Kashfa nyingine jeshi la polisi

Kashfa nyingine jeshi la polisi

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,702
Ni maeneo ya kigamboni-kibada askari polisi wamempiga dereva wa magari makubwa yanayosafirisha mafuta. Polisi walimpiga vibaya dereva huyo juzi usiku bila kuwa na sababu za msingi,wamechukua vitu vyake ikiwemo hela cash zaidi ya laki 6,simu yake,mchele,etc na wakamuacha hapohapo,kibaya ni kwamba hata wananchi walitaka kuingilia lakini waliogopa kwasababu polisi walikuwa na bunduki. Taarifa zimemfikia IGP na sasa hivi mkuu wa kituo kigamboni anashughulikia hilo suala. Kwenye hiyo defender ya polisi alikuwa mtu anaitwa khatibu (a.k.a mavi) ni maarufu kwa kupiga watu na mwanamke anaitwa Suzy aka sunita huyu anamjua huyo dereva na wakati wanampiga alimtaja kwa jina " sunita tunakunywaga wote pombe kwanini unanipiga?" wamemuumiza vibaya sana.
 
Askari wetu wanapenda sana kupiga piga raia bila ya jambo la msingi
 
Daah niliiona hii katika habari so sad. Wamemdunda yule dereva wakaiba mchele, nyanya alivyokua navyo kwenye cabin. Wakakwara na wallet na simu yake halafu askari kumi kweli wanampiga raia kwaajili ya mchele? This is madness
 
Wale jamaa wana sera yao inaitwa tii sheria bila shuruti ukikataa utashurutishwa tu.ebu fikiria kwanini hawakukupiga wewe wampige yule tu?
 
Wale jamaa wana sera yao inaitwa tii sheria bila shuruti ukikataa utashurutishwa tu.ebu fikiria kwanini hawakukupiga wewe wampige yule tu?


Tumia akili kufikiri!.
Wewe waweza kuwa mojawao, ila za mwizi ni arobaini(KOLOKOLONI) .Tatizo askari wengine wanageuza kazi ya uaskari kama ya familia kwamba haka kesho.
 
Ni maeneo ya kigamboni-kibada askari polisi wamempiga dereva wa magari makubwa yanayosafirisha mafuta. Polisi walimpiga vibaya dereva huyo juzi usiku bila kuwa na sababu ya msingi na wakamuacha hapohapo,kibaya ni kwamba hata wananchi walitaka kuingilia lakini waliogopa kwasababu polisi walikuwa na bunduki. Taarifa zimemfikia IGP na sasa hivi mkuu wa kitua kigamboni anashughulikia hilo suala. Kwenye hiyo defender ya polisi alikuwa mtu anaitwa khatibh aka mavi ni maarufu kwa kupiga watu na mwanamke anaitwa Suzy aka sunita.
Tunaomba jeshi la polisi liache kutesa watu. taarifa hizi ni uhakika na naomba mods msitoe huu uzi


Sijui lakini.Ila kituo kile kwa sasa kinaendesha mambo kwa harufu ya kipesa! Ndiyo maana unaona mpaka askari wanafikia kuwa pora wateja wao. Wahalifu ni wateja wa POLISI ,maana bila uhalifu kazi ya Askari hakuna.

Lakini kwa taarifa hiyo kuwa walimwacha hapo hiyo nayo inatisha maana hutegemei mhalifu kuachwa.


GeoMex
Daah niliiona hii katika habari so sad. Wamemdunda yule dereva wakaiba mchele, nyanya alivyokua navyo kwenye cabin. Wakakwara na wallet na simu yake halafu askari kumi kweli wanampiga raia kwaajili ya mchele? This is madness
 
Tutakutana nao Uraiani wakiisha Stafu.

Bado nchi ina raia watulivu sana.

Majambazi wanapeta Polisi wanachapa raia,sasa kwa hali hiyo unafikira Raia uliempiga hata akiona ajambazi atakupigieni sim ili mje.

Kazi kweli,tatizo ni kwamba hapo hafukuzwi mtu zaidi ya kuhamishwa ktiuo.
 
mbona wakiuawa hamuongei na hamsemi
mbona hampigi makelele wakaongezwa mishahara ili waiepende kazi yao mtu umulipe hela ndogo halafu kazi kubwa unategemea nini
kufukuza askari si njia ya kusafisha jeshi la polisi mbali wanaofukuzwa ndio wanarudi uraiani kuja kusumbua watu serikari iwajengee mazingira bila hivyo itakuwa vituko tu sio polisi hata walimu ndio waliosahauliwa na serikari
 
Kwani Mpwa hamjui wanapoishi? Niwakudili nao silently Yaani inatangazwa misiba tu.....ukishindwa muone Mpemba yoyote!!!
 
Mbona wenyewe wakiuwawaga mbona post kama hizi huwa hatuzioni? Na hata zikiwepo huwa za kusherekea jamaa kupigwa au kuuwawa kwao. Je wale si binadamu? Au haki za binadamu haziwahusu wale mapolisi?. Eti kashfa kwa polisi...! Mbona huwa hakuna kashifa kwa raia?. Nauliza tu msichukie
 
Askari wetu wanapenda sana kupiga piga raia bila ya jambo la msingi

Miafrika ikishapata cheo, hasa kama walikuwa "nobodys " kabla ya hapo, inakuwa kama wanyama pori. Wanajisahau. wanajiona wamepaaanda, upolisi nao cheocha kumuumiza mwenzio? AIBU POLISI WA TZ
 
Hizi damu zinawasumbua sana polisi na watoto wao ndo sababu watoto wao dasani ni ngumu kuelewa kutokana na laana ambazo baba zao au mama zao wamewalimbikizia toka kwa raia wanaowatesa
 
Vipi kuhusu dr.emanuel nchimbi baba yake alikuwaga rpc mtwara je naye hana elimu au vilikuwa havipandi? Au wale waliopata division zero kidato cha nne 2013 baba zao ni mapolisi?. Tuache kuongea kwa hisia tuseme ukweli tu punda bila mijered haendi
 
Wale jamaa wana sera yao inaitwa tii sheria bila shuruti ukikataa utashurutishwa tu.ebu fikiria kwanini hawakukupiga wewe wampige yule tu?
Alafu kuna watu hamna akili kabisa hivi unaweza shadadia na kuongea vitu ambavyo havina msingi fikilia angekuwa mmoja kati ya damu yenu ya baba na mama ako acha ushamba na porojo za kijinga bwana


Sent from........
 
Hizi damu zinawasumbua sana polisi na watoto wao ndo sababu watoto wao dasani ni ngumu kuelewa kutokana na laana ambazo baba zao au mama zao wamewalimbikizia toka kwa raia wanaowatesa

Hahahaa makubwa!!
 
Back
Top Bottom