KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,372
Kwa sisi tuliodhurula katika bara la afrika nathubu kusema katika afrika mashariki polisi wetu wanajali haki za binadamu kuliko sehemu zote afrika mashariki.
Hizi damu zinawasumbua sana polisi na watoto wao ndo sababu watoto wao dasani ni ngumu kuelewa kutokana na laana ambazo baba zao au mama zao wamewalimbikizia toka kwa raia wanaowatesa
Kwa sisi tuliodhurula katika bara la afrika nathubu kusema katika afrika mashariki polisi wetu wanajali haki za binadamu kuliko sehemu zote afrika mashariki.
Daah niliiona hii katika habari so sad. Wamemdunda yule dereva wakaiba mchele, nyanya alivyokua navyo kwenye cabin. Wakakwara na wallet na simu yake halafu askari kumi kweli wanampiga raia kwaajili ya mchele? This is madness
Tutakutana nao Uraiani wakiisha Stafu.
Bado nchi ina raia watulivu sana.
Majambazi wanapeta Polisi wanachapa raia,sasa kwa hali hiyo unafikira Raia uliempiga hata akiona ajambazi atakupigieni sim ili mje.
Kazi kweli,tatizo ni kwamba hapo hafukuzwi mtu zaidi ya kuhamishwa ktiuo.
Hizi damu zinawasumbua sana polisi na watoto wao ndo sababu watoto wao dasani ni ngumu kuelewa kutokana na laana ambazo baba zao au mama zao wamewalimbikizia toka kwa raia wanaowatesa
Alafu kuna watu hamna akili kabisa hivi unaweza shadadia na kuongea vitu ambavyo havina msingi fikilia angekuwa mmoja kati ya damu yenu ya baba na mama ako acha ushamba na porojo za kijinga bwana
Sent from........
Kwa sisi tuliodhurula katika bara la afrika nathubu kusema katika afrika mashariki polisi wetu wanajali haki za binadamu kuliko sehemu zote afrika mashariki.
Ni maeneo ya kigamboni-kibada askari polisi wamempiga dereva wa magari makubwa yanayosafirisha mafuta. Polisi walimpiga vibaya dereva huyo juzi usiku bila kuwa na sababu za msingi,wamechukua vitu vyake ikiwemo hela cash zaidi ya laki 6,simu yake,mchele,etc na wakamuacha hapohapo,kibaya ni kwamba hata wananchi walitaka kuingilia lakini waliogopa kwasababu polisi walikuwa na bunduki. Taarifa zimemfikia IGP na sasa hivi mkuu wa kituo kigamboni anashughulikia hilo suala. Kwenye hiyo defender ya polisi alikuwa mtu anaitwa khatibu (a.k.a mavi) ni maarufu kwa kupiga watu na mwanamke anaitwa Suzy aka sunita huyu anamjua huyo dereva na wakati wanampiga alimtaja kwa jina " sunita tunakunywaga wote pombe kwanini unanipiga?" wamemuumiza vibaya sana.
Daah niliiona hii katika habari so sad. Wamemdunda yule dereva wakaiba mchele, nyanya alivyokua navyo kwenye cabin. Wakakwara na wallet na simu yake halafu askari kumi kweli wanampiga raia kwaajili ya mchele? This is madness
tulia ww inamaana watoto wa polis pekee ndio wanafeli?! Unataka kuniambia na ww ni mtoto wa polis? Mbona huna akili kichwan?
Mbona wenyewe wakiuwawaga mbona post kama hizi huwa hatuzioni? Na hata zikiwepo huwa za kusherekea jamaa kupigwa au kuuwawa kwao. Je wale si binadamu? Au haki za binadamu haziwahusu wale mapolisi?. Eti kashfa kwa polisi...! Mbona huwa hakuna kashifa kwa raia?. Nauliza tu msichukie