHONGO UKISEMA MSOMI WATU WANAJUA HUYU USOMI WAKE UNATIJA KWA DUNIA NA TAIFA,
SASA WEWE DACTARI WAKUTOA FUNZA FAMILIA YA MBOWE UNATUTISHIA USOMI SISI WATOTO WA MAGUFULI TOKA CCM THE HOME OF ONTELLECTUALS?
CCM IMARA
CCM MADHUBUTI
MAJIPU NA YAENDELEE KUTUMBULIWA
UPUUZI NA UPUUZWE HASWAAAAAA!!
Alivyoandika kwa herufikubwa nikahisi dogo atakuwa hajamaliza darasa la 7, yeye ameona Katibu amesomea udaktari na mambo ya biashara akahisi ni kungaunga.Mbona makala yako imejaa matusi tu au ndio wivu wa kike?
Huyu bwana amesoma sana.Je unataka kutuaminisha kuwa shahada zake ni za kughushi ama?
Dr Mashinji ni msomi wa kuigwa kama rais Mugabe wa Zimbambwe mwenye shahada saba na ni Rais msomi kuliko marais wote wa Afrika. Mashingi kishafikisha tano bado nne ziwe nane awe outstanding. Kudos Dr Vicent.Nimeisoma Curriculum Vitae yake. Jamaa elimu yake ni ya kuunga unga sana.
Ana certificates nyingi balaa.
Hata Lumumba siku hizi ni kama wodi ya Milembe ndugu yangu,.mleta mada hajatoka wodi ya vichaa hivi karibuni kweli...![]()
Katibu mkuu mpya wa CHADEMA ni miongoni mwa watuhumiwa wa kesi ya jinai yakusababisha vifo vya raia wasio na hatia pale alipoongoxa mgomo wa madactari nchi nzima akiwa na ulimboka na hatimaye wagonjwa zaidi ya mia mbili kupoteza naisha kutokana na mgomo huo,
Lakini katibu huyo anakashfa ya utakatishaji dawa za msd na kuwauzia watu wa kawaida na kazi hiyo aliifanya akiwa muhimbili na baada ya kushtukiwa akakimbia kukwepa kutumbuliwa ila kiama chake kipo.
Katibu mkuu huyo anaelimu yakuunga unga yaani visetifiketi kibao kama viraka vya pacha,
Katibu mkuu huyo wa majaribio haungwi mkono na wanachama wa CHADEMA kwasababu m/kiti wao mbowe amelipa fadhila kwani huyo ndo mganga wa familia ya mbowe kwa takribani miaka zaidi ya mitano.
Huyo katibu mkuu kila alipotita hadi shule amekuwa ni mtu wakukumbwa na kashfa na tuhuma za ubadhirifu.
CHADEMA wamepoteza dira na hawajawahi kuwa na uelekeo, kwani mda si mrefu huyo katibu wao atatumbiliwa maana ni jipu tena ni jipu haswaaa..!!
Cha ajabu usomi wa huyo bwana level yake ya elimu ni sawa na katibu kata wa uvccm kata ya kihesa iringa ukitaka kumjua jina lake uliza wanaccm Iringa.
Hiyo ni ishara hicho chama kinaongozwa na mambugilautinr na watu wasiojielewa.
Usomi uendani na tija yako katika jamii mfano mhongo ukisema msomi watu wanajua huyu usomi wake unatija kwa dunia na taifa,
Sasa wewe daktari wakutoa funza familia ya Mbowe unatutishia usomi sisi watoto wa Rais Magufuli toka CCM the home of ontellectuals?
CCM imara
CCM madhubuti
Majipu na yaendelee kutumbuliwa
Upuuzi na upuuzwe haswaaaaaa!!

Kama Ni Upeo Sio Vyeti, Sasa Ww Mbona Unahoji Kuhusu Vyeti!!?? Msukule Bhana, Ni Shida Kweli!!Certificate nyingine kasoma april mpaka april, au alikua anarudia chekechea, uongozi ni upeo, uwezo wa kuona mbali sio ma vyeti yakuungaunga